KenyanLyrics wrote:Hmm, I think we need to hear both sides of the story now...
Huyo sio mwizi, anatukananga watu kwa twitter, sasa ari kutiriwa na ware ma G4S...sasa akona hatawagojea...akatoka bio...sasa..ndio wakamuwekerea fibo, sasa kuekerewa fibo - ndio aka piga duru...
sasa kupiga duru waweka video yake online.
Hata juzi wariekera mwenzetu pare Virrage, aka futwa kazi.
Huyo sio mwizi mbaka watu wa iHub wanamujua.
Hata wewe unaweza wekerewa fibo utoe duru, na hiyo ukipigwa dio unawekerewa fibo and unajua hiyo huwezi jitoa.
Na nikupigwa bure na sio kuiba umeiba...nikutukana watu wa iHub umetukana. Na watu wa iHub warikuwa wamejaa hapo wote...na wanamujua!
Unajua mbaka wewe ujizuie, kwa sababu ukieda jera utateseka bure...huko hukuri - ni KUKURIWA.
All Mushrooms are edible! Some Mushroom are only edible ONCE!