washiku wrote:harrydre wrote:I did not see Joho leading the efforts to destroy the drugs
The good thing with having a rich president...
Hon. Ali Hassan Joho
Yesterday at 6:47pm ·
Today I accompanied H.E Uhuru Kenyatta to watch the 1 Billion Shilling heroin haul captured by our security forces sunk deep into the Indian Ocean, along with the ship that carried it to our shores. The haul would have been poison being peddled in our streets and now it’s in the abyss of the ocean. This is truly a clear declaration on the renewed vigor on war against drugs.
Mwanasiasa Mashuhuri Wa Pwani Ahusishwa Na Mihadarati
Mwanasiasa Mashuhuri Wa Pwani Ahusishwa Na Mihadarati
Shirika la ujasusi la marekani C.I.A limetoa ripoti za ujasusi zinazohusisha mwanasiasa mmoja mashuhuri katika Pwani ya Kenya na ulanguzi wa mihadarati, na vile vile mashambulizi katika eneo la Pwani.
Kwenye ripoti hiyo ya siri na ambayo kitengo cha uchunguzi cha K24 Wikendi kimefanikiwa kupata, inaashiria kuwa maafisa wa C.I.A walifanikiwa kunasa mawasiliano kati ya jamaa mmoja wa mwanasiasa huyo na viongozi wa kundi la wanamgambo wa Al Shabaab na MRC
Kama mwanahabari wetu Kiama Kariuki anavyotuarifu, ripoti hiyo inapendekeza kuchunguzwa kwa karibu kwa mwanasiasa huyo na vile vile wanasiasa wengine mashuhuri hapa nchini.
https://www.youtube.com/watch?v=fvD3fJUnJIg