wazua Wed, Mar 18, 2026
Welcome Guest Search | Active Topics | Log In

120 Pages<1234>»
POTUS TRUMP
Angelica _ann
#16 Posted : Friday, January 20, 2017 8:56:31 PM
Rank: Elder

Joined: 12/7/2012
Posts: 11,935
FRM2011 wrote:
Here we go again. Citizens of a poor, corrupt, backward, tribally divided, third world country are here expressing righteous indignation at the electrol choice of the world's richest country.

Forgetting they comfortably voted in a guy facing crimes against humanity charges.

But what do I know ?

Kenya doesnt operate in a vacuum ....
In the business world, everyone is paid in two coins - cash and experience. Take the experience first; the cash will come later - H Geneen
murchr
#17 Posted : Friday, January 20, 2017 9:28:33 PM
Rank: Elder

Joined: 2/26/2012
Posts: 15,980
alma1 wrote:
I think there's already buyers remorse

You have to remember this guy was not voted by the majority, then not many of those who voted for him are proud of it there's already a countdown to the next inauguration going on
"There are only two emotions in the market, hope & fear. The problem is you hope when you should fear & fear when you should hope: - Jesse Livermore
.
sparkly
#18 Posted : Friday, January 20, 2017 10:28:07 PM
Rank: Elder

Joined: 9/23/2009
Posts: 8,083
Location: Enk are Nyirobi
Protests in DC
Life is short. Live passionately.
masukuma
#19 Posted : Saturday, January 21, 2017 7:47:29 AM
Rank: Elder

Joined: 10/4/2006
Posts: 13,823
Location: Nairobi
but Obama's inauguration was quite something!! as waswahili would say it. Halaiki ya watu; Umati wa watu;, Hadhara kuu ya watu; Sisisi ya watu; Sufufu ya watu! Wengi waliompigia Kura Trump hawawezi kuabiri ndege kuenda jimbo lingine ilikushuhudia uzinduzi wa uraisi wa Trump. Nauli ni ghali mno kwa watu hawa. Usisahau D.C. ndio jimbo ambalo chama cha Democrats kiko na ushawishi mkuu ukilinganishwa na majimbo mengine.
All Mushrooms are edible! Some Mushroom are only edible ONCE!
alma1
#20 Posted : Saturday, January 21, 2017 8:29:42 AM
Rank: Elder

Joined: 9/19/2015
Posts: 2,871
Location: hapo
masukuma wrote:
but Obama's inauguration was quite something!! as waswahili would say it. Halaiki ya watu; Umati wa watu;, Hadhara kuu ya watu; Sisisi ya watu; Sufufu ya watu! Wengi waliompigia Kura Trump hawawezi panda ndege kuenda jimbo lingine ilikushuhudia uzinduzi wa uraisi wa Trump. Usisahau D.C. ndio jimbo ambalo chama cha Democrats kiko na ushawishi mkuu ukilinganishwa na majimbo mengine.

Apana kaka.

Just wait for today's protest marches and compare again.

http://www.huffingtonpos...568bef3?zpgzpjbt0a1nhfr

Iko chinda huko. Chinda sana

Trump will never be one of the presidents of the usa.

He'll either be the best president ever or simply the biggest regret these poor fellas have ever brought on themselves.

I'm waiting for his first tweets after he's been given the nuclear codes.

How the world changes...While Africa at least has a sensible president who we don't like such as Uhuru. At least he knows how to speak in national occassions.

These Americans go ahead and elect the type of conmen dictators we are throwing out....

smh.

Anyway, hata Wetangula gets more crowds in Nyeri

Thieves are not good people. Tumeelewana?

Swenani
#21 Posted : Saturday, January 21, 2017 8:39:50 AM
Rank: User

Joined: 8/15/2013
Posts: 13,237
Location: Vacuum
masukuma wrote:
but Obama's inauguration was quite something!! as waswahili would say it. Halaiki ya watu; Umati wa watu;, Hadhara kuu ya watu; Sisisi ya watu; Sufufu ya watu! Wengi waliompigia Kura Trump hawawezi panda ndege kuenda jimbo lingine ilikushuhudia uzinduzi wa uraisi wa Trump. Usisahau D.C. ndio jimbo ambalo chama cha Democrats kiko na ushawishi mkuu ukilinganishwa na majimbo mengine.

