Marriage Bill Nyeri County
Edition:
1. Kama mimi si
mrebo,usiniabie ati mimi ni
mrebo. Ati dio tu niweze
kuigia box. Ama dio
carton. Ogea ukweri.
Sitakuuma. After all,si wewe
uriniumba. So makosa si
yako.
2. Ukinipromise utanipereka
Zanzibar,tafathari
timiza Ahadi. Si ati uniabie
tutaeda Zanzibar arafu
unipereke Nyahururu. Ama
Sagana. Kwani
Zanzibar yako inaedagwo na
Boda Boda??
3. Mimi ni mwanamke.
Nahitaji kukaa vizuri. Na
nahitaji kupewo pesa ya
kujirebesa. Sio ati kazi tu
ni kunipea shirigi hamsini
hamsini kira mwezi.
Unanipea hamsini nipereke
wapi? Kwani ni
sadaka??
4. Tukikosana,WEWE DIO
UKO KWA MAKOSA.
ALWAYS. Na hatutabishana
Kijana. Kubari makosa
na unyamaze. Na mapenzi
yaederee.
5. Kama ni date tafathari
nipereke hoteri za guvu.
Hoteri ziko na gumo.
Nimechoka kuperekwo kwa
Mama Waithera. Na
nimechoka kutumia vikobe
za
mabati. Na kukaria viti za
bao.
6. Kama mipago yako sio
kunioa,tafathari kaa bari
na mimi. Usiniretee
mushene,ati 'Oh
nakupeda,ati
Oh,wewe nitaishi na wewe
mirere'' arafu
uniwashanishe kama lorry
imeng'oka muguu kwa
barabara. Kichwa yangu
inagoga harusi,kama
yako haigongi arusi,jipe
suguri.
7. Nikiria unafaa unikamate
taitly in your arms
ukiniabia, 'Sorry baibe. It
gonna be orait' sio ati
mimi naria na wewe uko
hapo unanikodorea
maitho kama thinema.
Mùgúrúki úyú.
8. Simu yagu ni yako. Na
simu yako ni yagu.
Hakuna cha ati 'dont tash
my phone' .
Actually,kira Wednesday
tutakuwo tukibadirishana
Sim Card.
9. Abia ma EX wako wote
wakae bari na wewe. As
far as possible. Kwanza
wakiweza wahamie Meru.
Kama hawataki kuchomwo
kama mahidi. Na
uwaabie wasiwahi kukutext.
Kitu chochote. Ama
wakati wowote. Ati kukuabia
Gdnyt. Mimi dio
nafaa kudecide the kind of
night you will have.
10. Ukioba,lazima uobe kwa
sauti. Sio ati ujifiche
kwa kakona ati unaoba
kimoyomoyo,razima niskie
kire unaabia Mugu. Ama
rabda unamwabia
aniodoe kwa maisha yako.
11. Watu wetu wanakuwaga
weda wazimu.
Washana nao.
12. Razima uote na mimi.
Every night. Either uote
na mimi. Ama uote
ukitegeneza pesa. Anythng
else ni hatia. Na ukiota na
mimi uhakikishe
nimevaa vizuri. Sitaki
kuaibishwo kwa doto mimi.
13. Sipedi kukiss. I think ni
ujinga kumumunya
mudomo ya mtu
mwingine,kwani ni
peremede ya
KSL??
14. Sinaga hobby. So,sitaki
maswari za ujiga ati
'What is your hobby?' .
Actuarry hobby yagu ni
moja tu. Kukupeda. Iyo dio
hobby yangu.
15. Utanipereka kwenyu
rini? Harakisha. Napeda
kutebea.
16. We will never break-up.
Ukinipeda hauna
bahati. Utanipeda mirere.
Kama vire Yesu aripeda
Kanisa.
17. Sipedi kushikwo mkono
in public. Kwani mimi
ni mtoto?? Ama wewe ni
baba yagu??
18. Energy Drinks
nimekataa. Hizo haufai
kukunywa...Unataka Energy
ya nini??? Ya
kuniwacha???
Ama ya kutoroka??
19. Na pia sipedi kudara
darwo ovyo ovyo.
Unanidara kwani mimi ni
Pages za Bible ya
Juliani??
20. S** tutakuwa tunafanya
the godly way. Yaani
ire styro ya kawaida ya
mababu wetu. Sitaki ati
uniretee styro zingine hapa
za kishetani. Ati 'Oh
rara ivi,ati Oh weka miguu
nyuma ya kishwa...ati
Oh twede kwa kiti...' Kwani
wewe ni Devil
Worshipper??
Anyway,KARIBU KWA ROHO
YAGU.
Yours Waitherero.
TULIA.........UFUNZWE!