Awkward moments:.:
1)Ukoexam room alafu chopi wa daro anainua mkono anasema question 4 iko na shida na ushapata ansa....
2)Uko exam room alafu chopi fulani anaitisha graph paper na ushamaliza paper na hujaona mahali inatumika...
3)Uko exam room alafu invigilator anakam anasema uruke question 6 kwanza iko na shida watarectify baadaye,na hiyo pekee ndio ulikuwa umeweza...
4) Uko exam rum halafu unaona watu wanatumia ruler na hujui ni kwa nini
5)Uko exam rum,chopi anainua mkono anadai question 3 na 17 ni similar na umemaliza na hukunotice
6) Uko exam room na unaona watu wako busy wako na shughuli ww tu umezubaa unashindwa uende wapi,ufanye nn...maisha ni ivo.
7) uko exam room but the only thing you rem is your name and reg no. Hata course name na code hujui.. Unangoja que paper ndio ucopy kwa ans booklet
8)Unaomba rubber exam room na hujaandika chochote.
9)Uko exam room alafu invigilator anatoka nje kunyora na sa hizo ka chem kamekukalia ukigeukia neiba unakuta anadoz
10)uko exam room mwenzako anaomba extra foolscap ya essay wakati wewe umeweka hujafika ata nusu foolscap na mlipewa mbili!
11)That akward moment kwa exam watu wanchora diagrams na hata ujui ni nini unafaa kuchora.... unaanza kuchora invigilator