Naona unafikiria X-mass tena.
Ushawahi fanya hesabu ya hiyo siku?
Hebu fikiria:
Kutravel hapa na pale - Thao nne,
Kununua food mingi na kushiba - Thao saba,
... Kubuy nguo New - thao mbili,
Kwenda out na mabeste, thao tatu..... eti thao nne, Boss una doh!
Usisahau kujiharibia usingizi na pia ku-forward sms, na bado uko kwa mpango wa kuwa na shida za pesa mingi.
FIKIRIA! Achana na mpango wa x-mass
Pika sukuma wiki!...
EPUKA HASARA YA X-MAS!
Compare Supermarket Prices in Kenya | BeiYangu