Wazua
»
Market
»
Wanted
»
Mteja wa zao la KITUNGUU toka Kenya
Rank: Hello Joined: 2/14/2015 Posts: 4
|
radio wrote:@kivuma mie sitaki kitunguu nataka kidosho mtanzania. Je, waweza kuniorganizia? hha hhaa muzee hapa natafuta mteja wa kitunguu, vidosho wapo njoo Bongo land
|
|
|
Rank: Member Joined: 5/4/2011 Posts: 115
|
kivuma wrote:Bigchick wrote:kivuma wrote:Nandwa wrote:Jambo Kaka,
Kuvuka border na bidhaa ndio kazi!
Hata hivyo, zao lako waliuza aje.
Jambo bro, kuvuka border nadhani ni suala la kujipanga, mazao ya kilimo kwa sasa yanaruhusiwa kuvuka border. Bei inaanzia Tsh 150,000/= kwa gunia la ujazo wa debe 7 (i.e plastic-ndoo ya 20 lts). Maelewano yapo (Bargaining) Karibu Kaka Kivuma,U hali gani? Hapa Kenya naonelea tumezoea hesabu kwa kilo. Ingekuwa bora kama utasema ni gunia la kilo ngapi ama hilo debe lina beba kilo ngapi. Zaidi ya hapo sema hiyo pesa kwa Ksh. Mimi sina exchange rate ya Tsh to Ksh na vice-versa. Nakutakia heri njema. Niko poa Bro. Debe moja ni kilo 20 maana yake gunia moja ni kilo 140 i.e 20 x 7 Exchange rate: 1 Ksh = 18 Tsh kwahio Tsh 150,000 = Aprox Ksh 8152 Karibu 140Kgs = KES8,152 1Kg = KES8,152/140 = KES58.23 Current Market Prices for onions = KES(55 to 60) Quite fair. the warmer the blankets, the colder the future
|
|
|
Rank: Elder Joined: 3/2/2009 Posts: 26,331 Location: Masada
|
kivuma wrote:Habari, Mimi ni Mtanzania nimelima zao la KITUNGUU heka mbili huku mkoa wa Kilimanjaro. natarajia kuanza kuvuna wakati wowote kuanzia wiki ijayo. Aina ya kitunguu: Red bombay Kama kuna Mteja hapa tuwasiliane. e-mail: 123samarantino@gmail.comwhatsapp: +255755508667 KARIBUNI SANA......... Wewe ni soketi ama plagi? Portfolio: Sold You know you've made it when you get a parking space for your yatcht.
|
|
|
Rank: Elder Joined: 10/28/2008 Posts: 2,276 Location: Kibish
|
Impunity wrote:kivuma wrote:Habari, Mimi ni Mtanzania nimelima zao la KITUNGUU heka mbili huku mkoa wa Kilimanjaro. natarajia kuanza kuvuna wakati wowote kuanzia wiki ijayo. Aina ya kitunguu: Red bombay Kama kuna Mteja hapa tuwasiliane. e-mail: 123samarantino@gmail.comwhatsapp: +255755508667 KARIBUNI SANA......... Wewe ni soketi ama plagi?  I saw it coming! !!!! Nadondosha meli kubwa seuze ngalawa!
|
|
|
Rank: Member Joined: 4/11/2007 Posts: 694
|
|
|
|
Rank: Member Joined: 4/11/2007 Posts: 694
|
Impunity wrote:kivuma wrote:Habari, Mimi ni Mtanzania nimelima zao la KITUNGUU heka mbili huku mkoa wa Kilimanjaro. natarajia kuanza kuvuna wakati wowote kuanzia wiki ijayo. Aina ya kitunguu: Red bombay Kama kuna Mteja hapa tuwasiliane. e-mail: 123samarantino@gmail.comwhatsapp: +255755508667 KARIBUNI SANA......... Wewe ni soketi ama plagi? Am laughing so hard. Haki @impunity ati plagi is that swahili really.
|
|
|
Rank: Veteran Joined: 2/21/2012 Posts: 1,739
|
Mariacha wrote:nakujua wrote:Am wrote:Bigchick wrote:kivuma wrote:Nandwa wrote:Jambo Kaka,
Kuvuka border na bidhaa ndio kazi!
Hata hivyo, zao lako waliuza aje.