Hicho/hiyo kiswahli jameni...kwa kweli umetekenywa na nyege za uswahilini kaka braza
If Obiero did it, Who Am I?
masukuma
#22 Posted : Saturday, January 21, 2017 9:15:42 AM
Rank: Elder

Joined: 10/4/2006
Posts: 13,823
Location: Nairobi
Swenani wrote:
masukuma wrote:
but Obama's inauguration was quite something!! as waswahili would say it. Halaiki ya watu; Umati wa watu;, Hadhara kuu ya watu; Sisisi ya watu; Sufufu ya watu! Wengi waliompigia Kura Trump hawawezi panda ndege kuenda jimbo lingine ilikushuhudia uzinduzi wa uraisi wa Trump. Usisahau D.C. ndio jimbo ambalo chama cha Democrats kiko na ushawishi mkuu ukilinganishwa na majimbo mengine.

Hicho/hiyo kiswahli jameni...kwa kweli umetekenywa na nyege za uswahilini kaka braza

kaka, usistajabu kinywa wazi. Ukistaajabu vya Musa utaona vya Firauni! nimehariri aya na kurekebisha!! sasa ya soma hivi!!
Quote:
but Obama's inauguration was quite something!! as waswahili would say it. Halaiki ya watu; Umati wa watu; Hadhara kuu ya watu; Sisisi ya watu; Sufufu ya watu! Wengi waliompigia Kura Trump hawawezi kuabiri ndege kuenda jimbo lingine ilikushuhudia uzinduzi wa uraisi wa Trump. Nauli ni ghali mno kwa watu hawa. Usisahau D.C. ndio jimbo ambalo chama cha Democrats kiko na ushawishi mkuu ukilinganishwa na majimbo mengine.

ukweli ni kwamba - wapiga kura wengi wa Trump ni wale kwa kimombo twawaita "deplorables". wengine hawana kazi wala bazi! Wengi wao walitimuliwa kazini wakati viwanda vilihamishwa. jambo la kushangaza na ambalo kwangu ni kejeli kuu kwenye mambo haya tunayo shuhudia ni kuwa - baraza la mawaziri la Trump ni la mabwenyenye! Trump mwenyewe ni bwenyenye! wahenga walinena wakisema "kiatu usicho kivaa hujui kinabana wapi"! sielewi vile hawa mabwenyenye wata elewa matatizo ya wale "deplorables". Trump mwenyewe ni mjeuri!! hasikii la mwadhini wala la mteka maji msikitini - yeye aamini ya kuwa yeye ni mwerevu mno. je? atawezaje kutibu uchungu ambao haujui?
All Mushrooms are edible! Some Mushroom are only edible ONCE!
alma1
#23 Posted : Saturday, January 21, 2017 9:22:32 AM

ukweli ni kwamba - wapiga kura wengi wa Trump ni wale kwa kimombo twawaita "deplorables". wengine hawana kazi wala bazi! Wengi wao walitimuliwa kazini wakati viwanda vilihamishwa. jambo la kushangaza na ambalo kwangu ni kejeli kuu kwenye mambo haya tunayo shuhudia ni kuwa - baraza la mawaziri la Trump ni la mabwenyenye! Trump mwenyewe ni bwenyenye! wahenga walinena wakisema "kiatu usicho kivaa hujui kinabana wapi"! sielewi vile hawa mabwenyenye wata elewa matatizo ya wale "deplorables". Trump mwenyewe ni mjeuri!! hasikii la mwadhini wala la mtia maji msikitini - yeye aamini ya kuwa yeye ni mwerevu mno. je? atawezaje kutibu uchungu ambao haujui?

Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly

sending this to Arusha for translation.
Thieves are not good people. Tumeelewana?

Swenani
#24 Posted : Saturday, January 21, 2017 9:41:43 AM
Rank: User

Joined: 8/15/2013
Posts: 13,237
Location: Vacuum
masukuma wrote:
Swenani wrote:
masukuma wrote:
but Obama's inauguration was quite something!! as waswahili would say it. Halaiki ya watu; Umati wa watu;, Hadhara kuu ya watu; Sisisi ya watu; Sufufu ya watu! Wengi waliompigia Kura Trump hawawezi panda ndege kuenda jimbo lingine ilikushuhudia uzinduzi wa uraisi wa Trump. Usisahau D.C. ndio jimbo ambalo chama cha Democrats kiko na ushawishi mkuu ukilinganishwa na majimbo mengine.

