Wazua
»
Market
»
Wanted
»
Mteja wa zao la KITUNGUU toka Kenya
Rank: Hello Joined: 2/14/2015 Posts: 4
|
Habari, Mimi ni Mtanzania nimelima zao la KITUNGUU heka mbili huku mkoa wa Kilimanjaro. natarajia kuanza kuvuna wakati wowote kuanzia wiki ijayo. Aina ya kitunguu: Red bombay Kama kuna Mteja hapa tuwasiliane. e-mail: 123samarantino@gmail.comwhatsapp: +255755508667 KARIBUNI SANA.........
|
|
|
Rank: Veteran Joined: 11/17/2009 Posts: 1,049
|
Jambo Kaka, Kuvuka border na bidhaa ndio kazi! Hata hivyo, zao lako waliuza aje. Just as absolute power corrupts leaders, so does absolute fanaticism blind the people from logic
|
|
|
Rank: Hello Joined: 2/14/2015 Posts: 4
|
Nandwa wrote:Jambo Kaka,
Kuvuka border na bidhaa ndio kazi!
Hata hivyo, zao lako waliuza aje.
Jambo bro, kuvuka border nadhani ni suala la kujipanga, mazao ya kilimo kwa sasa yanaruhusiwa kuvuka border. Bei inaanzia Tsh 150,000/= kwa gunia la ujazo wa debe 7 (i.e plastic-ndoo ya 20 lts). Maelewano yapo (Bargaining) Karibu
|
|
|
Rank: Elder Joined: 2/8/2013 Posts: 4,068 Location: At Large.
|
kivuma wrote:Nandwa wrote:Jambo Kaka,
Kuvuka border na bidhaa ndio kazi!
Hata hivyo, zao lako waliuza aje.
Jambo bro, kuvuka border nadhani ni suala la kujipanga, mazao ya kilimo kwa sasa yanaruhusiwa kuvuka border. Bei inaanzia Tsh 150,000/= kwa gunia la ujazo wa debe 7 (i.e plastic-ndoo ya 20 lts). Maelewano yapo (Bargaining) Karibu Kaka Kivuma,U hali gani? Hapa Kenya naonelea tumezoea hesabu kwa kilo. Ingekuwa bora kama utasema ni gunia la kilo ngapi ama hilo debe lina beba kilo ngapi. Zaidi ya hapo sema hiyo pesa kwa Ksh. Mimi sina exchange rate ya Tsh to Ksh na vice-versa. Nakutakia heri njema. Love is beautiful and so are those who share it.With Love, Marriage is an amazing event in ones life time, the foundation of joy, happiness and success.
|
|
|
Rank: Veteran Joined: 2/21/2012 Posts: 1,739
|
Bigchick wrote:kivuma wrote:Nandwa wrote:Jambo Kaka,
Kuvuka border na bidhaa ndio kazi!
Hata hivyo, zao lako waliuza aje.
Jambo bro, kuvuka border nadhani ni suala la kujipanga, mazao ya kilimo kwa sasa yanaruhusiwa kuvuka border. Bei inaanzia Tsh 150,000/= kwa gunia la ujazo wa debe 7 (i.e plastic-ndoo ya 20 lts). Maelewano yapo (Bargaining) Karibu Kaka Kivuma,U hali gani? Hapa Kenya naonelea tumezoea hesabu kwa kilo. Ingekuwa bora kama utasema ni gunia la kilo ngapi ama hilo debe lina beba kilo ngapi. Zaidi ya hapo sema hiyo pesa kwa Ksh. Mimi sina exchange rate ya Tsh to Ksh na vice-versa. Nakutakia heri njema. Na Dada Umejaribi Kinena Kiswahili Kabisa. Do not be anxious about anything, but in everything, by prayer and petition, with thanksgiving, present your requests to God..
|
|
|
Rank: Elder Joined: 12/17/2009 Posts: 3,583 Location: Kenya
|
Am wrote:Bigchick wrote:kivuma wrote:Nandwa wrote:Jambo Kaka,
Kuvuka border na bidhaa ndio kazi!
Hata hivyo, zao lako waliuza aje.
Jambo bro, kuvuka border nadhani ni suala la kujipanga, mazao ya kilimo kwa sasa yanaruhusiwa kuvuka border. Bei inaanzia Tsh 150,000/= kwa gunia la ujazo wa debe 7 (i.e plastic-ndoo ya 20 lts). Maelewano yapo (Bargaining) Karibu Kaka Kivuma,U hali gani? Hapa Kenya naonelea tumezoea hesabu kwa kilo. Ingekuwa bora kama utasema ni gunia la kilo ngapi ama hilo debe lina beba kilo ngapi. Zaidi ya hapo sema hiyo pesa kwa Ksh. Mimi sina exchange rate ya Tsh to Ksh na vice-versa. Nakutakia heri njema. Na Dada Umejaribi Kinena Kiswahili Kabisa.  nimestajabu, bibi amenena mawaidha ya maana sana - natumai @kivuma atayatilia maanani
|
|
|
Rank: Member Joined: 5/4/2011 Posts: 115
|
nakujua wrote:Am wrote:Bigchick wrote:kivuma wrote:Nandwa wrote:Jambo Kaka,
Kuvuka border na bidhaa ndio kazi!
