Wazua
»
Club SK
»
Life
»
Maajabu Mambasani tena...
Rank: Elder Joined: 10/4/2006 Posts: 13,823 Location: Nairobi
|
|
|
|
Rank: Elder Joined: 7/22/2008 Posts: 2,723
|
|
|
|
Rank: Elder Joined: 7/1/2011 Posts: 8,804 Location: Nairobi
|
butterflyke wrote:tycho wrote:washiku wrote:Ukistaajabu ya paka kwa mtungi, basi mengine ndiyo haaaaya...Kibibi katapika misumari, nyundo, screw driva, pliers, nyororo vipande vipande na kadhalika...Maajabu haya. @Tycho, haya utayaita nini kwa ludga ya "dini" yako? Si shetaniii nini? @Washiku, twaweza kuita mambo haya 'alternative psychotherapy'. Lakini kuna jina halisi la 'usanii' na matibabu haya ila tu limeniponyoka kwa sasa. Bw. Freud na mwenzake Breuer waligundua ugonjwa wa hysteria una ambatana sana na mambo ya kinyumbani na hasa ya ngono, na mara kwa mara kumfanya kijana kuwa na dalili za ugonjwa lakini asipate matibabu ya kawaida. Hili ni jambo ambalo hufanyika sana wakati mila na itikadi zinabadilika kwa kasi na kuwacha wauguzi wa kijadi wakiwa hawana budi ila kutafuta visingizio kama vile tulivyo ona. Lakini usifikiri yule dada kashapona! Bado! Tena, kama tulivyosikia, wagonjwa ni wengi huko. Na wajua mambo ya pwani ni mazito hasaa ki ngono!!! Mimi mwenyewe nimeshuhudia mambo haya mara tatu hivi, ijapokuwa mara ya mwisho utapeli ulizidi, kwani sahiba wangu mmoja aliyekuwa akikohoa sana alitolewa vipande vya chupa tumboni. Ilibidi ni mshauri aende kupimwa magonjwa ya T.B. Majuzi nilikuwa naye na nikamwona akiwa buheri wa afya. ni afueni kupata kukuelewa kwenye lugha hii nikilinganisha na mara unapoandika kwa kwenye lugha ya kimombo Aaaah! Basi sijui nibadilishe mtindo wangu wa usemi au vipi! Lakini labda nikiwa 'mswahili' wengine wataniita 'mwongo'. Eti 'nawapiga Kiswahili'!
|
|
|
Rank: Elder Joined: 7/1/2011 Posts: 8,804 Location: Nairobi
|
Bigchick wrote:tycho wrote:washiku wrote:Ukistaajabu ya paka kwa mtungi, basi mengine ndiyo haaaaya...Kibibi katapika misumari, nyundo, screw driva, pliers, nyororo vipande vipande na kadhalika...Maajabu haya. @Tycho, haya utayaita nini kwa ludga ya "dini" yako? Si shetaniii nini? @Washiku, twaweza kuita mambo haya 'alternative psychotherapy'. Lakini kuna jina halisi la 'usanii' na matibabu haya ila tu limeniponyoka kwa sasa. Bw. Freud na mwenzake Breuer waligundua ugonjwa wa hysteria una ambatana sana na mambo ya kinyumbani na hasa ya ngono, na mara kwa mara kumfanya kijana kuwa na dalili za ugonjwa lakini asipate matibabu ya kawaida. Hili ni jambo ambalo hufanyika sana wakati mila na itikadi zinabadilika kwa kasi na kuwacha wauguzi wa kijadi wakiwa hawana budi ila kutafuta visingizio kama vile tulivyo ona. Lakini usifikiri yule dada kashapona! Bado! Tena, kama tulivyosikia, wagonjwa ni wengi huko. Na wajua mambo ya pwani ni mazito hasaa ki ngono!!! Mimi mwenyewe nimeshuhudia mambo haya mara tatu hivi, ijapokuwa mara ya mwisho utapeli ulizidi, kwani sahiba wangu mmoja aliyekuwa akikohoa sana alitolewa vipande vya chupa tumboni. Ilibidi ni mshauri aende kupimwa magonjwa ya T.B. Majuzi nilikuwa naye na nikamwona akiwa buheri wa afya. Hee! Hata kwa kiswahili unatuchanganya. Hongera kwa hio lugha. Sasa mie natamani sana nikutane nawe tusemezane lugha hii sanifu. Asante. Ila tu usinilaumu kwa kuchanganywa kwako/kwenu, kwani bahari ya umalenga ivumapo dau si chache zizamazo! Lakini ndiye mimi huyu kasha wasili, tusemezane mpaka tuelewane (nashuku pasi kuchanyishwa mahaba yatajaa!).
