wazua Sun, May 10, 2026
Welcome Guest Search | Active Topics | Log In

4 Pages<1234>
Maajabu Mambasani tena...
masukuma
#21 Posted : Friday, September 13, 2013 8:08:47 PM
Rank: Elder

Joined: 10/4/2006
Posts: 13,823
Location: Nairobi
Bigchick wrote:
Njung'e wrote:
masukuma wrote:
Njung'e wrote:
Huyu Tycho ni mgumu wa kuelewa kuliko mistari za ki-Hindi.

ya

Laughing out loudly Laughing out loudly ...i won't argue.During our days,there was mother tongue in place of Kiswahili.....Hell,i find it quite difficulty and i have promised myself to strangle that Wallah Bin Wallah fellow for belittling my intelligence.You see,i can't help a class 2 kid with Kiswahili homeworksmile.Poor meSad Pray ......but i am not as bad as the father of Lupita,who once introduced a visiting Tanzanian fisheries minister as waziri wa uvivu!smile

Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly

Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly lol!
All Mushrooms are edible! Some Mushroom are only edible ONCE!
Kusadikika
#22 Posted : Saturday, September 14, 2013 3:46:25 AM
Rank: Elder

Joined: 7/22/2008
Posts: 2,723
Njung'e wrote:
Bigchick wrote:
Njung'e wrote:
[quote=masukuma][quote=Njung'e]
but i am not as bad as the father of Lupita,who once introduced a visiting Tanzanian fisheries minister as waziri wa uvivu!smile

Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly

I even suspect this Lupita was supposed to be Kupita.

Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly

Guka, kuvunja watu mbavu ni hatia. Chunga sana usije ukakamatwa na kuhukimiwa. Na kwa vile huyu Lupita alizaliwa Mexico naona vile Mhadhiri angetaka kumpa jina la kuonyesha kwamba alikuwa anapita tu huko kwa kina Alehandro mtoto alipozaliwa.
tycho
#23 Posted : Saturday, September 14, 2013 6:51:33 AM
Rank: Elder

Joined: 7/1/2011
Posts: 8,804
Location: Nairobi
butterflyke wrote:
tycho wrote:
washiku wrote:
Ukistaajabu ya paka kwa mtungi, basi mengine ndiyo haaaaya...Kibibi katapika misumari, nyundo, screw driva, pliers, nyororo vipande vipande na kadhalika...Maajabu haya. @Tycho, haya utayaita nini kwa ludga ya "dini" yako? Si shetaniii nini?

@Washiku, twaweza kuita mambo haya 'alternative psychotherapy'. Lakini kuna jina halisi la 'usanii' na matibabu haya ila tu limeniponyoka kwa sasa.

Bw. Freud na mwenzake Breuer waligundua ugonjwa wa hysteria una ambatana sana na mambo ya kinyumbani na hasa ya ngono, na mara kwa mara kumfanya kijana kuwa na dalili za ugonjwa lakini asipate matibabu ya kawaida.

Hili ni jambo ambalo hufanyika sana wakati mila na itikadi zinabadilika kwa kasi na kuwacha wauguzi wa kijadi wakiwa hawana budi ila kutafuta visingizio kama vile tulivyo ona.

Lakini usifikiri yule dada kashapona! Bado! Tena, kama tulivyosikia, wagonjwa ni wengi huko. Na wajua mambo ya pwani ni mazito hasaa ki ngono!!!

Mimi mwenyewe nimeshuhudia mambo haya mara tatu hivi, ijapokuwa mara ya mwisho utapeli ulizidi, kwani sahiba wangu mmoja aliyekuwa akikohoa sana alitolewa vipande vya chupa tumboni. Ilibidi ni mshauri aende kupimwa magonjwa ya T.B. Majuzi nilikuwa naye na nikamwona akiwa buheri wa afya.

ni afueni kupata kukuelewa kwenye lugha hii nikilinganisha na mara unapoandika kwa kwenye lugha ya kimombo

