C & P
Naona bado unataka kuoa huko Nyeri. Hebu fikiria... Kukatakatwa na mapanga, kuchomwa na maji moto ukilala. Na isitoshe... Kulala ICU mwezi mzima ukiuguza majeraha. Eh BOSS! Inakaa huna wasiwasi!!! Epuka kulipa bill ya hospitali!!!.. Achana na wasichana wa Nyeri.
"Never regret, if its good, its wonderful. If its bad, its experience."