|
|
|
Rank: Elder Joined: 5/1/2010 Posts: 3,024 Location: Hapa
|
tycho wrote:Bigchick wrote:tycho wrote:washiku wrote:Ukistaajabu ya paka kwa mtungi, basi mengine ndiyo haaaaya...Kibibi katapika misumari, nyundo, screw driva, pliers, nyororo vipande vipande na kadhalika...Maajabu haya. @Tycho, haya utayaita nini kwa ludga ya "dini" yako? Si shetaniii nini? @Washiku, twaweza kuita mambo haya 'alternative psychotherapy'. Lakini kuna jina halisi la 'usanii' na matibabu haya ila tu limeniponyoka kwa sasa. Bw. Freud na mwenzake Breuer waligundua ugonjwa wa hysteria una ambatana sana na mambo ya kinyumbani na hasa ya ngono, na mara kwa mara kumfanya kijana kuwa na dalili za ugonjwa lakini asipate matibabu ya kawaida. Hili ni jambo ambalo hufanyika sana wakati mila na itikadi zinabadilika kwa kasi na kuwacha wauguzi wa kijadi wakiwa hawana budi ila kutafuta visingizio kama vile tulivyo ona. Lakini usifikiri yule dada kashapona! Bado! Tena, kama tulivyosikia, wagonjwa ni wengi huko. Na wajua mambo ya pwani ni mazito hasaa ki ngono!!! Mimi mwenyewe nimeshuhudia mambo haya mara tatu hivi, ijapokuwa mara ya mwisho utapeli ulizidi, kwani sahiba wangu mmoja aliyekuwa akikohoa sana alitolewa vipande vya chupa tumboni. Ilibidi ni mshauri aende kupimwa magonjwa ya T.B. Majuzi nilikuwa naye na nikamwona akiwa buheri wa afya. Hee! Hata kwa kiswahili unatuchanganya. Hongera kwa hio lugha. Sasa mie natamani sana nikutane nawe tusemezane lugha hii sanifu. Asante. Ila tu usinilaumu kwa kuchanganywa kwako/kwenu, kwani bahari ya umalenga ivumapo dau si chache zizamazo! Lakini ndiye mimi huyu kasha wasili, tusemezane mpaka tuelewane (nashuku pasi kuchanyishwa mahaba yatajaa!).  haya tuone atakaye mchanganya mwenzie Float like a butterfly, sting like a bee. - Muhammad Ali🐝
|
|
|
Rank: Elder Joined: 7/1/2011 Posts: 8,804 Location: Nairobi
|
Njung'e wrote:Huyu Tycho ni mgumu wa kuelewa kuliko mistari za ki-Hindi. Nami najiuliza, kama 'ki-Hindi' kingekuwa kigumu vile, wahindi wangelikuwa bilioni moja kweli? Bila shaka uzazi wahitaji urahisi wa maneno na kuelewana. Pia labda kueleweka kwa urahisi kuna dosari zake. Kwa mfano, usemi ukieleweka kwa haraka basi labda ni fikra za jadi zilizoamshwa na hamna mapya ya leo/sasa. Kuelewana ni densi, labda mieleka, na aponaye ni mwenye maarifa na nguvu.
|
|
|
Rank: Member Joined: 4/1/2009 Posts: 846
|
tycho wrote:Bigchick wrote:tycho wrote:washiku wrote:Ukistaajabu ya paka kwa mtungi, basi mengine ndiyo haaaaya...Kibibi katapika misumari, nyundo, screw driva, pliers, nyororo vipande vipande na kadhalika...Maajabu haya. @Tycho, haya utayaita nini kwa ludga ya "dini" yako? Si shetaniii nini? @Washiku, twaweza kuita mambo haya 'alternative psychotherapy'. Lakini kuna jina halisi la 'usanii' na matibabu haya ila tu limeniponyoka kwa sasa. Bw. Freud na mwenzake Breuer waligundua ugonjwa wa hysteria una ambatana sana na mambo ya kinyumbani na hasa ya ngono, na mara kwa mara kumfanya kijana kuwa na dalili za ugonjwa lakini asipate matibabu ya kawaida. Hili ni jambo ambalo hufanyika sana wakati mila na itikadi zinabadilika kwa kasi na kuwacha wauguzi wa kijadi wakiwa hawana budi ila kutafuta visingizio kama vile tulivyo ona. Lakini usifikiri yule dada kashapona! Bado! Tena, kama tulivyosikia, wagonjwa ni wengi huko. Na wajua mambo ya pwani ni mazito hasaa ki ngono!!! Mimi mwenyewe nimeshuhudia mambo haya mara tatu hivi, ijapokuwa mara ya mwisho utapeli ulizidi, kwani sahiba wangu mmoja aliyekuwa akikohoa sana alitolewa vipande vya chupa tumboni. Ilibidi ni mshauri aende kupimwa magonjwa ya T.B. Majuzi nilikuwa naye na nikamwona akiwa buheri wa afya. Hee! Hata kwa kiswahili unatuchanganya. Hongera kwa hio lugha. Sasa mie natamani sana nikutane nawe tusemezane lugha hii sanifu. Asante. Ila tu usinilaumu kwa kuchanganywa kwako/kwenu, kwani bahari ya umalenga ivumapo dau si chache zizamazo! Lakini ndiye mimi huyu kasha wasili, tusemezane mpaka tuelewane (nashuku pasi kuchanyishwa mahaba yatajaa!). Please continue writing in English, this is torture..
