wazua Wed, Apr 29, 2026
Welcome Guest Search | Active Topics | Log In

4 Pages<1234>
Mteja wa zao la KITUNGUU toka Kenya
kivuma
#11 Posted : Tuesday, February 17, 2015 10:39:33 AM
Rank: Hello

Joined: 2/14/2015
Posts: 4
radio wrote:
@kivuma mie sitaki kitunguu nataka kidosho mtanzania. Je, waweza kuniorganizia?

hha hhaa muzee hapa natafuta mteja wa kitunguu, vidosho wapo njoo Bongo land
Mariacha
#12 Posted : Tuesday, February 17, 2015 11:01:00 AM
Rank: Member

Joined: 5/4/2011
Posts: 115
kivuma wrote:
Bigchick wrote:
kivuma wrote:
Nandwa wrote:
Jambo Kaka,

Kuvuka border na bidhaa ndio kazi!

Hata hivyo, zao lako waliuza aje.

Jambo bro, kuvuka border nadhani ni suala la kujipanga, mazao ya kilimo kwa sasa yanaruhusiwa kuvuka border.
Bei inaanzia Tsh 150,000/= kwa gunia la ujazo wa debe 7 (i.e plastic-ndoo ya 20 lts). Maelewano yapo (Bargaining)

Karibu

Kaka Kivuma,U hali gani?

Hapa Kenya naonelea tumezoea hesabu kwa kilo.

Ingekuwa bora kama utasema ni gunia la kilo ngapi ama hilo debe lina beba kilo ngapi.

Zaidi ya hapo sema hiyo pesa kwa Ksh.

Mimi sina exchange rate ya Tsh to Ksh na vice-versa.

Nakutakia heri njema.

Niko poa Bro.

Debe moja ni kilo 20 maana yake gunia moja ni kilo 140 i.e 20 x 7

Exchange rate: 1 Ksh = 18 Tsh
kwahio Tsh 150,000 = Aprox Ksh 8152

Karibu

140Kgs = KES8,152
1Kg = KES8,152/140
= KES58.23

Current Market Prices for onions = KES(55 to 60)

Quite fair.
the warmer the blankets, the colder the future
Impunity
#13 Posted : Tuesday, February 17, 2015 11:14:11 AM
Rank: Elder

Joined: 3/2/2009
Posts: 26,331
Location: Masada
kivuma wrote:
Habari,
Mimi ni Mtanzania nimelima zao la KITUNGUU heka mbili huku mkoa wa Kilimanjaro. natarajia kuanza kuvuna wakati wowote kuanzia wiki ijayo.

Aina ya kitunguu: Red bombay

Kama kuna Mteja hapa tuwasiliane.

e-mail: 123samarantino@gmail.com
whatsapp: +255755508667

KARIBUNI SANA.........

Wewe ni soketi ama plagi?
d'oh!
Portfolio: Sold
You know you've made it when you get a parking space for your yatcht.

Coolio
#14 Posted : Tuesday, February 17, 2015 11:23:24 AM
Rank: Elder

Joined: 10/28/2008
Posts: 2,276
Location: Kibish
Impunity wrote:
kivuma wrote:
Habari,
Mimi ni Mtanzania nimelima zao la KITUNGUU heka mbili huku mkoa wa Kilimanjaro. natarajia kuanza kuvuna wakati wowote kuanzia wiki ijayo.

Aina ya kitunguu: Red bombay

Kama kuna Mteja hapa tuwasiliane.

e-mail: 123samarantino@gmail.com
whatsapp: +255755508667

KARIBUNI SANA.........

Wewe ni soketi ama plagi?
d'oh!

Laughing out loudly I saw it coming! !!!!
Nadondosha meli kubwa seuze ngalawa!
sheri
#15 Posted : Tuesday, February 17, 2015 12:14:52 PM
Rank: Member

Joined: 4/11/2007
Posts: 694
[quote=radio]@kivuma mie sitaki kitunguu nataka kidosho mtanzania. Je, waweza kuniorganizia?[/quote

Haki Wazua kutoka kitunguu hadi kidosho. You've killed itLaughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly
sheri
#16 Posted : Tuesday, February 17, 2015 12:16:23 PM
Rank: Member

Joined: 4/11/2007
Posts: 694
Impunity wrote:
kivuma wrote:
Habari,
Mimi ni Mtanzania nimelima zao la KITUNGUU heka mbili huku mkoa wa Kilimanjaro. natarajia kuanza kuvuna wakati wowote kuanzia wiki ijayo.

Aina ya kitunguu: Red bombay

Kama kuna Mteja hapa tuwasiliane.

e-mail: 123samarantino@gmail.com
whatsapp: +255755508667

KARIBUNI SANA.........

Wewe ni soketi ama plagi?
d'oh!

Am laughing so hard. Haki @impunity ati plagi is that swahili really.
Am
#17 Posted : Tuesday, February 17, 2015 5:05:51 PM
Rank: Veteran

Joined: 2/21/2012
Posts: 1,739
Mariacha wrote:
nakujua wrote:
Am wrote:
Bigchick wrote:
kivuma wrote:
Nandwa wrote:
Jambo Kaka,

Kuvuka border na bidhaa ndio kazi!

