wazua Fri, May 8, 2026
Welcome Guest Search | Active Topics | Log In

10 Pages«<78910>
wakenya tembeeni
youcan'tstopusnow
#81 Posted : Wednesday, November 23, 2011 3:19:34 PM
Rank: Chief

Joined: 3/24/2010
Posts: 6,779
Location: Black Africa
nostoppingthis wrote:
Umeelezwa hapo awali,ushoga ina madhara zake na daiper Kenya itazidi ku exporti Tanzania ili kusaidia jirani.

Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly
GOD BLESS YOUR LIFE
subzero
#82 Posted : Wednesday, November 23, 2011 3:39:32 PM
Rank: Member

Joined: 1/10/2008
Posts: 365
infact chuse and kibuse mumenifanya hadi nikaogopa kutembea au kuekeze nchini humo.

natumai ya kuwa wabongo wengine hawana chuki jinsi mulivyo thihirisha hapa,

hata hivyo nimetembea Dar na arusha na watu tuliopatana nao walinikaribisha vizuri.

Sitachangia kwa mada ya ukubwa wa uchumi kwani KE and TZ sote tunazo shida zetu

sihingwa
#83 Posted : Wednesday, November 23, 2011 3:50:58 PM
Rank: Member

Joined: 9/29/2010
Posts: 216
Location: Kenia
Ninayo uchungu mwingi sana nikimjibu bi/bw Chuse...Shida ya wakenya ni moja tu - ufisadi. Shida ya ndugu zetu wabongo ambayo inawatafuna ni rushwa,kukosa uzalendo,uvivu wa kufikiri na uzembe.
sihingwa
#84 Posted : Wednesday, November 23, 2011 4:13:31 PM
Rank: Member

Joined: 9/29/2010
Posts: 216
Location: Kenia
chuse wrote:
wakenya mnajiona kama mpo sayari nyingine vile kumbe ni weupe hamna lolote wengi wenu hamjatembeaa ndo maana hamuelewi dunia ya nje,uchumi ni takwimu(statics/data)uhalisi ni maisha ya watu,
1. watu wangapi kenya wanamiliki nyumba zao?

2.kwanini watoto wenu na nyinyi wengi malala mitaani?

3.fikirini kabla hamja changia ki uhalisia watanzania wanamaisha bora kuliko yenu acheni kujitukuza tembeeni muone

Nitakujibu nikizingatia mambo matatu ambayo umeyataja hapo juu

1. Wakenya asilimia 99.9 wana nyumba katika vijiji vyao asili. Kwa mwenye akili ndogo kama wewe utadhani ya kuwa sisi tuna ukabila..si hivyo; 'mwacha mila ni mtumwa'

2. Tupe takwimu kutoka Idara husika huko Tz ya kuthibitisha ya kuwa idadi chache mno ya wabongo hulala mitaani

3. Nakualika nyumbani kwangu pia wewe utembee ili ustaajabu kwa yale mazuri ambayo hautayaona kwako nyumbani
Mr.Wambui
#85 Posted : Wednesday, November 23, 2011 4:19:14 PM
Rank: Member

Joined: 9/14/2011
Posts: 132
Location: Darasani
@all, don't argue with a fool; he'll bring you down to his level and beat you with experience!
All you can do is all you can do; but all you can do is enough!
Kibule
#86 Posted : Wednesday, November 23, 2011 4:20:47 PM
Rank: Hello

Joined: 11/23/2011
Posts: 2
sihingwa wrote:
Ninayo uchungu mwingi sana nikimjibu bi/bw Chuse...Shida ya wakenya ni moja tu - ufisadi. Shida ya ndugu zetu wabongo ambayo inawatafuna ni rushwa,kukosa uzalendo,uvivu wa kufikiri na uzembe.

Tatizo hiyo mentality ya watanzania wavivu, wazembe ndio wanayokuja nayo waK kwetu, wakati hayo mawazo yamepitwa na wakati. Watz sio wale mnaowajua kwamba ni wazembe hiki ni kizazi kipya, tuko ngangari. Ukija Tz na hayo mawazo ya uzembe hakuna mtu atakukaribisha kwake. Tunaomba kwa mje taratibu mfanye kazi yenu iliyowaleta na mwende na siyo kutufuata fuata eti wazembe.
WaK walikuwa wanakuja kwetu kufanya kazi halafu wanatulazimisha tuandike kila tunachofanya kwa siku hata ukienda msalani lazima uandike. Sasa sijui mambo ya msalani yatamsaidiaje kwenye kazi yake. Dar sasa karibu nusu ya watu wake ni waK, ukienda Nrb watu wanavaa masuti mpaka unawaogopa lakini kile kinyumba anatoka kwetu wanalala kuku.
Sisi tuko sawa tu maisha yanasonga mbele, SIKU HAZIGANDI hata mkisema.
sihingwa
#87 Posted : Wednesday, November 23, 2011 4:55:43 PM
Rank: Member