Aaaah! Basi sijui nibadilishe mtindo wangu wa usemi au vipi! Lakini labda nikiwa 'mswahili' wengine wataniita 'mwongo'. Eti 'nawapiga Kiswahili'!
tycho
#24 Posted : Saturday, September 14, 2013 7:03:01 AM
Rank: Elder

Joined: 7/1/2011
Posts: 8,804
Location: Nairobi
Bigchick wrote:
tycho wrote:
washiku wrote:
Ukistaajabu ya paka kwa mtungi, basi mengine ndiyo haaaaya...Kibibi katapika misumari, nyundo, screw driva, pliers, nyororo vipande vipande na kadhalika...Maajabu haya. @Tycho, haya utayaita nini kwa ludga ya "dini" yako? Si shetaniii nini?

@Washiku, twaweza kuita mambo haya 'alternative psychotherapy'. Lakini kuna jina halisi la 'usanii' na matibabu haya ila tu limeniponyoka kwa sasa.

Bw. Freud na mwenzake Breuer waligundua ugonjwa wa hysteria una ambatana sana na mambo ya kinyumbani na hasa ya ngono, na mara kwa mara kumfanya kijana kuwa na dalili za ugonjwa lakini asipate matibabu ya kawaida.

Hili ni jambo ambalo hufanyika sana wakati mila na itikadi zinabadilika kwa kasi na kuwacha wauguzi wa kijadi wakiwa hawana budi ila kutafuta visingizio kama vile tulivyo ona.

Lakini usifikiri yule dada kashapona! Bado! Tena, kama tulivyosikia, wagonjwa ni wengi huko. Na wajua mambo ya pwani ni mazito hasaa ki ngono!!!

Mimi mwenyewe nimeshuhudia mambo haya mara tatu hivi, ijapokuwa mara ya mwisho utapeli ulizidi, kwani sahiba wangu mmoja aliyekuwa akikohoa sana alitolewa vipande vya chupa tumboni. Ilibidi ni mshauri aende kupimwa magonjwa ya T.B. Majuzi nilikuwa naye na nikamwona akiwa buheri wa afya.

Hee! Hata kwa kiswahili unatuchanganya.

Hongera kwa hio lugha.

Sasa mie natamani sana nikutane nawe tusemezane lugha hii sanifu.

Asante. Ila tu usinilaumu kwa kuchanganywa kwako/kwenu, kwani bahari ya umalenga ivumapo dau si chache zizamazo!

Lakini ndiye mimi huyu kasha wasili, tusemezane mpaka tuelewane (nashuku pasi kuchanyishwa mahaba yatajaa!).
butterflyke
#25 Posted : Saturday, September 14, 2013 7:18:44 AM
Rank: Elder

Joined: 5/1/2010
Posts: 3,024
Location: Hapa

Laughing out loudly haya tuone atakaye mchanganya mwenzie
Float like a butterfly, sting like a bee. - Muhammad Ali🐝
tycho
#26 Posted : Saturday, September 14, 2013 7:23:03 AM
Rank: Elder

Joined: 7/1/2011
Posts: 8,804
Location: Nairobi
Njung'e wrote:
Huyu Tycho ni mgumu wa kuelewa kuliko mistari za ki-Hindi.

Nami najiuliza, kama 'ki-Hindi' kingekuwa kigumu vile, wahindi wangelikuwa bilioni moja kweli? Bila shaka uzazi wahitaji urahisi wa maneno na kuelewana.

Pia labda kueleweka kwa urahisi kuna dosari zake. Kwa mfano, usemi ukieleweka kwa haraka basi labda ni fikra za jadi zilizoamshwa na hamna mapya ya leo/sasa.

Kuelewana ni densi, labda mieleka, na aponaye ni mwenye maarifa na nguvu.

CLK
#27 Posted : Saturday, September 14, 2013 8:47:56 AM
Rank: Member

Joined: 4/1/2009
Posts: 846
tycho wrote:
Bigchick wrote:
tycho wrote:
washiku wrote:
Ukistaajabu ya paka kwa mtungi, basi mengine ndiyo haaaaya...Kibibi katapika misumari, nyundo, screw driva, pliers, nyororo vipande vipande na kadhalika...Maajabu haya. @Tycho, haya utayaita nini kwa ludga ya "dini" yako? Si shetaniii nini?

