jerry wrote:Wawekezaji. Kiswahili si rahisi!
Sijajua kama unamukosoa Obiero au laa walakini tia bidii mwenzangu.
umoja- mwekezaji
wingi - waekezaji ,mfano katika sentensi.
Jukwaa la waekezaji lazinduliwa mjini Nairobi.
Everybody STEALS, a THIEF is one who's CAUGHT stealing something of LITTLE VALUE. !!!