wazua Fri, May 8, 2026
Welcome Guest Search | Active Topics | Log In

10 Pages«<34567>»
wakenya tembeeni
youcan'tstopusnow
#41 Posted : Wednesday, November 23, 2011 8:05:13 AM
Rank: Chief

Joined: 3/24/2010
Posts: 6,779
Location: Black Africa
Lolest! wrote:


Tanzania haijakuwa na misukosuko kama ilivyo Kenya na Uganda(tangu wakati mlipondanganywa na Kinjeketile kuwa risasi za Wajerumani zitageuka kuwa majismile ).


Laughing out loudly Laughing out loudly Applause Applause Laughing out loudly Laughing out loudly Applause Applause
Kinjekitile Ngwale alikuwa mnafiki kwelikweli
GOD BLESS YOUR LIFE
youcan'tstopusnow
#42 Posted : Wednesday, November 23, 2011 8:10:58 AM
Rank: Chief

Joined: 3/24/2010
Posts: 6,779
Location: Black Africa
simonkabz wrote:
@ycsun and Laughing out loudly, i can see u have expended ua lugha mufti mpaka imeisha. Try again next year when it will be replenished.

Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly
Mimi mtalaamu wa lugha hii.

Dosari, lakini, lazima ziwe
GOD BLESS YOUR LIFE
hairglo
#43 Posted : Wednesday, November 23, 2011 8:23:50 AM
Rank: New-farer

Joined: 4/28/2011
Posts: 30
youcan'tstopusnow wrote:
Cde Monomotapa wrote:
vinii wrote:
@chuse....wewe ni soketi ama plagi?

Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly #chozi

Laughing out loudly Thread of the year


Laughing out loudly Laughing out loudly Applause Applause
@Kaka Chuse, chaukweli, munasoketi ya kuexporti?? kama soketi yenyu ni kama ile gari ndogo ya kasi (Lotus) iliokuwa kaka mega (big brother) hatutaki, maajabu ya musa hiyo soketi. angalau Uganda
bendi3
#44 Posted : Wednesday, November 23, 2011 8:48:28 AM
Rank: Member

Joined: 9/14/2010
Posts: 106
Hii nyuzi kashika macho yangu na kuzifuta fahamu zangu.Kwanza kaka(am assuming) Chuse asema wakenya watembee.Tutatembeaje ilhali ukiwa mkenya Dar waonekana kama pwagu vile.Pengine badala ya kusema wekenya hawatembei,pengine ingekuwa bora kusema wakenya hawatembei Tanzania.Pengine mna manthari ya kupendeza lakini ni swala liilo dhahiri kuwa afadhali,kuwa mtanzania kenya kuwa kuwa mkenya tanzania.

Pili,wasema wa tanzania wana ubora wa maisha.Ndipo swali hujitokeza kwanini barabara ya kupitia Lunga Lunga huwa na magari ya kitanzania kajazwa pampers(pampari...is it?),sabuni,chumvi,dawa za mswaki(huwa sioni miswaki...pengine bado vijiti havijesha),na mengineyo.Kama kweli maisha yangekuwa mazuri zaidi basi pengine vitu hivi havingetokea.

Isitoshe,Tanzania ina madini mengi ambayo kama ingalikuwa kenya tungekuwa mbai.Tusemezane ukweli,ujamaa na kusoma uhasibu,utabibu,uanafalsafa na mengineyo kiswahili huleta madhara.Na mpaka waTz waamue kuacha m'bachao basi itakuwa sio mwanzo kwa waja kama kina Chuse kuanzisha nyuzi kama hizi.

Ndo waswahili wakasema,asiye na macho haambiwi tazama..hata pia haambiwi asitazame siku hizi.
The early worm, is the one caught by the early bird.........
smano
#45 Posted : Wednesday, November 23, 2011 9:16:53 AM
Rank: Elder

Joined: 12/13/2006
Posts: 2,589
Cde Monomotapa wrote:
!! Fatality !! @ycsun WINS!!


Applause Applause Applause Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly

Bwana Monomotapa hapo umeshinda kumi sufuri
BEER IS LIVING PROOF THAT GOD LOVES US AND WANTS US TO BE HAPPY!
chemos
#46 Posted : Wednesday, November 23, 2011 9:17:24 AM
Rank: Elder

Joined: 11/28/2006
Posts: 1,799
kuku kapanda baiskeli.. bata kavaa raizoni..
smano
#47 Posted : Wednesday, November 23, 2011 9:18:45 AM
Rank: Elder

Joined: 12/13/2006
Posts: 2,589
youcan'tstopusnow wrote:
chuse wrote:
naona watu wanakuja na mawazo mazuri,tatizo wakenya wengi hawafahamu kuwa lugha si maarifa,ujuzi ama taaluma.Wanajivunia kujua kiingereza wakati warusi,wachina,waturuki na wengine wengi wanasoma kwa lugha zao na bado hakuna wanachopoteza.

1.mbona kama nyinyi mnauchumi imara watu wenu wanakufa njaa na mnaomba msaada tanzania
2.kwanini sukari mnavusha toka tanzania

Nipe nafasi nitetee nchi huru ya Kenya!

Kenya haijaomba msaada kutoka Tanzania kwa wakati wowote huo. Maindi na sukari ambayo wataja huwa inanunuliwa. Tena nasema, Kenya hununua na si kuomba. Maskini ataombaje kwa maskini zaidi? Haileti mantiki
Hivi sasa utadai eti ya kwamba kwa kununua mafuta toka Angola, Marekani inaomba Angola msaada? Au Uchina yaomba Sudan msaada? La hasha. Hii tu ni importi na exporti ya kawaida!



Ajab!
BEER IS LIVING PROOF THAT GOD LOVES US AND WANTS US TO BE HAPPY!
willin2learn
#48 Posted : Wednesday, November 23, 2011 9:47:34 AM
Rank: Veteran

Joined: 2/12/2008
Posts: 1,178
kitu naomba kaka chuse ni rink. i wapi?
chuse
#49 Posted : Wednesday, November 23, 2011 9:49:05 AM
Rank: Hello

Joined: 11/22/2011
Posts: 6
Tatizo watu hawafamu tofauti ya lugha na maarifa. hao wachina wanao jenga barabara zenu hawajui a wala be za kiingereza lakini mme wapa miradi yote ya barabara
inaonyesha jinsi gani mpo nyuma hamtofautishi,ndo maana mnaona kujua kiingereza ndo kuwa wajuzi au wataalamu,kaeni na kiingereza chenu si tunabaki na kiswahili asili yetu,fahari yetu, utamaduni wetu,alama yetu

nyie endeleeni kujipendekeza kwa wazungu na kiingereza chao ndo hao wanawalazimisha kuwa mashoga eeh.

tunaringa tunautambulisho wetu duniani acheni chuki binafsi,hila na nongwa
dossy7
#50 Posted : Wednesday, November 23, 2011 9:55:43 AM
Rank: Elder

Joined: 12/9/2009
Posts: 1,493
Location: Nairobi
Lolest! wrote:
smile

Kiswahili kyangu kimeishia haposmile

Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly tafakari haya,hii sentensi liko kwa ngeli gani?
Kenya ni yetu sisi sote
10 Pages«<34567>»
Forum Jump  
You cannot post new topics in this forum.
You cannot reply to topics in this forum.
You cannot delete your posts in this forum.
You cannot edit your posts in this forum.
You cannot create polls in this forum.
You cannot vote in polls in this forum.

Copyright © 2026 Wazua.co.ke. All Rights Reserved.