Mungusha asumani alipofika South Africa
alikuwa na maisha bora
Ya juu, ya thamani tena yanayohitajika magari
makubwa, nyumba
Mbona sasa amesharejea , hajui wapi ataanzia
Hakuna kazi mtu akajinamia
Mac Muga hii ni dunia!
Truth forever on the scaffold
Wrong forever on the throne
(James Russell Rowell)