Hicho/hiyo kiswahli jameni...kwa kweli umetekenywa na nyege za uswahilini kaka braza

kaka, usistajabu kinywa wazi. Ukistaajabu vya Musa utaona vya Firauni! nimehariri aya na kurekebisha!! sasa ya soma hivi!!
Quote:
but Obama's inauguration was quite something!! as waswahili would say it. Halaiki ya watu; Umati wa watu; Hadhara kuu ya watu; Sisisi ya watu; Sufufu ya watu! Wengi waliompigia Kura Trump hawawezi kuabiri ndege kuenda jimbo lingine ilikushuhudia uzinduzi wa uraisi wa Trump. Nauli ni ghali mno kwa watu hawa. Usisahau D.C. ndio jimbo ambalo chama cha Democrats kiko na ushawishi mkuu ukilinganishwa na majimbo mengine.

ukweli ni kwamba - wapiga kura wengi wa Trump ni wale kwa kimombo twawaita "deplorables". wengine hawana kazi wala bazi! Wengi wao walitimuliwa kazini wakati viwanda vilihamishwa. jambo la kushangaza na ambalo kwangu ni kejeli kuu kwenye mambo haya tunayo shuhudia ni kuwa - baraza la mawaziri la Trump ni la mabwenyenye! Trump mwenyewe ni bwenyenye! wahenga walinena wakisema "kiatu usicho kivaa hujui kinabana wapi"! sielewi vile hawa mabwenyenye wata elewa matatizo ya wale "deplorables". Trump mwenyewe ni mjeuri!! hasikii la mwadhini wala la mtia maji msikitini - yeye aamini ya kuwa yeye ni mwerevu mno. je? atawezaje kutibu uchungu ambao haujui?

Ngeli yako iko chini mno....soma umakinike...Ngeli ya vitu havina hai ni "Ki-Vi"

Quote:
Ukistaajabu
ya Musa utaona
ya Firauni
If Obiero did it, Who Am I?
masukuma
#25 Posted : Saturday, January 21, 2017 9:53:07 AM

niwie rathi! sikukusida kuharibu lugha yetu tukufu! wajua lahaja ya 'sheng' ndio imetuharibu! ngeli hatuzitumii ipasavyo kwenye matumizi ya kila siku. Ukweli ni kuwa - la kuvumba halina ubani... tumeharibu lugha hii kabisa. Kuna msemo nilisikia juzi.
Quote:
Kiswahili kilizaliwa Zanzibari, Kikabalehe Tanganyika, Kikagonjeka Kenya, Kikafa Uganda na mwishowe kikazikwa Congo!
All Mushrooms are edible! Some Mushroom are only edible ONCE!
Lolest!
#26 Posted : Saturday, January 21, 2017 10:23:48 AM
Rank: Elder

Joined: 3/18/2011
Posts: 12,069
Location: Kianjokoma
masukuma wrote:
Swenani wrote:
masukuma wrote:
but Obama's inauguration was quite something!! as waswahili would say it. Halaiki ya watu; Umati wa watu;, Hadhara kuu ya watu; Sisisi ya watu; Sufufu ya watu! Wengi waliompigia Kura Trump hawawezi panda ndege kuenda jimbo lingine ilikushuhudia uzinduzi wa uraisi wa Trump. Usisahau D.C. ndio jimbo ambalo chama cha Democrats kiko na ushawishi mkuu ukilinganishwa na majimbo mengine.

Hicho/hiyo kiswahli jameni...kwa kweli umetekenywa na nyege za uswahilini kaka braza

kaka, usistajabu kinywa wazi. Ukistaajabu vya Musa utaona vya Firauni! nimehariri aya na kurekebisha!! sasa ya soma hivi!!
Quote:
but Obama's inauguration was quite something!! as waswahili would say it. Halaiki ya watu; Umati wa watu; Hadhara kuu ya watu; Sisisi ya watu; Sufufu ya watu! Wengi waliompigia Kura Trump hawawezi kuabiri ndege kuenda jimbo lingine ilikushuhudia uzinduzi wa uraisi wa Trump. Nauli ni ghali mno kwa watu hawa. Usisahau D.C. ndio jimbo ambalo chama cha Democrats kiko na ushawishi mkuu ukilinganishwa na majimbo mengine.

ukweli ni kwamba - wapiga kura wengi wa Trump ni wale kwa kimombo twawaita "deplorables". wengine hawana kazi wala bazi! Wengi wao walitimuliwa kazini wakati viwanda vilihamishwa. jambo la kushangaza na ambalo kwangu ni kejeli kuu kwenye mambo haya tunayo shuhudia ni kuwa - baraza la mawaziri la Trump ni la mabwenyenye! Trump mwenyewe ni bwenyenye! wahenga walinena wakisema "kiatu usicho kivaa hujui kinabana wapi"! sielewi vile hawa mabwenyenye wata elewa matatizo ya wale "deplorables". Trump mwenyewe ni mjeuri!! hasikii la mwadhini wala la mteka maji msikitini - yeye aamini ya kuwa yeye ni mwerevu mno. je? atawezaje kutibu uchungu ambao haujui?

