KENYAN ANIMALS CHATTING
DOG : sasa pussy
CAT : poa sana doggy
DOG : habari ya madayz
CAT : waah ata usitaje, huskii niliingia ndani
ya
mtungi juzi?
DOG:LOl! sasa wewe niwapi huko
ulingia? Wacha
hata mi nisiseme
CAT: pwahahaaa ...wee nawe ni mnoma aki,
... unaezaje
chukua glfrnd wa wenyewe.
DOG : ckupenda aki pussy, wao ndo walijipa.
CAT : hahahaa iyo kweli ni kama ndrama, ni
kama vindio (miaooo) ..c uniunganishie
mmoja.
DOG : wee sema tu ivo na nko wanted na
sirikali
NGURUWE:hehe, sisi ata tushaingia
parliament
wazito, raha nayo, ata kuna face painting
“small step for man”