Joined: 9/29/2010
Posts: 216
Location: Kenia
Chuse=Kibule!
Jiulize mbona .ug hawana shida na .ke ingawa tumewazidi kwa idadi kule Wandegeya ? Nitakujibu... wa .ug wana bidii ya siafu na wakiona wa .ke wamefaulu kwa jambo fulani, hao hufanya urafiki nao na kuiga maarifa ya wa .ke!

Kule Dar wa .tz wakiona ufanisi wa .ke, wanaanza kusema hao ni wezi, wana kiburi n.k. Mkenya naye atafahamu moja kwa moja ya kuwa wewe unazembea kwa biashara, kazi, masomo.. n.k

Sasa mambo ya mavazi pia wataka tuwafunze ? Pole kuna joto jingi Tz, sio pahali pa kujivisha suti.

Hiyo tu, bas ! !
safariant
#88 Posted : Wednesday, November 23, 2011 4:56:07 PM
Rank: Member

Joined: 9/9/2010
Posts: 784
Location: ant hill - red hill
Kibule wrote:
sihingwa wrote:
Ninayo uchungu mwingi sana nikimjibu bi/bw Chuse...Shida ya wakenya ni moja tu - ufisadi. Shida ya ndugu zetu wabongo ambayo inawatafuna ni rushwa,kukosa uzalendo,uvivu wa kufikiri na uzembe.

Tatizo hiyo mentality ya watanzania wavivu, wazembe ndio wanayokuja nayo waK kwetu, wakati hayo mawazo yamepitwa na wakati. Watz sio wale mnaowajua kwamba ni wazembe hiki ni kizazi kipya, tuko ngangari. Ukija Tz na hayo mawazo ya uzembe hakuna mtu atakukaribisha kwake. Tunaomba kwa mje taratibu mfanye kazi yenu iliyowaleta na mwende na siyo kutufuata fuata eti wazembe.
WaK walikuwa wanakuja kwetu kufanya kazi halafu wanatulazimisha tuandike kila tunachofanya kwa siku hata ukienda msalani lazima uandike. Sasa sijui mambo ya msalani yatamsaidiaje kwenye kazi yake. Dar sasa karibu nusu ya watu wake ni waK, ukienda Nrb watu wanavaa masuti mpaka unawaogopa lakini kile kinyumba anatoka kwetu wanalala kuku.
Sisi tuko sawa tu maisha yanasonga mbele, SIKU HAZIGANDI hata mkisema.

Unahakika wewe ni mTZ, hayo maneno huandikwa na mtu wa mkoa wa kati hape kenya.
Natarajia useme wakija sio wanakuja
The greatest act of bravery is chancing a fart while suffering from diarrhoea
Injere
#89 Posted : Wednesday, November 23, 2011 5:09:29 PM
Rank: Member

Joined: 4/7/2010
Posts: 130
Shame on you This poster (Chuse) is actually abusing our intelligence and sovereignity as a nation. We are not the first ones to cast the stone here.

My humble suggestion - NO NEED TO REPLY. LET'S GO BACK TO OUR BUSINESS NA TUENDELEE. My advise to Chuse - THIS POST IS NOT WORTHY OF THIS FORUM. PLEASE RE-CONSIDER YOUR FUTURE POSTINGS. WAZUANS DO NOT POST ENTRIES IN TZ FORUMS SHOUTING OBSCENETIES.
Magigi
#90 Posted : Wednesday, November 23, 2011 5:28:07 PM
Rank: Elder

Joined: 3/31/2008
Posts: 7,081
Location: Kenya
sihingwa wrote:
Ninayo uchungu mwingi sana nikimjibu bi/bw Chuse...Shida ya wakenya ni moja tu - ufisadi. Shida ya ndugu zetu wabongo ambayo inawatafuna ni rushwa,kukosa uzalendo,uvivu wa kufikiri na uzembe.

...Hapa umegonga mkende yake kabisa!!!!
10 Pages«<78910>
Forum Jump  
You cannot post new topics in this forum.
You cannot reply to topics in this forum.
You cannot delete your posts in this forum.
You cannot edit your posts in this forum.
You cannot create polls in this forum.
You cannot vote in polls in this forum.

Copyright © 2026 Wazua.co.ke. All Rights Reserved.