Wazua
»
Club SK
»
Politics
»
Rais Magufuli
Rank: Elder Joined: 3/2/2009 Posts: 26,331 Location: Masada
|
Is baba watching this? Portfolio: Sold You know you've made it when you get a parking space for your yatcht.
|
|
|
Rank: User Joined: 8/15/2013 Posts: 13,237 Location: Vacuum
|
Wamunyota wrote:Very sad day for democracy in Tanzania #democracyontrial# If Obiero did it, Who Am I?
|
|
|
Rank: Elder Joined: 3/2/2009 Posts: 26,331 Location: Masada
|
Quote:TAMKO LA EDWARD NGOYAI LOWASSA KUHUSU HATMA YAKE KISIASA
Ndugu watanzania wenzangu awali ya yote nitoe shukrani zangu za dhati kwa namna mlivyoniunga mkono nikiwa ndani na nje ya CCM nikitafuta kuteuliwa na hata nilipokuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chadema Kwa mwavuli wa UKAWA. Hapa natoa pongezi za kipekee kwa Mwenyekiti Mbowe, Maalim Seif, James Mbatia na UKAWA kwa ujumla kwa kunipa heshima hiyo.
Pili, nimeamua kuwatangazia rasmi watanzania wenzangu adhma yangu ya kustaafu siasa na kubaki kama mshauri kwa vyama vya upinzani nchini vinavyounda UKAWA. Naamini historia yangu itanakiliwa kwa kuongoza mapinduzi ya kidemokrasia na kujenga hamasa ya kutosha miongoni mwa wananchi walio wengi hususani vijana kuyataka mabadiliko, na kuwabana viongozi wao katika uwajibikaji. Hatukuweza kwenda Ikulu, lakini nina uhakika tumetuma ujumbe kwa viongozi wazembe kwamba watanzania sio watu wa kuchukuliwa mzaha.
Tatu,nakiri zipo kasoro zilizojitokeza kwenye uchaguzi huu, kama mkutano wangu na waandishi wa habari ulivyosema, sikubali matokeo yaliyotangazwa na tume. Lakini sitapenda kuingiza nchi yetu kwenye matatizo na machafuko. Hivyo nawaomba wafuasi wangu tuwe watulivu tukisubiri yanayojiri. Hata hivyo natambua kwamba Dkt. Magufuli ni kiongozi makini, nimewahi kufanya naye kazi katika awamu ya tatu na ya nne anazo sifa za kiuongozi zenye kujibu wito wa mahitaji ya sasa ya uongozi wa Taifa letu katika kipindi hiki. Sisi hatukuwa na shida nay eye, bali mfumo mbovu wa CCM. Namuomba sana akatimize ahadi zake kwa wananchi bila kupuuza walioniunga mkono, na atambue kwamba tumeshapanda mbegu ya mabadiliko ambayo itaendelea kuchipua na kuwa imara, hivyo amekalia kuti kavu na uchaguzi ujao kama asipowatumikia watanzania basi awe tayari kuachia dola.
Mwisho, namkumbusha kuwa dhamana ya urais ni shughuli nzito hasa kwa Taifa ambalo lina changamoto nyingi kama letu. Kwa wale marafiki zangu wa zamani wa CCM tusijengeane chuki kwa yaliyotokea kwani niliamua kuitafuta haki yangu sehemu nyingine. Kwa wale wana Mabadiliko wenzangu, nawaambia Aluta Continua, tutumie bunge kama sehemu ya kuonyesha watanzania na kuanza kuwaletea mabadiliko tuliyoyahubiri.
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Africa.
Edward N Lowassa. 29.10.2015
Monduli, Tanzania Portfolio: Sold You know you've made it when you get a parking space for your yatcht.
|
|
|
Rank: Chief Joined: 5/9/2007 Posts: 13,095
|
Impunity wrote:Quote:TAMKO LA EDWARD NGOYAI LOWASSA KUHUSU HATMA YAKE KISIASA
Ndugu watanzania wenzangu awali ya yote nitoe shukrani zangu za dhati kwa namna mlivyoniunga mkono nikiwa ndani na nje ya CCM nikitafuta kuteuliwa na hata nilipokuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chadema Kwa mwavuli wa UKAWA. Hapa natoa pongezi za kipekee kwa Mwenyekiti Mbowe, Maalim Seif, James Mbatia na UKAWA kwa ujumla kwa kunipa heshima hiyo.
Pili, nimeamua kuwatangazia rasmi watanzania wenzangu adhma yangu ya kustaafu siasa na kubaki kama mshauri kwa vyama vya upinzani nchini vinavyounda UKAWA. Naamini historia yangu itanakiliwa kwa kuongoza mapinduzi ya kidemokrasia na kujenga hamasa ya kutosha miongoni mwa wananchi walio wengi hususani vijana kuyataka mabadiliko, na kuwabana viongozi wao katika uwajibikaji. Hatukuweza kwenda Ikulu, lakini nina uhakika tumetuma ujumbe kwa viongozi wazembe kwamba watanzania sio watu wa kuchukuliwa mzaha.
