Spotted at Bar in Nyeri...
1. Ukifanya order, unaturia, usishide umekubusha waiter, yeye ni mutu mzima anakubuka.
2. Ukirewa urewe peke yako, usianze kuiba nyibo za Kigooco huku. Ukitaka kuiba eda crusade.
3. Huku hakuna dance floor. Kwa hivo usikadance huku, hii ni bar, sio carnivorous (Car¬nivore.)
4. Urinal ziko. Kukonjoa ni sawa. Ukitaka hanja kubwa, mariza fombe yako uede ukakunie kwako. Huku hakuna choo. Tunauzaga fombe si Ugari.
5. Kufugia waiter jicho uwache. Unamfugia jicho kwani umeskia ni daktari wa macho.
6. Ukinunuria waiter fombe, sio kumaanicha ati utaeda na yeye kwako. Ako hapa kuuza fombe, sio kuuza mwiri, mununurie na uede.
7. Kumwaga mwaga fombe kwa meza tumekataa! Urinunua ukunywe ama umwage?
8. Huku hakuna maraya. Ukitaka maraya kuja na wako, na akuwe maraya anaereweka tafathari.
9. Wakati Mike Rua ama Salim Junia anaiba, tafathari usiibanishe na yeye. NYAMAZA watu warikuja kusikiza Rua, sio wewe. Ukitaka kuiba, tuabie tukutafutie Saturday yako.
10. Kushika shika waiter matako ni hatia! Shika matako yako, huku si bedroom.
11. Maneno ya CORD na JUBILEE perekeni Fesbuk. Sio hapa!
12. Kuwekewa mchere kwa fombe si kitu kubwa, ukiwekewa, unaitoa na unaederea na Fombe yako kama kawaida.
13. HAKUNA kurara kwa meza! Meza sio kitada. Kama umerewa, eda ukarare kwako.
14. Ukiibiwa pesa eda ukastaki kwa borithi, si ati ukuje kusubua Manager.
15. Tip ni razima! Kama pesa yako haitoshi ya tip, nunua fombe take away ukakunywie kwako.
16. Huku hakuna bouncer! Rakini ukireta nyokonyoko tutakunyorosha kama Mukora.
17. Usitapike huku. Hii ni bar, sio clinic ya watoto. Unatapika kwani uko na miba??
By Management
Whatever the mind of man can conceive and believe, it can achieve.