Of course the one with its head in the Mtungi.
Ilifanyikaje? Kama aliingiza kichwa mwenyewe imekuwaje hawezi kujitoa?
Alikuwa anatufuta nini kwenye mtungi?
Huyu paka amekuwa akila nini hizo siku nne?
Huyu paka anajua nini kuhusu mwenda zake Mutula?
Je afaa kutolewa au aachwe afe ama ajitoe mwenyewe?
Alhamdulilahi!!! maajabu haya!!
http://www.youtube.com/watch?v=FpdOGZbJ7zQ