Habari kwa Ufupi.
Jina la Wazua limezua ubishi mwingi kati ya Wana-SK (Skerians) na wahariri wa Wazua (Skenge?).
Wahariri wa Wazua hawajaweza kueleza maana halisi ya jina hilo na uhusiano wa jina hilo na mambo yaliyomo katika kurasa za Wazua.
Wana-SK wengi bado hawajaonyesha kupendezwa kwao na mabadiliko yaliyofanyika na haijulikani kama majadiliano katika Wazua yataweza kutia fora kama yalivyokuwa yakifanya wakati wa Stockskenya.
Taunet Neelel ..... New Beginning .....