Wakenya wengi juzi walitembea Loliondo eti ndio wanywe angalau kikombe kimoja cha ile dawa ya miujiza iliodaiwa kuyaponya magonjwa yote. Mtanzania ndiye aliyetengeneza hiyo dawa na Wakenya waliinunua kwa vibuyu. Mbona Mtanzania hashirikiani na Mkenya vile Mkenya hushirikiana na Mtanzania bila ubaguzi wa nchi? Mbona Mtanzania haji kwa utalii Kenya na Mkenya atafanya safari ya Morogoro, Moshi, Tanga na Dar-es-salaam, huku akitumia pesa kwa malazi, vyakula na tembo, na kuinua uchumi wa Tanzania?
Set out to correct the world's wrongs and you will most certainly wind up adding to them.