Wazua
»
Club SK
»
Life
»
Maajabu Mambasani tena...
Rank: Elder Joined: 5/1/2010 Posts: 3,024 Location: Hapa
|
tycho wrote:butterflyke wrote:tycho wrote:Bigchick wrote:tycho wrote:washiku wrote:Ukistaajabu ya paka kwa mtungi, basi mengine ndiyo haaaaya...Kibibi katapika misumari, nyundo, screw driva, pliers, nyororo vipande vipande na kadhalika...Maajabu haya. @Tycho, haya utayaita nini kwa ludga ya "dini" yako? Si shetaniii nini? @Washiku, twaweza kuita mambo haya 'alternative psychotherapy'. Lakini kuna jina halisi la 'usanii' na matibabu haya ila tu limeniponyoka kwa sasa. Bw. Freud na mwenzake Breuer waligundua ugonjwa wa hysteria una ambatana sana na mambo ya kinyumbani na hasa ya ngono, na mara kwa mara kumfanya kijana kuwa na dalili za ugonjwa lakini asipate matibabu ya kawaida. Hili ni jambo ambalo hufanyika sana wakati mila na itikadi zinabadilika kwa kasi na kuwacha wauguzi wa kijadi wakiwa hawana budi ila kutafuta visingizio kama vile tulivyo ona. Lakini usifikiri yule dada kashapona! Bado! Tena, kama tulivyosikia, wagonjwa ni wengi huko. Na wajua mambo ya pwani ni mazito hasaa ki ngono!!! Mimi mwenyewe nimeshuhudia mambo haya mara tatu hivi, ijapokuwa mara ya mwisho utapeli ulizidi, kwani sahiba wangu mmoja aliyekuwa akikohoa sana alitolewa vipande vya chupa tumboni. Ilibidi ni mshauri aende kupimwa magonjwa ya T.B. Majuzi nilikuwa naye na nikamwona akiwa buheri wa afya. Hee! Hata kwa kiswahili unatuchanganya. Hongera kwa hio lugha. Sasa mie natamani sana nikutane nawe tusemezane lugha hii sanifu. Asante. Ila tu usinilaumu kwa kuchanganywa kwako/kwenu, kwani bahari ya umalenga ivumapo dau si chache zizamazo! Lakini ndiye mimi huyu kasha wasili, tusemezane mpaka tuelewane (nashuku pasi kuchanyishwa mahaba yatajaa!).  haya tuone atakaye mchanganya mwenzie Butterflyke effect? Float like a butterfly, sting like a bee. - Muhammad Aliπ
|
|
|
Rank: Elder Joined: 1/17/2013 Posts: 4,693 Location: Earth
|
tycho wrote: Asante. Ila tu usinilaumu kwa kuchanganywa kwako/kwenu, kwani bahari ya umalenga ivumapo dau si chache zizamazo!
Lakini ndiye mimi huyu kasha wasili, tusemezane mpaka tuelewane (nashuku pasi kuchanyishwa mahaba yatajaa!).
ok nimekubali kiswahili ni ngumu.
|
|
|
Rank: Elder Joined: 6/8/2013 Posts: 2,517
|
Alhaji malenga wa vumba, a.k.a al ustadh shaaban bin Robert sife moyo swahiba, MWANAMUME NI EFFORT mahaba ni kikohozi, kushikwa ni ghafla  @kysse translationment  @Bigchick waoga hawazai Kisha, endacho kwa mganga 'hankirudi' offer already accepted "ππ‘KQ makes money for everyone except the shareholder ππ " overheard in Wazua
|
|
|
Rank: Elder Joined: 7/1/2011 Posts: 8,804 Location: Nairobi
|
Siringi wrote:Alhaji malenga wa vumba, a.k.a al ustadh shaaban bin Robert sife moyo swahiba, MWANAMUME NI EFFORT mahaba ni kikohozi, kushikwa ni ghafla  @kysse translationment  @Bigchick waoga hawazai Kisha, endacho kwa mganga 'hankirudi' offer already accepted Ucheshi galore.
|
|
|
Rank: Elder Joined: 8/10/2010 Posts: 2,266
|
tycho wrote:Njung'e wrote:Huyu Tycho ni mgumu wa kuelewa kuliko mistari za ki-Hindi. Nami najiuliza, kama 'ki-Hindi' kingekuwa kigumu vile, wahindi wangelikuwa bilioni moja kweli? Bila shaka uzazi wahitaji urahisi wa maneno na kuelewana. Pia labda kueleweka kwa urahisi kuna dosari zake. Kwa mfano, usemi ukieleweka kwa haraka basi labda ni fikra za jadi zilizoamshwa na hamna mapya ya leo/sasa. Kuelewana ni densi, labda mieleka, na aponaye ni mwenye maarifa na nguvu. Kama Kweli kihindi sio kigumu, mbona wahindi wanapo ongea hujaribu sana kujieleza kwa kutingisa shingo na kichwa na hata kutumia alama za mikono? Tr Ongezeko la idadi ya wahindi si kwa sababu ya urahisi wa lugha ya kihindi mbali ni wanawake WA asili ya kihindi kutokua sumbua na wanaelewa vizuri kazi ambayo MUNGU wetu aliwapa hapa duniani. Politics is just things to keep the people divided and foolish and put your trust in men and none of them can do nothing for you...
