FORGIVE ME MAMA BOI
Am sorry,
Its a long story,
But please forgive me Mama Boi,
I still need you and the watoi,
Unakumbuka ile ball ya Kui?
Ni yangu na amekataa ku-abort,
Na akathreaten kukushow nisipom-support,
Aki forgive me Mama Boi,
I got turned on by my secretary's cleavage,
And i totally forgot all about our marriage,
Ndio maana ile siku,
Nlifika kejani usiku,
Nkikaa ni kama nimesurvive a road carnage,
Aki forgive me Mama Boi,
I fell for my boss's killer legs,
Ni yeye alinitumia meso ile siku tukiwa kwa bed,
Na sikupenda kwangu,
Nlijapata tu kwa ofisi miguu zake nikispread,
Aki forgive me Mama Boi,
I was enchanted by her floral cologne,
Kwanza venye aliinama nikacheki thong,
Mahanjam zilipanda,
Tulijipata tu kwa kitanda,
Dem akiimba tu kama kinanda,
Aki forgive me Mama Boi,
Unakumbuka,
Siku nlikwambia niko meeting?
Enyewe,
Honestly speaking,
Nlikuwa out na Matherita,
Ule dem nliwaintroduce,
Kama Joni's long lost sister,
Infact ata Joni hajawahi muona,
Na real name yake ni Fiona,
Aki forgive me Mama Boi,
I also did it with the mboch,
Siku ulipeleka watoi kuona shosh,
Tulikuwa tunaona tu movie kwa couch,
One thing led to another,
Nlishtukia tu tumenza ku-smooch,
Alafu the rest is history,
Aki i am really sorry,
Please forgive me Mama Boi,
Am only human,
And i make mistakes,
But you are my only woman,
And I'll do whatever it takes,
To make it up to you,
Just dont leave me,
Think about our kids,
Dont let them grow up without a father.
(c) BOY flani KURTANGA
All Rights Reserved.
2015.
“small step for man”