kingfisher wrote:chinda ni ikiwa inaweza kewekwa kwa chai, or your favorite drink at home..... unapewa dose kila siku bila kujua!!!
Ha ha ha haaaa...
Sasa hakuna kukunywa chai nyumbani, ama hata uji.
Ni ugali tu na nyama choma na vitu zimekauka vivyo, hakuna cha soup tena.
Wanaume tumemalizwo!
Portfolio: Sold
You know you've made it when you get a parking space for your yatcht.