Hata hivyo, zao lako waliuza aje.

Jambo bro, kuvuka border nadhani ni suala la kujipanga, mazao ya kilimo kwa sasa yanaruhusiwa kuvuka border.
Bei inaanzia Tsh 150,000/= kwa gunia la ujazo wa debe 7 (i.e plastic-ndoo ya 20 lts). Maelewano yapo (Bargaining)

Karibu

Kaka Kivuma,U hali gani?

Hapa Kenya naonelea tumezoea hesabu kwa kilo.

Ingekuwa bora kama utasema ni gunia la kilo ngapi ama hilo debe lina beba kilo ngapi.

Zaidi ya hapo sema hiyo pesa kwa Ksh.

Mimi sina exchange rate ya Tsh to Ksh na vice-versa.

Nakutakia heri njema.

Applause Applause Applause Applause
Applause Applause Applause Applause

Na Dada Umejaribi Kinena Kiswahili Kabisa.

smile nimestajabu, bibi amenena mawaidha ya maana sana - natumai @kivuma atayatilia maanani

in my language Kinena means something totally different... hehehehe. but i get what you are saying @Am... the swaha... #icant... ul laugh at me for days

Kwa Lugha Yako Kinena Yamanisha Nini Ndugu @Mariacha? Na Mbona Unachafua Akili bure Mtoka Mlimani?
Do not be anxious about anything, but in everything, by prayer and petition, with thanksgiving, present your requests to God..
digitek1
#18 Posted : Tuesday, February 17, 2015 5:23:58 PM
Rank: Veteran

Joined: 2/3/2010
Posts: 1,797
Location: Kenya
mteja Wa kitunguu atoke kenya aende wapid'oh!
I may be wrong..but then I could be right
Impunity
#19 Posted : Tuesday, February 17, 2015 5:56:27 PM
Rank: Elder

Joined: 3/2/2009
Posts: 26,331
Location: Masada
sheri wrote:
Impunity wrote:
kivuma wrote:
Habari,
Mimi ni Mtanzania nimelima zao la KITUNGUU heka mbili huku mkoa wa Kilimanjaro. natarajia kuanza kuvuna wakati wowote kuanzia wiki ijayo.

Aina ya kitunguu: Red bombay

Kama kuna Mteja hapa tuwasiliane.

e-mail: 123samarantino@gmail.com
whatsapp: +255755508667

KARIBUNI SANA.........

Wewe ni soketi ama plagi?
d'oh!

Am laughing so hard. Haki @impunity ati plagi is that swahili really.

Sasa kama wewe ungekuwa mimi ungeuliza aje?
Portfolio: Sold
You know you've made it when you get a parking space for your yatcht.

Coolio
#20 Posted : Tuesday, February 17, 2015 6:54:36 PM
Rank: Elder

Joined: 10/28/2008
Posts: 2,276
Location: Kibish
Am wrote:
Mariacha wrote:
nakujua wrote:
Am wrote:
Bigchick wrote:
kivuma wrote:
Nandwa wrote:
Jambo Kaka,

Kuvuka border na bidhaa ndio kazi!

Hata hivyo, zao lako waliuza aje.

Jambo bro, kuvuka border nadhani ni suala la kujipanga, mazao ya kilimo kwa sasa yanaruhusiwa kuvuka border.
Bei inaanzia Tsh 150,000/= kwa gunia la ujazo wa debe 7 (i.e plastic-ndoo ya 20 lts). Maelewano yapo (Bargaining)

Karibu

Kaka Kivuma,U hali gani?

Hapa Kenya naonelea tumezoea hesabu kwa kilo.

Ingekuwa bora kama utasema ni gunia la kilo ngapi ama hilo debe lina beba kilo ngapi.

Zaidi ya hapo sema hiyo pesa kwa Ksh.

Mimi sina exchange rate ya Tsh to Ksh na vice-versa.

Nakutakia heri njema.

Applause Applause Applause Applause
Applause Applause Applause Applause

Na Dada Umejaribi Kinena Kiswahili Kabisa.

smile nimestajabu, bibi amenena mawaidha ya maana sana - natumai @kivuma atayatilia maanani

in my language Kinena means something totally different... hehehehe. but i get what you are saying @Am... the swaha... #icant... ul laugh at me for days

Kwa Lugha Yako Kinena Yamanisha Nini Ndugu @Mariacha? Na Mbona Unachafua Akili bure Mtoka Mlimani?

Laughing out loudly ati mtoka mlimani! #dead
Nadondosha meli kubwa seuze ngalawa!
4 Pages<1234>
Forum Jump  
You cannot post new topics in this forum.
You cannot reply to topics in this forum.
You cannot delete your posts in this forum.
You cannot edit your posts in this forum.
You cannot create polls in this forum.
You cannot vote in polls in this forum.

Copyright © 2026 Wazua.co.ke. All Rights Reserved.