@Washiku, twaweza kuita mambo haya 'alternative psychotherapy'. Lakini kuna jina halisi la 'usanii' na matibabu haya ila tu limeniponyoka kwa sasa.

Bw. Freud na mwenzake Breuer waligundua ugonjwa wa hysteria una ambatana sana na mambo ya kinyumbani na hasa ya ngono, na mara kwa mara kumfanya kijana kuwa na dalili za ugonjwa lakini asipate matibabu ya kawaida.

Hili ni jambo ambalo hufanyika sana wakati mila na itikadi zinabadilika kwa kasi na kuwacha wauguzi wa kijadi wakiwa hawana budi ila kutafuta visingizio kama vile tulivyo ona.

Lakini usifikiri yule dada kashapona! Bado! Tena, kama tulivyosikia, wagonjwa ni wengi huko. Na wajua mambo ya pwani ni mazito hasaa ki ngono!!!

Mimi mwenyewe nimeshuhudia mambo haya mara tatu hivi, ijapokuwa mara ya mwisho utapeli ulizidi, kwani sahiba wangu mmoja aliyekuwa akikohoa sana alitolewa vipande vya chupa tumboni. Ilibidi ni mshauri aende kupimwa magonjwa ya T.B. Majuzi nilikuwa naye na nikamwona akiwa buheri wa afya.

Hee! Hata kwa kiswahili unatuchanganya.

Hongera kwa hio lugha.

Sasa mie natamani sana nikutane nawe tusemezane lugha hii sanifu.

Asante. Ila tu usinilaumu kwa kuchanganywa kwako/kwenu, kwani bahari ya umalenga ivumapo dau si chache zizamazo!

Lakini ndiye mimi huyu kasha wasili, tusemezane mpaka tuelewane (nashuku pasi kuchanyishwa mahaba yatajaa!).

Please continue writing in English, this is torture..
Bigchick
#28 Posted : Saturday, September 14, 2013 9:19:47 AM
Rank: Elder

Joined: 2/8/2013
Posts: 4,068
Location: At Large.

Hehehe! Samahani ndugu nimelegeza nia yangu ya kukutana nawe.Kisa na maana ni kwamba naona umenitusi kwa hayo matamshi ya hapa juu.

Kwanza hiyo paragraphu ya mwisho...........hee!

Lets revert to english.
Love is beautiful and so are those who share it.With Love, Marriage is an amazing event in ones life time, the foundation of joy, happiness and success.
tycho
#29 Posted : Saturday, September 14, 2013 12:57:23 PM
Rank: Elder

Joined: 7/1/2011
Posts: 8,804
Location: Nairobi
Bigchick wrote:
tycho wrote:
Bigchick wrote:
tycho wrote:
washiku wrote:
Ukistaajabu ya paka kwa mtungi, basi mengine ndiyo haaaaya...Kibibi katapika misumari, nyundo, screw driva, pliers, nyororo vipande vipande na kadhalika...Maajabu haya. @Tycho, haya utayaita nini kwa ludga ya "dini" yako? Si shetaniii nini?

@Washiku, twaweza kuita mambo haya 'alternative psychotherapy'. Lakini kuna jina halisi la 'usanii' na matibabu haya ila tu limeniponyoka kwa sasa.

Bw. Freud na mwenzake Breuer waligundua ugonjwa wa hysteria una ambatana sana na mambo ya kinyumbani na hasa ya ngono, na mara kwa mara kumfanya kijana kuwa na dalili za ugonjwa lakini asipate matibabu ya kawaida.

Hili ni jambo ambalo hufanyika sana wakati mila na itikadi zinabadilika kwa kasi na kuwacha wauguzi wa kijadi wakiwa hawana budi ila kutafuta visingizio kama vile tulivyo ona.

Lakini usifikiri yule dada kashapona! Bado! Tena, kama tulivyosikia, wagonjwa ni wengi huko. Na wajua mambo ya pwani ni mazito hasaa ki ngono!!!

