wazua Fri, May 8, 2026
Welcome Guest Search | Active Topics | Log In

10 Pages«<678910>
wakenya tembeeni
simonkabz
#71 Posted : Wednesday, November 23, 2011 1:10:11 PM
Rank: Elder

Joined: 3/2/2007
Posts: 8,776
Location: Cameroon
Aargh! Hapana bembeleza punda kwa mteremko. Silence this nigga.
TULIA.........UFUNZWE!
Muheani
#72 Posted : Wednesday, November 23, 2011 1:11:49 PM
Rank: Veteran

Joined: 11/20/2009
Posts: 1,402
Kaka/Dada Chuse,

Wacha kejeli...

salalala...wajione juu...kumbe babu kasema 'Aliye juu, mngoje Chini'.

Nidhamu, utu, maadili - yote sawa kaka/dada, hatutahitaji kuranda randa TZ kupata hayo...la hasha!


Yote Saba?...Maarifa na hela TZ ni andimu!
Jump-steady
#73 Posted : Wednesday, November 23, 2011 1:13:47 PM
Rank: Veteran

Joined: 12/1/2008
Posts: 1,098
@Chuse, Jambo lakini? Bongo la biashara la TZ ni Uganga tu! hakuna kitu ingine wa TZ wanajulikana nayo isipokuwa uganga. Nairobi imejaa vibao vya matangazo ya waganga kutoka TZ. Mbona hivyo lakini @Chuse? TZ kunayo shule ya waganga? Pray
dossy7
#74 Posted : Wednesday, November 23, 2011 1:24:39 PM
Rank: Elder

Joined: 12/9/2009
Posts: 1,493
Location: Nairobi
Haya chuse Kula mziki basi na uende uka banane huko huko
http://www.youtube.com/watch?v=kbxltZcDkiM
Kenya ni yetu sisi sote
chuse
#75 Posted : Wednesday, November 23, 2011 1:37:37 PM
Rank: Hello

Joined: 11/22/2011
Posts: 6
Jump-steady wrote:
@Chuse, Jambo lakini? Bongo la biashara la TZ ni Uganga tu! hakuna kitu ingine wa TZ wanajulikana nayo isipokuwa uganga. Nairobi imejaa vibao vya matangazo ya waganga kutoka TZ. Mbona hivyo lakini @Chuse? TZ kunayo shule ya waganga? Pray


Kwani ndugu hujui wajinga ndo waliwao,wa tz wameona mnadanganyika kirahis ndo maana wanakuja wamewasagia mikaa kama dawa na mnawajaza mipesa ni kuzidiwa akili tunacheza na akili zenu fupi
Muheani
#76 Posted : Wednesday, November 23, 2011 1:45:46 PM
Rank: Veteran

Joined: 11/20/2009
Posts: 1,402
Ngoma nyingine ndio hiyo kaka/dada
http://www.youtube.com/w...uiI&feature=related
jguru
#77 Posted : Wednesday, November 23, 2011 1:53:34 PM
Rank: Veteran

Joined: 10/25/2007
Posts: 1,574
Wakenya wengi juzi walitembea Loliondo eti ndio wanywe angalau kikombe kimoja cha ile dawa ya miujiza iliodaiwa kuyaponya magonjwa yote. Mtanzania ndiye aliyetengeneza hiyo dawa na Wakenya waliinunua kwa vibuyu. Mbona Mtanzania hashirikiani na Mkenya vile Mkenya hushirikiana na Mtanzania bila ubaguzi wa nchi? Mbona Mtanzania haji kwa utalii Kenya na Mkenya atafanya safari ya Morogoro, Moshi, Tanga na Dar-es-salaam, huku akitumia pesa kwa malazi, vyakula na tembo, na kuinua uchumi wa Tanzania?
Set out to correct the world's wrongs and you will most certainly wind up adding to them.
Jump-steady
#78 Posted : Wednesday, November 23, 2011 1:58:05 PM
Rank: Veteran

Joined: 12/1/2008
Posts: 1,098
@Chuse, safi kabisa!smile Wa TZ kwa hivyo ni wakora, matapeli, wanafiki, sio?
Kibule
#79 Posted : Wednesday, November 23, 2011 2:18:29 PM
Rank: Hello

Joined: 11/23/2011
Posts: 2
Jump-steady wrote:
@Chuse, safi kabisa!smile Wa TZ kwa hivyo ni wakora, matapeli, wanafiki, sio?


Nawasabahi ndugu zanguni.

Chuse nimekukubali, watanzania wanafikiria mbali sana na wala sio wakora au wanafiki kama hawa ndugu zetu wa K wanavyofikiri. Wakenya ni washirikina sana ndio maana wanadanganywa kila kukicha yaani wangejua vile vitu wanapewa kunywa naona wangelia. Kama kungekuwa hakuna wateja Kenya watz wasingekuja huku.
safariant
#80 Posted : Wednesday, November 23, 2011 3:09:03 PM
Rank: Member

Joined: 9/9/2010
Posts: 784
Location: ant hill - red hill
Chuse = Guka?
The greatest act of bravery is chancing a fart while suffering from diarrhoea
10 Pages«<678910>
Forum Jump  
You cannot post new topics in this forum.
You cannot reply to topics in this forum.
You cannot delete your posts in this forum.
You cannot edit your posts in this forum.
You cannot create polls in this forum.
You cannot vote in polls in this forum.

Copyright © 2026 Wazua.co.ke. All Rights Reserved.