Hehehe...I saw a different version too. See below:
1. Ukifanya order, unaturia,
usishide umekubusha waiter, yeye ni mutu mzima anakubuka.
2. Ukirewa urewe peke yako,
usianze kuiba nyibo za Kigooco
huku. Ukitaka kuiba eda crusade.
3. Huku hakuna dance floor. Kwa hivo usika dance huku, hii ni bar, sio carnivorous (Carnivore)
4. Urinal ziko. Kukonjoa ni sawa. Ukitaka hanja kubwa,mariza fobe yako uede ukakumie kwako. Huku hakuna choo. Tunauzaga fobe si Ugari.
5. Kufugia waiter jicho uwache.
Unamfugia jicho kwani umeskia ni daktari wa macho.
6. Ukinunuria waiter pobe, sio
kumaanicha ati utaeda na yeye kwako. Ako hapa kuuza fobe, sio kuuza mwiri, mununurie na uede.
7. Kumwaga mwaga fobe kwa meza
tumekataa! Urinunua ukunywe ama
umwage?
8. Huku hakuna Maraya. Ukitaka maraya kuja na wako, na akuwe
maraya anaereweka tafathari.
9. Wakati Mike Rua ama Salim Junia
anaiba, tafathari usiibanishe na yeye. NYAMAZA watu warikuja kusikiza Rua, sio wewe. Ukitaka kuiba, tuabie tukutafutie Saturday yako.
10. Kushika shika waiter matako ni
hatia! Shika matako yako, huku si
bedroom.
11. Maneno ya CORD na JUBILEE
perekeni Fesbuk. Sio hapa!
12. Kuwekewa mchere kwa fobe si
kitu kubwa, ukiwekewa, unaitoa na
unaederea na Fobe yako kama kawaida.
13. HAKUNA kurara kwa Meza! Meza
sio kitada. Kama umerewa, eda ukarare kwako.
14. Ukiibiwa pesa eda ukastaki kwa
borithi, si ati ukuje kusubua Manager.
15. Tip ni razima! Kama pesa yako
haitoshi ya tip, nunua pobe take
away ukakunywie kwako.
16. Huku hakuna bouncer! Rakini
ukireta nyokonyoko tutakunyorosha
kama Mukora.
17. Usitapike huku. Hii ni Bar, sio
Clinic ya Watoto. Unatapika kwani
uko na Miba??