C&P
LETTER TO KETHI KILONZO FROM
KAKAMEGA
Tia, pepi Kethi,
Niche peipy tangu chusi nimekua
nakulola kwa Tifi ukikaranga
olusungu kwa hio kesi
ya petishoni.
Kisungu chako kinanikusa kusu kusu
kinanitouch kinanipamba vitetly tei
teti
ningepatako namba yako
ningekutungia nankos
umechipepa vimechanatakako
ukueko Amicus wifae wangu.
Mimi ni mtu niko na pesa shamba
yangu
nimeikawanya kama Sheria kuna
section 2 ya
marakwe.
Section 3 ya fiasi.
Naifanyianga supmision ya machi
fitu sinamea sinatoka sikiwa a kutu
one a kutu one
kutuuuu one You kuy.
Nitakupeleka chafa tukunyweko
Strunji tukisupa
tupa tupa. Nachua you wili laf me
pepi you wili not
laf my money utalilia kwa pota pota
patala ya
kukosa usingisi
runda.
Ningekucha kwenyu lakini papa yako
amefuka
kuchui, kunawesa kunirarua kama
file niraruafyo runyama rwarukuku.
Nitakufungulia posho mill ya kusiaka
unga ya wimbi nitakupaia flowersi,
nitakuipia
wimbo tamu tamu kama sa piyonsi
na niki minach
nitakupeleka plankets andi wine na
tupepe kapusaa
ketu
kakuchipamba pepi
Kethi my hat koes tu tu tu tu tu tu
nikikuonako kwa
tifi. Ukinikataa nitakasirika nikule
ukali korokoro
mbili. Mimi ni pon tao hapa
katchmeka ukikucha
ulisia Chakson wa mapera utanipata
nimepangaisa
tu
hapo MG a.k.a mulirokatens. Kut
tey pepi feel
fandastic feel sweet kama polikam,
paata ya
Petishoni nifurutie Kuwaya
0700000060 nipipu na mimi
nitakupikia.
Tetication-Mama mulai and My tear
(my dia)
yuwasi lafa poy Chakson