|
|
|
Rank: Elder Joined: 2/8/2013 Posts: 4,068 Location: At Large.
|
tycho wrote:Bigchick wrote:tycho wrote:washiku wrote:Ukistaajabu ya paka kwa mtungi, basi mengine ndiyo haaaaya...Kibibi katapika misumari, nyundo, screw driva, pliers, nyororo vipande vipande na kadhalika...Maajabu haya. @Tycho, haya utayaita nini kwa ludga ya "dini" yako? Si shetaniii nini? @Washiku, twaweza kuita mambo haya 'alternative psychotherapy'. Lakini kuna jina halisi la 'usanii' na matibabu haya ila tu limeniponyoka kwa sasa. Bw. Freud na mwenzake Breuer waligundua ugonjwa wa hysteria una ambatana sana na mambo ya kinyumbani na hasa ya ngono, na mara kwa mara kumfanya kijana kuwa na dalili za ugonjwa lakini asipate matibabu ya kawaida. Hili ni jambo ambalo hufanyika sana wakati mila na itikadi zinabadilika kwa kasi na kuwacha wauguzi wa kijadi wakiwa hawana budi ila kutafuta visingizio kama vile tulivyo ona. Lakini usifikiri yule dada kashapona! Bado! Tena, kama tulivyosikia, wagonjwa ni wengi huko. Na wajua mambo ya pwani ni mazito hasaa ki ngono!!! Mimi mwenyewe nimeshuhudia mambo haya mara tatu hivi, ijapokuwa mara ya mwisho utapeli ulizidi, kwani sahiba wangu mmoja aliyekuwa akikohoa sana alitolewa vipande vya chupa tumboni. Ilibidi ni mshauri aende kupimwa magonjwa ya T.B. Majuzi nilikuwa naye na nikamwona akiwa buheri wa afya. Hee! Hata kwa kiswahili unatuchanganya. Hongera kwa hio lugha. Sasa mie natamani sana nikutane nawe tusemezane lugha hii sanifu. Asante. Ila tu usinilaumu kwa kuchanganywa kwako/kwenu, kwani bahari ya umalenga ivumapo dau si chache zizamazo! Lakini ndiye mimi huyu kasha wasili, tusemezane mpaka tuelewane (nashuku pasi kuchanyishwa mahaba yatajaa!). Hehehe! Samahani ndugu nimelegeza nia yangu ya kukutana nawe.Kisa na maana ni kwamba naona umenitusi kwa hayo matamshi ya hapa juu. Kwanza hiyo paragraphu ya mwisho...........hee! Lets revert to english. Love is beautiful and so are those who share it.With Love, Marriage is an amazing event in ones life time, the foundation of joy, happiness and success.
