Wazua
»
Club SK
»
Life
»
Maajabu Mambasani tena...
Rank: Elder Joined: 7/10/2008 Posts: 9,131 Location: Kanjo
|
Impunity wrote:simonkabz wrote:Lolest! wrote:simonkabz wrote:washiku wrote:Ukistaajabu ya paka kwa mtungi, basi mengine ndiyo haaaaya...Kibibi katapika misumari, nyundo, screw driva, pliers, nyororo vipande vipande na kadhalika...Maajabu haya. @Tycho, haya utayaita nini kwa ludga ya "dini" yako? Si shetaniii nini? I always thought guka's "kunyamba misumari" is the worst thing that could befall a mortal. ..... 'nyamba misumari' is a curse. I'm scared...but a friend says those Msa fellows should've made her excrete money..he would have been willing to marry her. i.am.back!!!!
|
|
|
Rank: Elder Joined: 5/1/2010 Posts: 3,024 Location: Hapa
|
tycho wrote:washiku wrote:Ukistaajabu ya paka kwa mtungi, basi mengine ndiyo haaaaya...Kibibi katapika misumari, nyundo, screw driva, pliers, nyororo vipande vipande na kadhalika...Maajabu haya. @Tycho, haya utayaita nini kwa ludga ya "dini" yako? Si shetaniii nini? @Washiku, twaweza kuita mambo haya 'alternative psychotherapy'. Lakini kuna jina halisi la 'usanii' na matibabu haya ila tu limeniponyoka kwa sasa. Bw. Freud na mwenzake Breuer waligundua ugonjwa wa hysteria una ambatana sana na mambo ya kinyumbani na hasa ya ngono, na mara kwa mara kumfanya kijana kuwa na dalili za ugonjwa lakini asipate matibabu ya kawaida. Hili ni jambo ambalo hufanyika sana wakati mila na itikadi zinabadilika kwa kasi na kuwacha wauguzi wa kijadi wakiwa hawana budi ila kutafuta visingizio kama vile tulivyo ona. Lakini usifikiri yule dada kashapona! Bado! Tena, kama tulivyosikia, wagonjwa ni wengi huko. Na wajua mambo ya pwani ni mazito hasaa ki ngono!!! Mimi mwenyewe nimeshuhudia mambo haya mara tatu hivi, ijapokuwa mara ya mwisho utapeli ulizidi, kwani sahiba wangu mmoja aliyekuwa akikohoa sana alitolewa vipande vya chupa tumboni. Ilibidi ni mshauri aende kupimwa magonjwa ya T.B. Majuzi nilikuwa naye na nikamwona akiwa buheri wa afya. ni afueni kupata kukuelewa kwenye lugha hii nikilinganisha na mara unapoandika kwa kwenye lugha ya kimombo Float like a butterfly, sting like a bee. - Muhammad Ali🐝
|
|
|
Rank: Elder Joined: 10/4/2006 Posts: 13,823 Location: Nairobi
|
bas! Rare earth metals ndio hizi!!! Huyo mwanadada ni baraka. Chuma na madini mengine yanayo toka kwake yataleta fanaka kubwa kwetu. All Mushrooms are edible! Some Mushroom are only edible ONCE!
|
|
|
Rank: Elder Joined: 2/8/2013 Posts: 4,068 Location: At Large.
|
tycho wrote:washiku wrote:Ukistaajabu ya paka kwa mtungi, basi mengine ndiyo haaaaya...Kibibi katapika misumari, nyundo, screw driva, pliers, nyororo vipande vipande na kadhalika...Maajabu haya. @Tycho, haya utayaita nini kwa ludga ya "dini" yako? Si shetaniii nini? @Washiku, twaweza kuita mambo haya 'alternative psychotherapy'. Lakini kuna jina halisi la 'usanii' na matibabu haya ila tu limeniponyoka kwa sasa. Bw. Freud na mwenzake Breuer waligundua ugonjwa wa hysteria una ambatana sana na mambo ya kinyumbani na hasa ya ngono, na mara kwa mara kumfanya kijana kuwa na dalili za ugonjwa lakini asipate matibabu ya kawaida. Hili ni jambo ambalo hufanyika sana wakati mila na itikadi zinabadilika kwa kasi na kuwacha wauguzi wa kijadi wakiwa hawana budi ila kutafuta visingizio kama vile tulivyo ona. Lakini usifikiri yule dada kashapona! Bado! Tena, kama tulivyosikia, wagonjwa ni wengi huko. Na wajua mambo ya pwani ni mazito hasaa ki ngono!!! Mimi mwenyewe nimeshuhudia mambo haya mara tatu hivi, ijapokuwa mara ya mwisho utapeli ulizidi, kwani sahiba wangu mmoja aliyekuwa akikohoa sana alitolewa vipande vya chupa tumboni. Ilibidi ni mshauri aende kupimwa magonjwa ya T.B. Majuzi nilikuwa naye na nikamwona akiwa buheri wa afya. Hee! Hata kwa kiswahili unatuchanganya. Hongera kwa hio lugha. Sasa mie natamani sana nikutane nawe tusemezane lugha hii sanifu. Love is beautiful and so are those who share it.With Love, Marriage is an amazing event in ones life time, the foundation of joy, happiness and success.
|
|
|
Rank: Elder Joined: 2/7/2007 Posts: 11,935 Location: Nairobi
|
Huyu Tycho ni mgumu wa kuelewa kuliko mistari za ki-Hindi. Nothing great was ever achieved without enthusiasm.
|
|
|
Rank: Elder Joined: 10/4/2006 Posts: 13,823 Location: Nairobi
|
Njung'e wrote:Huyu Tycho ni mgumu wa kuelewa kuliko mistari za ki-Hindi. ya All Mushrooms are edible! Some Mushroom are only edible ONCE!
|
|
|
Rank: Elder Joined: 2/7/2007 Posts: 11,935 Location: Nairobi
|
masukuma wrote:Njung'e wrote:Huyu Tycho ni mgumu wa kuelewa kuliko mistari za ki-Hindi. ya  ...i won't argue.During our days,there was mother tongue in place of Kiswahili.....Hell,i find it quite difficulty and i have promised myself to strangle that Wallah Bin Wallah fellow for belittling my intelligence.You see,i can't help a class 2 kid with Kiswahili homework  .Poor me  ......but i am not as bad as the father of Lupita,who once introduced a visiting Tanzanian fisheries minister as waziri wa uvivu! Nothing great was ever achieved without enthusiasm.
|
|
|
Rank: Elder Joined: 2/8/2013 Posts: 4,068 Location: At Large.
|
|
|
|
Rank: Elder Joined: 2/7/2007 Posts: 11,935 Location: Nairobi
|
I even suspect this Lupita was supposed to be Kupita. Nothing great was ever achieved without enthusiasm.
|
|
|
Rank: Elder Joined: 5/21/2013 Posts: 2,841 Location: Here
|
masukuma wrote:bas! Rare earth metals ndio hizi!!! Huyo mwanadada ni baraka. Chuma na madini mengine yanayo toka kwake yataleta fanaka kubwa kwetu. Life is like playing a violin solo in public and learning the instrument as one goes on.
|
|
|
Wazua
»
Club SK
»
Life
»
Maajabu Mambasani tena...
Forum Jump
You cannot post new topics in this forum.
You cannot reply to topics in this forum.
You cannot delete your posts in this forum.
You cannot edit your posts in this forum.
You cannot create polls in this forum.
You cannot vote in polls in this forum.
|