Jambo bro, kuvuka border nadhani ni suala la kujipanga, mazao ya kilimo kwa sasa yanaruhusiwa kuvuka border. Bei inaanzia Tsh 150,000/= kwa gunia la ujazo wa debe 7 (i.e plastic-ndoo ya 20 lts). Maelewano yapo (Bargaining) Karibu Kaka Kivuma,U hali gani? Hapa Kenya naonelea tumezoea hesabu kwa kilo. Ingekuwa bora kama utasema ni gunia la kilo ngapi ama hilo debe lina beba kilo ngapi. Zaidi ya hapo sema hiyo pesa kwa Ksh. Mimi sina exchange rate ya Tsh to Ksh na vice-versa. Nakutakia heri njema. Na Dada Umejaribi Kinena Kiswahili Kabisa.  nimestajabu, bibi amenena mawaidha ya maana sana - natumai @kivuma atayatilia maanani in my language Kinena means something totally different... hehehehe. but i get what you are saying @Am... the swaha... #icant... ul laugh at me for days Kwa Lugha Yako Kinena Yamanisha Nini Ndugu @Mariacha? Na Mbona Unachafua Akili bure Mtoka Mlimani? Do not be anxious about anything, but in everything, by prayer and petition, with thanksgiving, present your requests to God..
|
|
|
Rank: Veteran Joined: 2/3/2010 Posts: 1,797 Location: Kenya
|
mteja Wa kitunguu atoke kenya aende wapi I may be wrong..but then I could be right
|
|
|
Rank: Elder Joined: 3/2/2009 Posts: 26,331 Location: Masada
|
sheri wrote:Impunity wrote:kivuma wrote:Habari, Mimi ni Mtanzania nimelima zao la KITUNGUU heka mbili huku mkoa wa Kilimanjaro. natarajia kuanza kuvuna wakati wowote kuanzia wiki ijayo. Aina ya kitunguu: Red bombay Kama kuna Mteja hapa tuwasiliane. e-mail: 123samarantino@gmail.comwhatsapp: +255755508667 KARIBUNI SANA......... Wewe ni soketi ama plagi? Am laughing so hard. Haki @impunity ati plagi is that swahili really. Sasa kama wewe ungekuwa mimi ungeuliza aje? Portfolio: Sold You know you've made it when you get a parking space for your yatcht.
|
|
|
Rank: Elder Joined: 10/28/2008 Posts: 2,276 Location: Kibish
|
Am wrote:Mariacha wrote:nakujua wrote:Am wrote:Bigchick wrote:kivuma wrote:Nandwa wrote:Jambo Kaka,
Kuvuka border na bidhaa ndio kazi!
Hata hivyo, zao lako waliuza aje.
Jambo bro, kuvuka border nadhani ni suala la kujipanga, mazao ya kilimo kwa sasa yanaruhusiwa kuvuka border. Bei inaanzia Tsh 150,000/= kwa gunia la ujazo wa debe 7 (i.e plastic-ndoo ya 20 lts). Maelewano yapo (Bargaining) Karibu Kaka Kivuma,U hali gani? Hapa Kenya naonelea tumezoea hesabu kwa kilo. Ingekuwa bora kama utasema ni gunia la kilo ngapi ama hilo debe lina beba kilo ngapi. Zaidi ya hapo sema hiyo pesa kwa Ksh. Mimi sina exchange rate ya Tsh to Ksh na vice-versa. Nakutakia heri njema. Na Dada Umejaribi Kinena Kiswahili Kabisa.  nimestajabu, bibi amenena mawaidha ya maana sana - natumai @kivuma atayatilia maanani in my language Kinena means something totally different... hehehehe. but i get what you are saying @Am... the swaha... #icant... ul laugh at me for days Kwa Lugha Yako Kinena Yamanisha Nini Ndugu @Mariacha? Na Mbona Unachafua Akili bure Mtoka Mlimani?  ati mtoka mlimani! #dead Nadondosha meli kubwa seuze ngalawa!
|
|
|
Wazua
»
Market
»
Wanted
»
Mteja wa zao la KITUNGUU toka Kenya
Forum Jump
You cannot post new topics in this forum.
You cannot reply to topics in this forum.
You cannot delete your posts in this forum.
You cannot edit your posts in this forum.
You cannot create polls in this forum.
You cannot vote in polls in this forum.
|