nimeanza mugomo balidi, sijakua nikienda na gari yangu town weekdays, ingawa pole pole nimeanza kuona matokeo, kama vile pesa ya pombe ya weekend imeongezeka, stress za traffic zimeisha nafika home nikiwa fresh bado,na mapema, kwa matatu watu wa kila aina ninaona, na ina furahicha macho nanikipenda nilala lala kidogo (power naps) to heoo' with the car on weekdays. labda fridays pekee.
