

One funny comment on the KTN page
'nkt mlisema Aliens wanakuja tukapika na tuka pamba vyumba vyetu tukingoja wageni. mkasema kuna shimo kwa sun tukapack virago tukarudi ushago. mkasema Asteroid tukauza vitu vyote tukahamia diaspore...alafu mnasema sahii ati ilipita "by inches". KTN tafadhali mnitumie bus fare nirudi jijini niendelee na kazi!!! '