Rank: Elder Joined: 3/18/2011 Posts: 12,069 Location: Kianjokoma
|
wanyee wrote:Sisi watu wa 30k tunaishi tu these salaries am seeing here..kweri watu apa wako weolthy  And they're complaining There's an old song by a Kyuk musician can't remember whether Ndicu, Maingi or Rugwiti: Uria Nii ndikitie kuona indo ciathi tutikaigania Wagia ngaari ukenda ndege, wagia ndege ukenda meeri
CHORUS Niatia nii ingika mihang'o inyume? Njukagira nguku ya mbere Na thina ndunginyuma!
Riria uraririo ni kiea Nikuri wina Acre ngiri Na ukirira thina no ararira Indo ciathi tutikaigania
Ukiria ngima na cumbi Nikuri uraria na nguku Na ukirira thina no ararira Indo ciathi tutikaiganiaTranslationNishaelewa huwezi tosheka na mali Ukipata gari, wataka ndege, 'kipata ndege, meli
CHORUS Nifanyeje niache kuhangaika Kila siku naamka jimbi la kwanza Na matatizo hayasiti kuniandama
Uliapo una shamba ndogo Kunaye ana ekari elfu Uliapo eti kuna shida pia yualia Mali haitawahi tosha
Uliapo eti wala sima na chumvi Mwingine aila na kuku Uliapo shida pia yualia Mali haitawahi tosha
|