http://www.wazua.com/for...6627&p=2#post246615
EEeeeeh... Naona bado unampango wa krismasi!!!?
Ushawahi fanya hesabu ya hiyo siku 1 kwa mtu 1?
Hebu fikiria:
1. kutravel hapa na pale 3000/-
2. kubuy vyakula vingi na kushiba excess 2,000/-
kubuy nguo mpya 7,000/-
kuenda out kukesha na kuharibu usingizi 5,000/- ...ati... thao nane??? boss una doohh?
Na bado,uko na shida za pesa...!! Hebu FIKIRIA! achana na mpango wa krismasi!
PIKA SUKUMA NYUMBANI. EPUKA HASARA!