Njung'e wrote:Ngalaka wrote:Haya sasa nipeni hii ya kwangu na mimi niburudike
Mtu chake apendacho, hakina ila machoni......
Someone please
That should be "Ni wewe pekee ninaye kupenda" by Nguza Viking of Orchestra Maquis Du Zaire.
Sema kama ndio hii!
[/quote]
Nice try @ Njung'e, lakini bado.
Actually some of the lyrics go like -
mapenzi haya kificho yanapoingia moyoni,mwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo,mtu chake.
apendacho hakina ila machoni huridhika kuwa nacho japo hakina thamaniIt was done by indigenous Tanzanians, wacha hao Ma-Congolese wanofungia trousers 3rd flr.
Isuni yilu yi maa me muyo - ni Mbisuu