Kama unajua umefika 50 yrs na
uko fb pliz siku za retire zimefika
na huku hatupeani pension
kama unajua unavaanga troza ya
material ama suit na spot shuz
guka ondoa uzee facebook
kama unajua unasema ulizaliwa in
the 80s n 90s na ulizaliwa na
ukafanya CPE wacha kutunukishia
uzee guka unazeesha fb
kama unajua ukipanga kumit
msupa kitu cha kwanza wee
kuchukua ni room kabla hata
dame kufika. Peleka umalaya
koinange ng'ombe ya museveni
wewe
kama unajua your idea of a fun
night out nikupeleka dame
lodging. Nyang'au wewe.