Palipo na nia pana njia. Trump anaelewa fika masuala ya kibiashara. Ana uzoevu mkubwa wa maswala ya majadiliano kwa biashara zilizotambaa kutoka Marekani hadi nchi zingine kubwa kama vile Uchina na Urusi

Nina imani naye kuwa kwa swala la kuwarejeshea wamarekani wanyonge kazi yao ana hiyo ari ya kutimiza

Suala tata ni: je atawezaje kishurutisha kampuni za Marekani zile kubwa kuhamisha kazi zao kutoka Bara Asia ambapo malipo ya kimshahara ni duni hadi Marekani ambapo malipo ni ya hali ya juu? Kampuni hizi zitazidi kuwa na faida au itabidi zifunge?
Laughing out loudly smile Applause d'oh! Sad Drool Liar Shame on you Pray
masukuma
#27 Posted : Saturday, January 21, 2017 11:00:24 AM
Rank: Elder

Joined: 10/4/2006
Posts: 13,823
Location: Nairobi
Lolest! wrote:

Wajua waswahili walisema huwezi chinja ngombe na mkono moja na pia mnywa maji na mkono moja - kiu yake i pale pale. Ni lazima Trump ajiunge na bara uropa kijaribu kugeuza mambo yanavyo elekea kwenye nchi za magaharibi. Ni kweli Amerika ni soko kuu lakini sio soko pekee. Naona kampuni nyingi zikitengeneza viwanda amerika ilikukidhi mahitaji ya hilo soko lakini sioni wakiweza kuuza bidha hizo nje ya hilo soko! bei ya bidhaa hizi ni kikwazo kikuu ikilinganishwa na bei ya bidhaa zinazo tengenezwa barani asia !
All Mushrooms are edible! Some Mushroom are only edible ONCE!
harrydre
#28 Posted : Saturday, January 21, 2017 1:33:23 PM
Rank: Elder

Joined: 7/10/2008
Posts: 9,131
Location: Kanjo
alma1 wrote:
masukuma wrote:
but Obama's inauguration was quite something!! as waswahili would say it. Halaiki ya watu; Umati wa watu;, Hadhara kuu ya watu; Sisisi ya watu; Sufufu ya watu! Wengi waliompigia Kura Trump hawawezi panda ndege kuenda jimbo lingine ilikushuhudia uzinduzi wa uraisi wa Trump. Usisahau D.C. ndio jimbo ambalo chama cha Democrats kiko na ushawishi mkuu ukilinganishwa na majimbo mengine.

Apana kaka.

Just wait for today's protest marches and compare again.

http://www.huffingtonpos...568bef3?zpgzpjbt0a1nhfr

Iko chinda huko. Chinda sana

Trump will never be one of the presidents of the usa.

He'll either be the best president ever or simply the biggest regret these poor fellas have ever brought on themselves.

I'm waiting for his first tweets after he's been given the nuclear codes.

How the world changes...While Africa at least has a sensible president who we don't like such as Uhuru. At least he knows how to speak in national occassions.

These Americans go ahead and elect the type of conmen dictators we are throwing out....

smh.

Anyway, hata Wetangula gets more crowds in Nyeri

Eehh Matanga? Thought only babu suffers this humiliation?
i.am.back!!!!
Swenani
#29 Posted : Saturday, January 21, 2017 3:07:41 PM
Rank: User

Joined: 8/15/2013
Posts: 13,237
Location: Vacuum
If Obiero did it, Who Am I?
2012
#30 Posted : Saturday, January 21, 2017 3:34:51 PM
Rank: Elder

Joined: 12/9/2009
Posts: 6,592
Location: Nairobi
Trump 'Accidentally' Used 2009 Obama Inauguration Photo on @POTUS Twitter

BBI will solve it
:)
120 Pages<1234>»
Forum Jump  
You cannot post new topics in this forum.
You cannot reply to topics in this forum.
You cannot delete your posts in this forum.
You cannot edit your posts in this forum.
You cannot create polls in this forum.
You cannot vote in polls in this forum.

Copyright © 2026 Wazua.co.ke. All Rights Reserved.