wazua Sun, Mar 29, 2026
Welcome Guest Search | Active Topics | Log In

5 Pages«<2345>
Mjadala wa Ijumaa.
Wendz
#31 Posted : Friday, September 17, 2010 12:56:40 PM
Rank: Elder

Joined: 6/19/2008
Posts: 4,268
carygoh wrote:


na umeng'oa


Is it umeng'oa or umenoa?
KADUSI
#32 Posted : Friday, September 17, 2010 1:10:59 PM
Rank: Member

Joined: 4/18/2008
Posts: 51
Leo watu wameamua lugha ya taifa.Wengine wetu itabidi tusome tu bila kuchangia.

Much Know
#33 Posted : Friday, September 17, 2010 1:32:08 PM
Rank: Elder

Joined: 12/6/2008
Posts: 3,579
CKS (cheka kwa sauti) au kuLOLi, sijui nitasema vipi
hata hivyo hii uzi imenibamba na kunibambua sana, sikuwahi jua kwamba tuna wataalam wa lugha chungu mzima hapa wazua.

Tukirudi kwenye jambo nyeti la fitina iliyo kumba mijadala kuhusu utuaji wa ndege katika viwanja tofauti, kwa fikira zangu akina mama walikerwa sana wakati mchangaji moja katika huo mjadala kwa Jina Magigi alipo eleza kwa kinagaubaga na jinsi ya kusisimua sana vile aliona kisiwa fulani alipokuwa akielekesha ndege lake kutua

hat hivyo jambo hili limelekea wenyeji wengi wa wazua kuwaza na kuWAZUA juu ya masuluhisho tofauti kama lile la "FOR MEN ONLY", ili wanawake wasiotaka kuyasikia, wasiingie, wale wanapenda hadithi zetu watakuja kama wageni au wanavyo julikana sahihi kwa kimombo kama GUEST

ASHANTENI
Ras Kienyeji Man
nostoppingthis
#34 Posted : Friday, September 17, 2010 1:32:31 PM
Rank: Chief

Joined: 8/24/2009
Posts: 5,909
Location: Nairobi
Wendz wrote:
carygoh wrote:


na umeng'oa


Is it umeng'oa or umenoa?


@wendz, kumbe hauko vibaya na lugha ya taifa
MaichBlack
#35 Posted : Friday, September 17, 2010 1:44:30 PM
Rank: Elder

Joined: 7/22/2009
Posts: 7,864
nostoppingthis wrote:
Wendz wrote:
carygoh wrote:

na umeng'oa

Is it umeng'oa or umenoa?

@wendz, kumbe hauko vibaya na lugha ya taifa

Hapa @karigu na @wendz hawaelewani. kunoa ni kutopata jibu sahihi. kung'oa [lugha ya mtaani ama 'graud'] ni kuadhiriwa na lugha ya mama kama vile kusema 'shura', 'rori', 'statium', 'sitiupiti', 'muchamaa', 'furu furu condisheni' na kadhalika. @karigu alikuwa anamaanisha mchangiaji ameng'oa

Ukitizama kichapisho [post] #25 [LOL] utayaona maneno mawili mekundu ambayo yanathibitisha yakwamba mchangiaji ametoka sehemu za Murang'a [ambako inasemekana ndege hazitui tena!]
Never count on making a good sale. Have the purchase price be so attractive that even a mediocre sale gives good returns.
Wendz
#36 Posted : Friday, September 17, 2010 1:47:03 PM
Rank: Elder

Joined: 6/19/2008
Posts: 4,268
nostoppingthis wrote:
Wendz wrote:
carygoh wrote:


na umeng'oa


Is it umeng'oa or umenoa?


@wendz, kumbe hauko vibaya na lugha ya taifa


hei, ... siku zetu, tulifundishwa lugha kwa njia ya kari fransis.
Intelligentsia
#37 Posted : Friday, September 17, 2010 2:08:15 PM
Rank: Elder

Joined: 10/1/2009
Posts: 2,436
KADUSI wrote:
Leo watu wameamua lugha ya taifa.Wengine wetu itabidi tusome tu bila kuchangia.



Lo, tayari kachangia kaka! smile

Haya,kabla hujatafakari hayo na pia kwamba imebainika wazi wazuzu wengi husoma nakala zao za TAIFA LEO kila siku, wacha nimeze kope la maji...
newfarer
#38 Posted : Friday, September 17, 2010 2:22:16 PM
Rank: Elder

Joined: 3/19/2010
Posts: 3,505
Location: Uganda
Hapa nimepoteza netiwaki(mtandao)
punda amecheka
newfarer
#39 Posted : Friday, September 17, 2010 2:24:28 PM
Rank: Elder

Joined: 3/19/2010
Posts: 3,505
Location: Uganda
Tarakilishi yangu yasema kwamba ukurasa huu umeandikwa kiswahili.yaniuliza kama ningependa kutafsiri.
punda amecheka
mwenza
#40 Posted : Friday, September 17, 2010 3:20:19 PM
Rank: Elder

Joined: 4/22/2009
Posts: 2,863
Na pia kronomita yangu yanionyesha hivo hivo.
IF YOU EXPECT ME TO POST ANYTHING POSITIVE ABOUT ASENO, YOU MAY AS WELL SIT ON A PIN
5 Pages«<2345>
Forum Jump  
You cannot post new topics in this forum.
You cannot reply to topics in this forum.
You cannot delete your posts in this forum.
You cannot edit your posts in this forum.
You cannot create polls in this forum.
You cannot vote in polls in this forum.

Copyright © 2026 Wazua.co.ke. All Rights Reserved.