Rank: Elder Joined: 3/2/2007 Posts: 8,776 Location: Cameroon
|
jamplu wrote:essyk wrote:ok inapatikana wapi. i feel like being corrupt kidogo hata mimi nishtue watu. @essyk 89.5 intro nayo Air G.O.T.E.A.N.A Flight GR 895 ndio hiyo na Youth Ambassador Mbusii ndiye captainosis bonokode safara wa mungu ndiye first officer na nyinyi ndio mnashughulikia playlist,,,,,GOTEANENI,,,,,,,requestianeni ngoma,,,wakukumba akumbe,,, wakukumbwa akumbwe,,,wakujibambaosis ajibambeosis,,wakukonda akonde,,wakunalingah analingeh,,,wakurelax dem arelax,,, wakung'uti wakung'ute wakuhothololiwa ahothololiwe na kama kawaida HAKUNA MBRRRRRRRRRRRRRR............. ngoja mpaka kitu kaa three hivi... na uchanue wazito wengine sekta yako na kama kuna ile Ngoma Mzuka Unadai watakusambia pia habari ndio hio... Sasa hapo umeniget get. Sasa safara mwenzangu ebu toa ile line ya sign out ya mbusi. Rrrr rrrr rrrr TULIA.........UFUNZWE!
|