Soon;
Kizungumkuti cha Mfumo Digitali Makala ya....
Niko hapa China ya Kati nikipekua mbivu na mbichi. Nitakujuza kwa nini vyombo vya habari wamesusia mfumo huu wa kidigitali na nini kinacholeta vuta, nikuvute. Ilitubidi tukwee milima, mabonde na hata nyika kukuletea habari hizi.
Nikiripotia KK24 mimi ni......