Wazua
»
Club SK
»
Life
»
Maajabu Mambasani tena...
Rank: Chief Joined: 5/9/2007 Posts: 13,095
|
Ukistaajabu ya paka kwa mtungi, basi mengine ndiyo haaaaya...Kibibi katapika misumari, nyundo, screw driva, pliers, nyororo vipande vipande na kadhalika...Maajabu haya. @Tycho, haya utayaita nini kwa ludga ya "dini" yako? Si shetaniii nini?
|
|
|
Rank: Elder Joined: 3/2/2007 Posts: 8,776 Location: Cameroon
|
washiku wrote:Ukistaajabu ya paka kwa mtungi, basi mengine ndiyo haaaaya...Kibibi katapika misumari, nyundo, screw driva, pliers, nyororo vipande vipande na kadhalika...Maajabu haya. @Tycho, haya utayaita nini kwa ludga ya "dini" yako? Si shetaniii nini? I always thought guka's "kunyamba misumari" is the worst thing that could befall a mortal. ..... TULIA.........UFUNZWE!
|
|
|
Rank: Elder Joined: 2/26/2012 Posts: 15,980
|
Tutajionea mambo "There are only two emotions in the market, hope & fear. The problem is you hope when you should fear & fear when you should hope: - Jesse Livermore .
|
|
|
Rank: Elder Joined: 3/18/2011 Posts: 12,069 Location: Kianjokoma
|
simonkabz wrote:washiku wrote:Ukistaajabu ya paka kwa mtungi, basi mengine ndiyo haaaaya...Kibibi katapika misumari, nyundo, screw driva, pliers, nyororo vipande vipande na kadhalika...Maajabu haya. @Tycho, haya utayaita nini kwa ludga ya "dini" yako? Si shetaniii nini? I always thought guka's "kunyamba misumari" is the worst thing that could befall a mortal. ..... 'nyamba misumari' is a curse. I'm scared...but a friend says those Msa fellows should've made her excrete money..he would have been willing to marry her.
|
|
|
Rank: Elder Joined: 7/1/2011 Posts: 8,804 Location: Nairobi
|
washiku wrote:Ukistaajabu ya paka kwa mtungi, basi mengine ndiyo haaaaya...Kibibi katapika misumari, nyundo, screw driva, pliers, nyororo vipande vipande na kadhalika...Maajabu haya. @Tycho, haya utayaita nini kwa ludga ya "dini" yako? Si shetaniii nini? @Washiku, twaweza kuita mambo haya 'alternative psychotherapy'. Lakini kuna jina halisi la 'usanii' na matibabu haya ila tu limeniponyoka kwa sasa. Bw. Freud na mwenzake Breuer waligundua ugonjwa wa hysteria una ambatana sana na mambo ya kinyumbani na hasa ya ngono, na mara kwa mara kumfanya kijana kuwa na dalili za ugonjwa lakini asipate matibabu ya kawaida. Hili ni jambo ambalo hufanyika sana wakati mila na itikadi zinabadilika kwa kasi na kuwacha wauguzi wa kijadi wakiwa hawana budi ila kutafuta visingizio kama vile tulivyo ona. Lakini usifikiri yule dada kashapona! Bado! Tena, kama tulivyosikia, wagonjwa ni wengi huko. Na wajua mambo ya pwani ni mazito hasaa ki ngono!!! Mimi mwenyewe nimeshuhudia mambo haya mara tatu hivi, ijapokuwa mara ya mwisho utapeli ulizidi, kwani sahiba wangu mmoja aliyekuwa akikohoa sana alitolewa vipande vya chupa tumboni. Ilibidi ni mshauri aende kupimwa magonjwa ya T.B. Majuzi nilikuwa naye na nikamwona akiwa buheri wa afya.
|
|
|
Rank: Elder Joined: 3/2/2007 Posts: 8,776 Location: Cameroon
|
Lolest! wrote:simonkabz wrote:washiku wrote:Ukistaajabu ya paka kwa mtungi, basi mengine ndiyo haaaaya...Kibibi katapika misumari, nyundo, screw driva, pliers, nyororo vipande vipande na kadhalika...Maajabu haya. @Tycho, haya utayaita nini kwa ludga ya "dini" yako? Si shetaniii nini? I always thought guka's "kunyamba misumari" is the worst thing that could befall a mortal. ..... 'nyamba misumari' is a curse. I'm scared...but a friend says those Msa fellows should've made her excrete money..he would have been willing to marry her. TULIA.........UFUNZWE!
|
|
|
Rank: Member Joined: 7/31/2007 Posts: 146
|
tycho wrote:washiku wrote:Ukistaajabu ya paka kwa mtungi, basi mengine ndiyo haaaaya...Kibibi katapika misumari, nyundo, screw driva, pliers, nyororo vipande vipande na kadhalika...Maajabu haya. @Tycho, haya utayaita nini kwa ludga ya "dini" yako? Si shetaniii nini? @Washiku, twaweza kuita mambo haya 'alternative psychotherapy'. Lakini kuna jina halisi la 'usanii' na matibabu haya ila tu limeniponyoka kwa sasa. Bw. Freud na mwenzake Breuer waligundua ugonjwa wa hysteria una ambatana sana na mambo ya kinyumbani na hasa ya ngono, na mara kwa mara kumfanya kijana kuwa na dalili za ugonjwa lakini asipate matibabu ya kawaida. Hili ni jambo ambalo hufanyika sana wakati mila na itikadi zinabadilika kwa kasi na kuwacha wauguzi wa kijadi wakiwa hawana budi ila kutafuta visingizio kama vile tulivyo ona. Lakini usifikiri yule dada kashapona! Bado! Tena, kama tulivyosikia, wagonjwa ni wengi huko. Na wajua mambo ya pwani ni mazito hasaa ki ngono!!! Mimi mwenyewe nimeshuhudia mambo haya mara tatu hivi, ijapokuwa mara ya mwisho utapeli ulizidi, kwani sahiba wangu mmoja aliyekuwa akikohoa sana alitolewa vipande vya chupa tumboni. Ilibidi ni mshauri aende kupimwa magonjwa ya T.B. Majuzi nilikuwa naye na nikamwona akiwa buheri wa afya.  Beautiful language. Hongera kwa kufafanua kwenye Kiswahili sanifu. Kitu ambacho siku hizi ni duni mno!!