Hata hivyo, zao lako waliuza aje.
Jambo bro, kuvuka border nadhani ni suala la kujipanga, mazao ya kilimo kwa sasa yanaruhusiwa kuvuka border. Bei inaanzia Tsh 150,000/= kwa gunia la ujazo wa debe 7 (i.e plastic-ndoo ya 20 lts). Maelewano yapo (Bargaining) Karibu Kaka Kivuma,U hali gani? Hapa Kenya naonelea tumezoea hesabu kwa kilo. Ingekuwa bora kama utasema ni gunia la kilo ngapi ama hilo debe lina beba kilo ngapi. Zaidi ya hapo sema hiyo pesa kwa Ksh. Mimi sina exchange rate ya Tsh to Ksh na vice-versa. Nakutakia heri njema. Na Dada Umejaribi Kinena Kiswahili Kabisa.  nimestajabu, bibi amenena mawaidha ya maana sana - natumai @kivuma atayatilia maanani in my language Kinena means something totally different... hehehehe. but i get what you are saying @Am... the swaha... #icant... ul laugh at me for days the warmer the blankets, the colder the future
|
|
|
Rank: Veteran Joined: 6/23/2014 Posts: 1,652
|
Mariacha wrote:nakujua wrote:Am wrote:Bigchick wrote:kivuma wrote:Nandwa wrote:Jambo Kaka,
Kuvuka border na bidhaa ndio kazi!
Hata hivyo, zao lako waliuza aje.
Jambo bro, kuvuka border nadhani ni suala la kujipanga, mazao ya kilimo kwa sasa yanaruhusiwa kuvuka border. Bei inaanzia Tsh 150,000/= kwa gunia la ujazo wa debe 7 (i.e plastic-ndoo ya 20 lts). Maelewano yapo (Bargaining) Karibu Kaka Kivuma,U hali gani? Hapa Kenya naonelea tumezoea hesabu kwa kilo. Ingekuwa bora kama utasema ni gunia la kilo ngapi ama hilo debe lina beba kilo ngapi. Zaidi ya hapo sema hiyo pesa kwa Ksh. Mimi sina exchange rate ya Tsh to Ksh na vice-versa. Nakutakia heri njema. Na Dada Umejaribi Kinena Kiswahili Kabisa.  nimestajabu, bibi amenena mawaidha ya maana sana - natumai @kivuma atayatilia maanani in my language Kinena means something totally different... hehehehe. but i get what you are saying @Am... the swaha... #icant... ul laugh at me for days Ngahutia nyo...Ngahutia Kinena ngarira weeeh!! Hutia Mundu!!
|
|
|
Rank: Hello Joined: 2/14/2015 Posts: 4
|
Bigchick wrote:kivuma wrote:Nandwa wrote:Jambo Kaka,
Kuvuka border na bidhaa ndio kazi!
Hata hivyo, zao lako waliuza aje.
Jambo bro, kuvuka border nadhani ni suala la kujipanga, mazao ya kilimo kwa sasa yanaruhusiwa kuvuka border. Bei inaanzia Tsh 150,000/= kwa gunia la ujazo wa debe 7 (i.e plastic-ndoo ya 20 lts). Maelewano yapo (Bargaining) Karibu Kaka Kivuma,U hali gani? Hapa Kenya naonelea tumezoea hesabu kwa kilo. Ingekuwa bora kama utasema ni gunia la kilo ngapi ama hilo debe lina beba kilo ngapi. Zaidi ya hapo sema hiyo pesa kwa Ksh. Mimi sina exchange rate ya Tsh to Ksh na vice-versa. Nakutakia heri njema. Niko poa Bro. Debe moja ni kilo 20 maana yake gunia moja ni kilo 140 i.e 20 x 7 Exchange rate: 1 Ksh = 18 Tsh kwahio Tsh 150,000 = Aprox Ksh 8152 Karibu
|
|
|
Rank: Veteran Joined: 11/9/2009 Posts: 2,003
|
@kivuma mie sitaki kitunguu nataka kidosho mtanzania. Je, waweza kuniorganizia?
|
|
|
Wazua
»
Market
»
Wanted
»
Mteja wa zao la KITUNGUU toka Kenya
Forum Jump
You cannot post new topics in this forum.
You cannot reply to topics in this forum.
You cannot delete your posts in this forum.
You cannot edit your posts in this forum.
You cannot create polls in this forum.
You cannot vote in polls in this forum.
|