Sisi hapana taka ona wewe ukioshwa na makanga kwa runinga!!!
Halafu makanga mmoja anasema "Huyu mzee alikuwa amevaa masuti yake lakini alikuwa akivunda kupindukia! Na alikuwa anakaa mweusi mweusi na kwasababu nimemuona safari kadhaa hapo awali, mimi najua hakuwagi mweusi!!! Tulitumia maji ndoo saba, sabuni mbili na ile Ariel ndogo kumuosha! Sasa amekuwa afadhali! Watu wa TV walipokuja, alianza kuwauliza ama wamekuja na Lilian Muli - ama wamsaidie na namba - hata kama in ya sister yake!".
Never count on making a good sale. Have the purchase price be so attractive that even a mediocre sale gives good returns.