For those of you wenye mlipitwa
nayo,a nyt cracker 0.o
ocampo writes on Mwai kibaki"s wall
on fb (nairobi styro)
*Luis Moreno Ocampo*>mwai kibaki
kibaki
-mzeiya hii risto ya shuttle diplomacy
ikatsie,unaharibu mambo
•Mike "Gwan Ting" $onko likes this.
35minutes ago nkt. Dislike.Utadoo
coments:
*mwai kibaki>KUBAFU!! !!!!kwanza
naaaani alikupa ruhusa uandike kwa
woro yagu?siuadike kwa woro ya
ICC.MUJINGA
*Lucy kibaki>yaani @kibaki unaongeza
friendz kwa fb yetu bira kuniabia,he!
niukuona huaini!! Na wewe ocampo,ni
kazi umekosa nkt.Kuja ukue scare crow
kwa chaba yangu.
*kalonzo musyoka> Tihihihi@lucy,haki
umenimaliza,tihihihi .......
*Lucy KIBAKI> Whats funny?Unaona
shashir hapa? kwanza niabie chenye
uliabia ranabaga juu ya kibaki ama
nikubrok!
*Mwai Kibabi>Nooooo! hapanaaa@
lucy,wacha kwanza afanye hiyo mambo
ya deferal,harafu dio udiro naye
porepore.
*joshua Arap sang>@ kibaki waeza
nisave doo kiasi? jo ni kubaya
man.Huyu ocampo hanitakii mazuri.
Raila Odinga>Luolest @LUCY
umenimada!roor!!!
*Mike "Gwan Ting" $onko >mathee
(lucy) watajuaje we ndo first lady,,,hebu
wachapie bwo bwo! Wagan mzito
*Lucy Kibaki>@mbuvi unaniita madhee
mimi mama yako?? Mschewww
*Mike "gwan Ting" $onko > tuliza
shonde madame,mi nakupiga jeki
tu,mbona waniparamba hivo?jipe
shughli tsatsa,nkt
*kalonzo Musyoka> tihihihihihi aki $
onko unanimada tihihi lol
*Raila Odinga> heheheh am unjoying
the unfolding drama,kibaki amesahau
bibi ananyeshewa huku *seeps pepsi*
Sonko mpe zake!
*PLO Lumumba> never under estimate
the idiocy under the downfold of
stupidy,you will end with a certificate
that will doom your resume into a
worthless peace of paper,fools #smh#
*Mike "Gwan Ting" Sonko> hehe PLO
umenimada debroz hebu wachapia
hawa washenzi,ata najua Kalucy
hakajagitch any,kali hiyo
*Bifwoli Wokoli> PLO khandi sasa hiyo
ni kisungu ama kicherumani vane?
selfless itiot!@ Lucy Omulami pole pole
omwana wefwe,wewe ni wetu hawa
wasikutisheko khandi,lala vsuri mama #
SMH# <- ----( ameweka tu the initials
hata hajui maana)
*Lucy Kibaki>PLO i will sue you to the
standard you son of a
mbitch,,,, ,,,shameless man,by the way
enda kura,umekoda sana,nktscare
crow
*Francis Atwoli-
washenzi,washenzi,washenzi !!PLO
unafanya nini huku jobless corner,al
block all of you except Bifwoli,Lucy
naanza na wewe nkt!
*Bifwoli Wokoli> WTF!->( not knowing
the meaning)-atwoli ata leo ntalala
vsuri,barikiwe
*Mike "Gwan Ting" Sonko> Bifwoli we
ni Cartoon Mtinguyez,ulijoin facebook
lini fala wangu,kuja inbox nikuchanue
haha,haiya tuende inbox(1 )
nktubukusu!
*Raila Odinga*> Lucy stop poking
me,kama Sonko amekulemea usiniletee
kisrani,am out my beautiful Idda is
waiting in bed *ror! *
-(Idda Odinga and Wokoli bifwoli like
this)
*Jimmy Gathungu Uhuru
kenyatta>>Nijeyez ubakoo,,umeskia
maujinga za Ekaterina 2kiwa icc..ujinga
moja ni kutamka jina Maina Jenga,,eti
MAIN AGENDA.. lol, lmfao, enyway ni
accent ya walami bt am xua ntatoboa
hii noma ya hague~( Eketerina
Trendafilova and Moureno Ocampo
like this)
*Lucy Kibaki>nyi edereeni
tu,kukiederea hivi naona manyunyu ya
Ocampo na mkizidi kutakuwa na mvua
ya Trendafilova,ma y you rot in jair you
sons of mbitches,period
*Kalonzo Musyoka> tihihihihi @lucy
hebu washow tihihihi :p(Charity Ngilu
likes this)
*
BIfwOli Wokoli>ohhh my firinjess!!!
ofwana imbwa.Msondo ! #smh#
TULIA.........UFUNZWE!