Rank: User Joined: 8/15/2013 Posts: 13,237 Location: Vacuum
|
Ningependa kutumako salamu kwa sheri akiwako hapo wasua pamacho na familia yake. Uchumbe ni kwamba nafanya kasi nairopi ili ninunue paiskeli,retio na kuku ndio nioe wewe. Ningependako sana kutetiket huu wimbo kwako. NimaruKama hauna pandols ya kustream viteo,hapa chini kuna lryics sa hio wimbo Quote:Aaaaaaaa........Nimaru mtoto wa Tanga
Sheri ee usilie mwana mama ee,najua wanipenda Nimaru mama ee,sikupenda kukuacha uteseke nyumbani pekee, Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee....

Ooooooo mwanamama oooo,Oooooooo mwanamama.....

Safari niliyonayo ni ndefu sana ooo,sijui mwaka gani nitarudi mama yoyoyoooo, Hata mimi sina raha kuwa mbali nawe ooo,lakini ni hali ya dunia ni vigumu kuepuka aaaaaaa

Ooooo Nimaru mama ee,Nimaru mama,Nimaru bibi..... Ooooo usilie mama ee,usilie mama,ninarudi TZ... Ooooo nitarudi bibi ee,nikuone mama,tufurahi pamoja... Ooooo nifurahi nawe oooooooo.....
Sheri ee usilie mwana mama ee,najua wanipenda Nimaru mama ee,sikupenda kukuacha uteseke nyumbani pekee, Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee....
Sheri ee usilie mwana mama ee,najua wanipenda Nimaru mama ee,sikupenda kukuacha uteseke nyumbani pekee, Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee....
Ooooooo mwanamama oooo,Oooooooo mwanamama.....
Sheri ee usilie mwana mama ee,najua wanipenda Nimaru mama ee,sikupenda kukuacha uteseke nyumbani pekee, Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee....
Sheri ee usilie mwana mama ee,najua wanipenda Nimaru mama ee,sikupenda kukuacha uteseke nyumbani pekee, Shida na tabu zinafanya watu kutengana mama eee....
Safari niliyonayo ni ndefu sana ooo,sijui mwaka gani nitarudi mama yoyoyoooo, Hata mimi sina raha kuwa mbali nawe ooo,lakini ni hali ya dunia ni vigumu kuepuka aaaaaaa
Ooooooo mwanamama oooo,Oooooooo mwanamama.....
Safari niliyonayo ni ndefu sana ooo,sijui mwaka gani nitarudi mama yoyoyoooo, Hata mimi sina raha kuwa mbali nawe ooo,lakini ni hali ya dunia ni vigumu kuepuka aaaaaaa
Ooooooo mwanamama oooo,Oooooooo mwanamama.....
If Obiero did it, Who Am I?
|