Tatu,nakiri zipo kasoro zilizojitokeza kwenye uchaguzi huu, kama mkutano wangu na waandishi wa habari ulivyosema, sikubali matokeo yaliyotangazwa na tume. Lakini sitapenda kuingiza nchi yetu kwenye matatizo na machafuko. Hivyo nawaomba wafuasi wangu tuwe watulivu tukisubiri yanayojiri. Hata hivyo natambua kwamba Dkt. Magufuli ni kiongozi makini, nimewahi kufanya naye kazi katika awamu ya tatu na ya nne anazo sifa za kiuongozi zenye kujibu wito wa mahitaji ya sasa ya uongozi wa Taifa letu katika kipindi hiki. Sisi hatukuwa na shida nay eye, bali mfumo mbovu wa CCM. Namuomba sana akatimize ahadi zake kwa wananchi bila kupuuza walioniunga mkono, na atambue kwamba tumeshapanda mbegu ya mabadiliko ambayo itaendelea kuchipua na kuwa imara, hivyo amekalia kuti kavu na uchaguzi ujao kama asipowatumikia watanzania basi awe tayari kuachia dola.
Mwisho, namkumbusha kuwa dhamana ya urais ni shughuli nzito hasa kwa Taifa ambalo lina changamoto nyingi kama letu. Kwa wale marafiki zangu wa zamani wa CCM tusijengeane chuki kwa yaliyotokea kwani niliamua kuitafuta haki yangu sehemu nyingine. Kwa wale wana Mabadiliko wenzangu, nawaambia Aluta Continua, tutumie bunge kama sehemu ya kuonyesha watanzania na kuanza kuwaletea mabadiliko tuliyoyahubiri.
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Africa.
Edward N Lowassa. 29.10.2015
Monduli, Tanzania Ati "TAMKO" Lol.
|
|
|
Rank: Elder Joined: 3/18/2011 Posts: 12,069 Location: Kianjokoma
|
Quote:Tatu,nakiri zipo kasoro zilizojitokeza kwenye uchaguzi huu, kama mkutano wangu na waandishi wa habari ulivyosema, sikubali matokeo yaliyotangazwa na tume. Lakini sitapenda kuingiza nchi yetu kwenye matatizo na machafuko. Hivyo nawaomba wafuasi wangu tuwe watulivu tukisubiri yanayojiri. Hata hivyo natambua kwamba Dkt. Magufuli ni kiongozi makini, nimewahi kufanya naye kazi katika awamu ya tatu na ya nne anazo sifa za kiuongozi zenye kujibu wito wa mahitaji ya sasa ya uongozi wa Taifa letu katika kipindi hiki. Sisi hatukuwa na shida nay eye, bali mfumo mbovu wa CCM. Namuomba sana akatimize ahadi zake kwa wananchi bila kupuuza walioniunga mkono, na atambue kwamba tumeshapanda mbegu ya mabadiliko ambayo itaendelea kuchipua na kuwa imara, hivyo amekalia kuti kavu na uchaguzi ujao kama asipowatumikia watanzania basi awe tayari kuachia dola. In the light of the highlighted, don't compare Lowassa to Babu. We know beforehand that we have to die for him to rise to power 2017
|
|
|
Rank: Elder Joined: 10/4/2006 Posts: 13,823 Location: Nairobi
|
Wamunyota wrote:Very sad day for democracy in Tanzania why? I think it's a mark of maturity to quit ukishindwa! All Mushrooms are edible! Some Mushroom are only edible ONCE!
|
|
|
Rank: Elder Joined: 2/8/2013 Posts: 4,068 Location: At Large.
|
Just met a wag who told me TZ kumewaka moto.PEV is happenning. Anybody to confirm ama I ignore the fool. Love is beautiful and so are those who share it.With Love, Marriage is an amazing event in ones life time, the foundation of joy, happiness and success.
|
|
|
Rank: Elder Joined: 3/2/2009 Posts: 26,331 Location: Masada
|
Bigchick wrote:Just met a wag who told me TZ kumewaka moto.PEV is happenning.
Anybody to confirm ama I ignore the fool. Chindwe. Portfolio: Sold You know you've made it when you get a parking space for your yatcht.
|
|
|
Rank: Veteran Joined: 10/9/2006 Posts: 1,502
|
Magufuli is RAO childhood friend. Considering he is 70yrs while President elect is 56 yrs , I'm I missing something work to prosper
|
|
|
Rank: Elder Joined: 3/2/2009 Posts: 26,331 Location: Masada
|
Tokyo wrote:Magufuli is RAO childhood friend. Considering he is 70yrs while President elect is 56 yrs , I'm I missing something By all goggles @Magufuli daent look like 56, to me he could be 65! Portfolio: Sold You know you've made it when you get a parking space for your yatcht.
|
|
|
Wazua
»
Club SK
»
Politics
»
Rais Magufuli
Forum Jump
You cannot post new topics in this forum.
You cannot reply to topics in this forum.
You cannot delete your posts in this forum.
You cannot edit your posts in this forum.
You cannot create polls in this forum.
You cannot vote in polls in this forum.
|