@Njunge ni Sisqo si shiku, hata hapo kwa tag yao ameandikwo hivyo
....sasa academy haikufanya vibaya nifile tuu ilikua wanafunzi wengi walikua wametoka kisii sasa kutoka kisii walikua wamekatalio mpaka Nyakemincha DEB Primary School, sasa hata kama ni Alliance bado ingeanguka.

#readlikesingingbonokosong#