C & P
2012-2013 Budget Summary -Kwa budget ya ma sufferer:
Kwa budget ya ma sufferer:
1. Wasee wa vitz wanadai gava
introduce petrol ya sachets.
2. Wapunguze bei ya Mutura na
Mahindi choma.Kwani wanatumia Gas
kuchoma Mahindi?
3. Siku za mwizi ziongezwe zikue
ka 68 ju kumekauka.
4. bei ya iPhone ireduce ju mtu
alishabite hio apple.
5. tissue paper itolewe the second
sheet. inakuwanga ya nini by the way?
KBC ionyeshe game za Euros. Ni DSTV
tutalipia ama ni rent?
6. Ile light inakuanga at the end of the tunnel izimwe ku save energy.
7. Blue band na SuperLoaf washikane
tuuziwe mkate ikiwa
already imepakwa BB
8. Iyo shamba enye iko between a
rock and a hard place, ma youth
wapewe tupande maindi
9. Turudishiwe hiyo Bob iko kwa jina ya
Collymore Ipigane na Dollar.
10. Miguna Miguna anyang'anywe
jina moja wapatie wenyewe hawana
majina kama Nameless .
11. Gava ifungue
Mr.Broke.Hatuwezi bei ya Mr.Price
12.kama fegi ni 7 bob ambia
shopkeeper aivute mpaka ifike ya
5 bob akuuzie
13.Taxation on weaves and other
fake hair should go up to curb the
killing of poor horses.
14. If you spend more than 30K on a
chic umelipa deposit ya dowry. Make
sure you show her parents
the receipts.
15. PK irudi 4bob
16. Brookside Dairies should offer a
Cheap 100ml pack of milk called
BrokeSide
17. Elections zifanywe kwa FB na
Twitter ndio ikuwe cheap. Balance
wapatie masufferer wajisort.
** Jun 14 Thu 18:46 **
Amor: *Open letter to the Minister of Finance* By Ìgwé Sonko Sk Dear Minister of finance Hon. Njeru Githae,
Hii cost of living imepanda sana bana. So as you read the budget, kama inawezekana, naomba serikali ipunguze bei ya samaki. Samaki zimekuwa expensive sana. Kwani zina swim kwa petroli? Nkt! Pia, badala ya avocado kukam na mbegu ikuwe inakam na mayai ndani instead. Donught pia ni problem. Tafadhali punguzeni size ya hiyo shimo. Ama hata mtoe kabisa juu hata si tamu. And lastly, naomba pia coca cola wakuwe wanajaza soda mpaka hapo kwa kifuniko.
Sincerely,
Sk the common mwananichi
Don't limit your challenges, but challenge your limits