Alfajiri ya kupendeza
University of Nairobi, St Paul's Chaplaincy
Lyrics here:
http://www.uonstpaulschoir.org/music/lyrics/[t:] Alfajiri ya kupendeza, ni siku njema
siku yenye baraka
[w:] Jua limekwishachomoza, laamsha wote waliolala
Ndege nao wanalialia kumshukuru Muumba
(Njooni) {Njooni baba mama na watoto
Njoni wote mbele za Bwana
Tumtolee shukrani zetu, kwa kutoa sadaka } *2
1. Ndege wanamshukuru, kwa sauti za kupendeza
Na sisi tumshukuru, kwa zawadi alizotupa [Njooni]
2. Wanyama pia na mimea, vyote vimeumbwa na Mungu
Vitu vyote vya duniani, vyapaswa kumshukuru Mungu
3. Aliumba dunia hii, kaweka giza pia mwanga
Mchana tufanyeni kazi, usiku na tupumzike [Njooni]
(St. Pauls (UON) Students Choir; ~ J.C Shomally)
"😖😡KQ makes money for everyone except the shareholder 😏😏 " overheard in Wazua