A Kisumu girls' chiq goes to the bookshop, he finds a Nyakemincha secondary guy also doing purchases. The guy notices the chiq n makes a move...
Nyakemincha; habari ya dada?
Kisumu girls; ya swaleh mdoee, ama ya mohammed ali?
Nyakemincha; yaani namaanisha sema?
... Kisumu girls; hivi kwamba, katika vijimisuli vya ngoma la sikio lako, nimenyamaza tangu awali?
Nyakemincha; pole dada, mi nakupenda!
Kisumu girls; ...kiplatoniki ama kiashiki za kimwili?
Nyakemincha; sasa ni madharau ama ni nini?
Kisumu girls; aliye juu mngoje chini, si mimi nilinena bali wahenga ndo walonoga. Rafiki yangu, niko JUU, lakini juu yangu ipo chini. Kwa hivyo sijui nitaenda chini zaidi ya hapa siku gani?
Nyakemincha; umekuja kununua kitabu kipi?
Kisumu girls; sijakuja kununua kitabu, nimekuja kupendekeza daftari langu la kiswahili...
Nyakemincha; Si unipe namba yako ya simu nitakupigia?
Kisumu girls; swali mufti kabisa ila nina swali, nini umoja wa 'ma'?
Nyakemincha; LA!
Kisumu girls; we si mjinga, bali ni kutojua kwako, kwamba hamna umoja wa 'ma'! Lakini umenikumbusha neno hilo!
..."Wewe ni mtu mdogo sana....na mwenye amekuandika pia ni mtu mdogo sana!".