|
|
|
Rank: Chief Joined: 5/9/2007 Posts: 13,095
|
mpobiz wrote:tycho wrote:Njung'e wrote:Huyu Tycho ni mgumu wa kuelewa kuliko mistari za ki-Hindi. Nami najiuliza, kama 'ki-Hindi' kingekuwa kigumu vile, wahindi wangelikuwa bilioni moja kweli? Bila shaka uzazi wahitaji urahisi wa maneno na kuelewana. Pia labda kueleweka kwa urahisi kuna dosari zake. Kwa mfano, usemi ukieleweka kwa haraka basi labda ni fikra za jadi zilizoamshwa na hamna mapya ya leo/sasa. Kuelewana ni densi, labda mieleka, na aponaye ni mwenye maarifa na nguvu. Kama Kweli kihindi sio kigumu, mbona wahindi wanapo ongea hujaribu sana kujieleza kwa kutingisa shingo na kichwa na hata kutumia alama za mikono? Tr Ongezeko la idadi ya wahindi si kwa sababu ya urahisi wa lugha ya kihindi mbali ni wanawake WA asili ya kihindi kutokua sumbua na wanaelewa vizuri kazi ambayo MUNGU wetu aliwapa hapa duniani. Na pia tukitumia ujuzi kutoka topic ile ya Octopus, tunaweza sema ni sababuya pilipili
|
|
|
Rank: Elder Joined: 6/8/2013 Posts: 2,517
|
Enter the exorcist huyo ni yule ng'ang'a wa TV ama ni photocopy? "ππ‘KQ makes money for everyone except the shareholder ππ " overheard in Wazua
|
|
|
Rank: Member Joined: 8/5/2008 Posts: 602
|
Tycho wrote Quote:washiku wrote: Ukistaajabu ya paka kwa mtungi, basi mengine ndiyo haaaaya...Kibibi katapika misumari, nyundo, screw driva, pliers, nyororo vipande vipande na kadhalika...Maajabu haya. @Tycho, haya utayaita nini kwa ludga ya "dini" yako? Si shetaniii nini?
@Washiku, twaweza kuita mambo haya 'alternative psychotherapy'. Lakini kuna jina halisi la 'usanii' na matibabu haya ila tu limeniponyoka kwa sasa.
Bw. Freud na mwenzake Breuer waligundua ugonjwa wa hysteria una ambatana sana na mambo ya kinyumbani na hasa ya ngono, na mara kwa mara kumfanya kijana kuwa na dalili za ugonjwa lakini asipate matibabu ya kawaida.
Hili ni jambo ambalo hufanyika sana wakati mila na itikadi zinabadilika kwa kasi na kuwacha wauguzi wa kijadi wakiwa hawana budi ila kutafuta visingizio kama vile tulivyo ona.
Lakini usifikiri yule dada kashapona! Bado! Tena, kama tulivyosikia, wagonjwa ni wengi huko. Na wajua mambo ya pwani ni mazito hasaa ki ngono!!!
Mimi mwenyewe nimeshuhudia mambo haya mara tatu hivi, ijapokuwa mara ya mwisho utapeli ulizidi, kwani sahiba wangu mmoja aliyekuwa akikohoa sana alitolewa vipande vya chupa tumboni. Ilibidi ni mshauri aende kupimwa magonjwa ya T.B. Majuzi nilikuwa naye na nikamwona akiwa buheri wa afya.
Ati nini? "The chief danger in life is that you may take too many precautions" - Alfred adler
|
|
|
Rank: Member Joined: 11/19/2009 Posts: 3,142
|
bebeto wrote:Tycho wrote Quote:washiku wrote: Ukistaajabu ya paka kwa mtungi, basi mengine ndiyo haaaaya...Kibibi katapika misumari, nyundo, screw driva, pliers, nyororo vipande vipande na kadhalika...Maajabu haya. @Tycho, haya utayaita nini kwa ludga ya "dini" yako? Si shetaniii nini?
@Washiku, twaweza kuita mambo haya 'alternative psychotherapy'. Lakini kuna jina halisi la 'usanii' na matibabu haya ila tu limeniponyoka kwa sasa.
Bw. Freud na mwenzake Breuer waligundua ugonjwa wa hysteria una ambatana sana na mambo ya kinyumbani na hasa ya ngono, na mara kwa mara kumfanya kijana kuwa na dalili za ugonjwa lakini asipate matibabu ya kawaida.
Hili ni jambo ambalo hufanyika sana wakati mila na itikadi zinabadilika kwa kasi na kuwacha wauguzi wa kijadi wakiwa hawana budi ila kutafuta visingizio kama vile tulivyo ona.
Lakini usifikiri yule dada kashapona! Bado! Tena, kama tulivyosikia, wagonjwa ni wengi huko. Na wajua mambo ya pwani ni mazito hasaa ki ngono!!!
Mimi mwenyewe nimeshuhudia mambo haya mara tatu hivi, ijapokuwa mara ya mwisho utapeli ulizidi, kwani sahiba wangu mmoja aliyekuwa akikohoa sana alitolewa vipande vya chupa tumboni. Ilibidi ni mshauri aende kupimwa magonjwa ya T.B. Majuzi nilikuwa naye na nikamwona akiwa buheri wa afya.
Ati nini? lol. A chink in the armour!
|
|
|
Wazua
»
Club SK
»
Life
»
Maajabu Mambasani tena...
Forum Jump
You cannot post new topics in this forum.
You cannot reply to topics in this forum.
You cannot delete your posts in this forum.
You cannot edit your posts in this forum.
You cannot create polls in this forum.
You cannot vote in polls in this forum.
|