Mimi mwenyewe nimeshuhudia mambo haya mara tatu hivi, ijapokuwa mara ya mwisho utapeli ulizidi, kwani sahiba wangu mmoja aliyekuwa akikohoa sana alitolewa vipande vya chupa tumboni. Ilibidi ni mshauri aende kupimwa magonjwa ya T.B. Majuzi nilikuwa naye na nikamwona akiwa buheri wa afya.

Hee! Hata kwa kiswahili unatuchanganya.

Hongera kwa hio lugha.

Sasa mie natamani sana nikutane nawe tusemezane lugha hii sanifu.

Asante. Ila tu usinilaumu kwa kuchanganywa kwako/kwenu, kwani bahari ya umalenga ivumapo dau si chache zizamazo!

Lakini ndiye mimi huyu kasha wasili, tusemezane mpaka tuelewane (nashuku pasi kuchanyishwa mahaba yatajaa!).

Hehehe! Samahani ndugu nimelegeza nia yangu ya kukutana nawe.Kisa na maana ni kwamba naona umenitusi kwa hayo matamshi ya hapa juu.

Kwanza hiyo paragraphu ya mwisho...........hee!

Lets revert to english.

Hapana matusi wala nia yake. Lakini mbona kulegeza kamba haraka hivyo?

Okay, we can revert to English.

tycho
#30 Posted : Saturday, September 14, 2013 12:59:10 PM
Rank: Elder

Joined: 7/1/2011
Posts: 8,804
Location: Nairobi
butterflyke wrote:
tycho wrote:
Bigchick wrote:
tycho wrote:
washiku wrote:
Ukistaajabu ya paka kwa mtungi, basi mengine ndiyo haaaaya...Kibibi katapika misumari, nyundo, screw driva, pliers, nyororo vipande vipande na kadhalika...Maajabu haya. @Tycho, haya utayaita nini kwa ludga ya "dini" yako? Si shetaniii nini?

@Washiku, twaweza kuita mambo haya 'alternative psychotherapy'. Lakini kuna jina halisi la 'usanii' na matibabu haya ila tu limeniponyoka kwa sasa.

Bw. Freud na mwenzake Breuer waligundua ugonjwa wa hysteria una ambatana sana na mambo ya kinyumbani na hasa ya ngono, na mara kwa mara kumfanya kijana kuwa na dalili za ugonjwa lakini asipate matibabu ya kawaida.

Hili ni jambo ambalo hufanyika sana wakati mila na itikadi zinabadilika kwa kasi na kuwacha wauguzi wa kijadi wakiwa hawana budi ila kutafuta visingizio kama vile tulivyo ona.

Lakini usifikiri yule dada kashapona! Bado! Tena, kama tulivyosikia, wagonjwa ni wengi huko. Na wajua mambo ya pwani ni mazito hasaa ki ngono!!!

Mimi mwenyewe nimeshuhudia mambo haya mara tatu hivi, ijapokuwa mara ya mwisho utapeli ulizidi, kwani sahiba wangu mmoja aliyekuwa akikohoa sana alitolewa vipande vya chupa tumboni. Ilibidi ni mshauri aende kupimwa magonjwa ya T.B. Majuzi nilikuwa naye na nikamwona akiwa buheri wa afya.

Hee! Hata kwa kiswahili unatuchanganya.

Hongera kwa hio lugha.

Sasa mie natamani sana nikutane nawe tusemezane lugha hii sanifu.

Asante. Ila tu usinilaumu kwa kuchanganywa kwako/kwenu, kwani bahari ya umalenga ivumapo dau si chache zizamazo!

Lakini ndiye mimi huyu kasha wasili, tusemezane mpaka tuelewane (nashuku pasi kuchanyishwa mahaba yatajaa!).

Laughing out loudly haya tuone atakaye mchanganya mwenzie

Butterflyke effect?
4 Pages<1234>
Forum Jump  
You cannot post new topics in this forum.
You cannot reply to topics in this forum.
You cannot delete your posts in this forum.
You cannot edit your posts in this forum.
You cannot create polls in this forum.
You cannot vote in polls in this forum.

Copyright © 2026 Wazua.co.ke. All Rights Reserved.