muganda[i wrote:Jua kwamba wewe ndio wangu
Baridi ya roho 'seisha na hamu
Sura yako dawa kwangu
Raha za pungu' kando zangu
Mahaba yako ndio tiba yangu
Nyota yako yang'ara kwangu
Hebu tathmini kisha nipe jibu
'vi kwanini hutaki kunijibu
Mitihani yote nimeshinda
Nadhani ni wakati
Penzi letu sisi liwe wazi
Roho yangu inauma
Maumivu sasa basi
Sasa basiiiii...[/i]
hiyo mistari ya sugua roho kweli kweli.
'......to the acknowledgment of the mystery of God, and of the Father, and of Christ; 3 In whom are hid all the treasures of wisdom and knowledge.' Colossians 2:2-3