|
|
|
Rank: Elder Joined: 7/1/2011 Posts: 8,804 Location: Nairobi
|
Bigchick wrote:tycho wrote:Bigchick wrote:tycho wrote:washiku wrote:Ukistaajabu ya paka kwa mtungi, basi mengine ndiyo haaaaya...Kibibi katapika misumari, nyundo, screw driva, pliers, nyororo vipande vipande na kadhalika...Maajabu haya. @Tycho, haya utayaita nini kwa ludga ya "dini" yako? Si shetaniii nini? @Washiku, twaweza kuita mambo haya 'alternative psychotherapy'. Lakini kuna jina halisi la 'usanii' na matibabu haya ila tu limeniponyoka kwa sasa. Bw. Freud na mwenzake Breuer waligundua ugonjwa wa hysteria una ambatana sana na mambo ya kinyumbani na hasa ya ngono, na mara kwa mara kumfanya kijana kuwa na dalili za ugonjwa lakini asipate matibabu ya kawaida. Hili ni jambo ambalo hufanyika sana wakati mila na itikadi zinabadilika kwa kasi na kuwacha wauguzi wa kijadi wakiwa hawana budi ila kutafuta visingizio kama vile tulivyo ona. Lakini usifikiri yule dada kashapona! Bado! Tena, kama tulivyosikia, wagonjwa ni wengi huko. Na wajua mambo ya pwani ni mazito hasaa ki ngono!!! Mimi mwenyewe nimeshuhudia mambo haya mara tatu hivi, ijapokuwa mara ya mwisho utapeli ulizidi, kwani sahiba wangu mmoja aliyekuwa akikohoa sana alitolewa vipande vya chupa tumboni. Ilibidi ni mshauri aende kupimwa magonjwa ya T.B. Majuzi nilikuwa naye na nikamwona akiwa buheri wa afya. Hee! Hata kwa kiswahili unatuchanganya. Hongera kwa hio lugha. Sasa mie natamani sana nikutane nawe tusemezane lugha hii sanifu. Asante. Ila tu usinilaumu kwa kuchanganywa kwako/kwenu, kwani bahari ya umalenga ivumapo dau si chache zizamazo! Lakini ndiye mimi huyu kasha wasili, tusemezane mpaka tuelewane (nashuku pasi kuchanyishwa mahaba yatajaa!). Hehehe! Samahani ndugu nimelegeza nia yangu ya kukutana nawe.Kisa na maana ni kwamba naona umenitusi kwa hayo matamshi ya hapa juu. Kwanza hiyo paragraphu ya mwisho...........hee! Lets revert to english. Hapana matusi wala nia yake. Lakini mbona kulegeza kamba haraka hivyo? Okay, we can revert to English.
|
|
|
Rank: Elder Joined: 7/1/2011 Posts: 8,804 Location: Nairobi
|
butterflyke wrote:tycho wrote:Bigchick wrote:tycho wrote:washiku wrote:Ukistaajabu ya paka kwa mtungi, basi mengine ndiyo haaaaya...Kibibi katapika misumari, nyundo, screw driva, pliers, nyororo vipande vipande na kadhalika...Maajabu haya. @Tycho, haya utayaita nini kwa ludga ya "dini" yako? Si shetaniii nini? @Washiku, twaweza kuita mambo haya 'alternative psychotherapy'. Lakini kuna jina halisi la 'usanii' na matibabu haya ila tu limeniponyoka kwa sasa. Bw. Freud na mwenzake Breuer waligundua ugonjwa wa hysteria una ambatana sana na mambo ya kinyumbani na hasa ya ngono, na mara kwa mara kumfanya kijana kuwa na dalili za ugonjwa lakini asipate matibabu ya kawaida. Hili ni jambo ambalo hufanyika sana wakati mila na itikadi zinabadilika kwa kasi na kuwacha wauguzi wa kijadi wakiwa hawana budi ila kutafuta visingizio kama vile tulivyo ona. Lakini usifikiri yule dada kashapona! Bado! Tena, kama tulivyosikia, wagonjwa ni wengi huko. Na wajua mambo ya pwani ni mazito hasaa ki ngono!!! Mimi mwenyewe nimeshuhudia mambo haya mara tatu hivi, ijapokuwa mara ya mwisho utapeli ulizidi, kwani sahiba wangu mmoja aliyekuwa akikohoa sana alitolewa vipande vya chupa tumboni. Ilibidi ni mshauri aende kupimwa magonjwa ya T.B. Majuzi nilikuwa naye na nikamwona akiwa buheri wa afya. Hee! Hata kwa kiswahili unatuchanganya. Hongera kwa hio lugha. Sasa mie natamani sana nikutane nawe tusemezane lugha hii sanifu. Asante. Ila tu usinilaumu kwa kuchanganywa kwako/kwenu, kwani bahari ya umalenga ivumapo dau si chache zizamazo! Lakini ndiye mimi huyu kasha wasili, tusemezane mpaka tuelewane (nashuku pasi kuchanyishwa mahaba yatajaa!).  haya tuone atakaye mchanganya mwenzie Butterflyke effect?
|
|
|
Wazua
»
Club SK
»
Life
»
Maajabu Mambasani tena...
Forum Jump
You cannot post new topics in this forum.
You cannot reply to topics in this forum.
You cannot delete your posts in this forum.
You cannot edit your posts in this forum.
You cannot create polls in this forum.
You cannot vote in polls in this forum.
|