|
|
|
Rank: Elder Joined: 3/2/2009 Posts: 26,334 Location: Masada
|
simonkabz wrote:Lolest! wrote:simonkabz wrote:washiku wrote:Ukistaajabu ya paka kwa mtungi, basi mengine ndiyo haaaaya...Kibibi katapika misumari, nyundo, screw driva, pliers, nyororo vipande vipande na kadhalika...Maajabu haya. @Tycho, haya utayaita nini kwa ludga ya "dini" yako? Si shetaniii nini? I always thought guka's "kunyamba misumari" is the worst thing that could befall a mortal. ..... 'nyamba misumari' is a curse. I'm scared...but a friend says those Msa fellows should've made her excrete money..he would have been willing to marry her. Portfolio: Sold You know you've made it when you get a parking space for your yatcht.
|
|
|
Rank: Elder Joined: 7/1/2011 Posts: 8,804 Location: Nairobi
|
heavenly body wrote:tycho wrote:washiku wrote:Ukistaajabu ya paka kwa mtungi, basi mengine ndiyo haaaaya...Kibibi katapika misumari, nyundo, screw driva, pliers, nyororo vipande vipande na kadhalika...Maajabu haya. @Tycho, haya utayaita nini kwa ludga ya "dini" yako? Si shetaniii nini? @Washiku, twaweza kuita mambo haya 'alternative psychotherapy'. Lakini kuna jina halisi la 'usanii' na matibabu haya ila tu limeniponyoka kwa sasa. Bw. Freud na mwenzake Breuer waligundua ugonjwa wa hysteria una ambatana sana na mambo ya kinyumbani na hasa ya ngono, na mara kwa mara kumfanya kijana kuwa na dalili za ugonjwa lakini asipate matibabu ya kawaida. Hili ni jambo ambalo hufanyika sana wakati mila na itikadi zinabadilika kwa kasi na kuwacha wauguzi wa kijadi wakiwa hawana budi ila kutafuta visingizio kama vile tulivyo ona. Lakini usifikiri yule dada kashapona! Bado! Tena, kama tulivyosikia, wagonjwa ni wengi huko. Na wajua mambo ya pwani ni mazito hasaa ki ngono!!! Mimi mwenyewe nimeshuhudia mambo haya mara tatu hivi, ijapokuwa mara ya mwisho utapeli ulizidi, kwani sahiba wangu mmoja aliyekuwa akikohoa sana alitolewa vipande vya chupa tumboni. Ilibidi ni mshauri aende kupimwa magonjwa ya T.B. Majuzi nilikuwa naye na nikamwona akiwa buheri wa afya.  Beautiful language. Hongera kwa kufafanua kwenye Kiswahili sanifu. Kitu ambacho siku hizi ni duni mno!! Asante. 'Kcs', ama lol.
|
|
|
Rank: Member Joined: 11/19/2009 Posts: 3,142
|
tycho wrote:heavenly body wrote:tycho wrote:washiku wrote:Ukistaajabu ya paka kwa mtungi, basi mengine ndiyo haaaaya...Kibibi katapika misumari, nyundo, screw driva, pliers, nyororo vipande vipande na kadhalika...Maajabu haya. @Tycho, haya utayaita nini kwa ludga ya "dini" yako? Si shetaniii nini? @Washiku, twaweza kuita mambo haya 'alternative psychotherapy'. Lakini kuna jina halisi la 'usanii' na matibabu haya ila tu limeniponyoka kwa sasa. Bw. Freud na mwenzake Breuer waligundua ugonjwa wa hysteria una ambatana sana na mambo ya kinyumbani na hasa ya ngono, na mara kwa mara kumfanya kijana kuwa na dalili za ugonjwa lakini asipate matibabu ya kawaida. Hili ni jambo ambalo hufanyika sana wakati mila na itikadi zinabadilika kwa kasi na kuwacha wauguzi wa kijadi wakiwa hawana budi ila kutafuta visingizio kama vile tulivyo ona. Lakini usifikiri yule dada kashapona! Bado! Tena, kama tulivyosikia, wagonjwa ni wengi huko. Na wajua mambo ya pwani ni mazito hasaa ki ngono!!! Mimi mwenyewe nimeshuhudia mambo haya mara tatu hivi, ijapokuwa mara ya mwisho utapeli ulizidi, kwani sahiba wangu mmoja aliyekuwa akikohoa sana alitolewa vipande vya chupa tumboni. Ilibidi ni mshauri aende kupimwa magonjwa ya T.B. Majuzi nilikuwa naye na nikamwona akiwa buheri wa afya.  Beautiful language. Hongera kwa kufafanua kwenye Kiswahili sanifu. Kitu ambacho siku hizi ni duni mno!! Asante. 'Kcs', ama lol. Perhaps I should read it for the accolades its receiving.
|
|
|
Wazua
»
Club SK
»
Life
»
Maajabu Mambasani tena...
Forum Jump
You cannot post new topics in this forum.
You cannot reply to topics in this forum.
You cannot delete your posts in this forum.
You cannot edit your posts in this forum.
You cannot create polls in this forum.
You cannot vote in polls in this forum.
|