wazua Fri, May 8, 2026
Welcome Guest Search | Active Topics | Log In

10 Pages«<56789>»
wakenya tembeeni
Pierce
#61 Posted : Wednesday, November 23, 2011 11:10:05 AM
Rank: Veteran

Joined: 3/16/2009
Posts: 1,464
willin2learn wrote:
chuse wrote:
Tatizo watu hawafamu tofauti ya lugha na maarifa. hao wachina wanao jenga barabara zenu hawajui a wala be za kiingereza lakini mme wapa miradi yote ya barabara
inaonyesha jinsi gani mpo nyuma hamtofautishi,ndo maana mnaona kujua kiingereza ndo kuwa wajuzi au wataalamu,kaeni na kiingereza chenu si tunabaki na kiswahili asili yetu,fahari yetu, utamaduni wetu,alama yetu

nyie endeleeni kujipendekeza kwa wazungu na kiingereza chao ndo hao wanawalazimisha kuwa mashoga eeh.

tunaringa tunautambulisho wetu duniani acheni chuki binafsi,hila na nongwa

Gakware! nikarumanire

Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly
majimaji
#62 Posted : Wednesday, November 23, 2011 11:15:25 AM
Rank: Veteran

Joined: 4/4/2007
Posts: 1,162

Wa (dot).ke wamewezwa na huyu Chuse. Waambie ndugu.
Lolest!
#63 Posted : Wednesday, November 23, 2011 12:12:50 PM
Rank: Elder

Joined: 3/18/2011
Posts: 12,069
Location: Kianjokoma
Has anyone noticed Njung'e has been missing in action? I think his swa is good from an earlier thread...Just wondering
Laughing out loudly smile Applause d'oh! Sad Drool Liar Shame on you Pray
Tebes
#64 Posted : Wednesday, November 23, 2011 12:26:14 PM
Rank: Elder

Joined: 11/26/2008
Posts: 2,097
Katika mwaka mmoja, Abunuwasi aliamua kuwa mfugaji mbuzi. Alinunua mbuzi na akanza kufuga na huku akiwa na tamaa ya kumuongezea kipato chake pindi tu mbuzi huyo atapoanza kuzaa watoto, naye atawafuga hadi wawe wengi na kuwa tajiri mji mzima kwa mbuzi wake hao.
Siku moja Abunuasi akipokuwa anampeleka malishoni mbuzi wake njiani alikikuta kiatu kimoja kizuri sana kati kati ya njia. Alisimama na akakingalia na kilimpendeza na alisema "kiatu hiki ni kizuri lakini mbona kipo kimoja tu" alitafuta kiatu chengine pembezoni mwa ile njia hakukiona. Akaona hakina maana kukichukua kwani hawezi kuvaa kiatu kimoja.
Abunuasi akachukuwa mbuzi wake na akakiwacha kile kiatu pale pale. Aliposonga mbele kidogo akakikuta kiatu chengine kama kile ambacho kilikuwa ni cha mguu mwengine wa kile cha mwanzo. Abunuasi alishangaa na akaona bora angelikichukua kile cha mwanzo na kwa sasa vingelikuwa tayari vishatimia pea moja. Ndipo alipoamua kumfunga mbuzi wake pembeni ya njia na akakiweka kiatu kile pale pale alipomfunga mbuzi ili arudi akakichukuwe kiatu kile cha mwanzo.
Aliporudi pale kilipokuwepo kiatu cha mwanzo hakukikuta tena kiatu kile, alijaribu kukitafuta lakini hakukiona. Basi akaona kuwa ametokea mtu amekiokota. Akarudi haraka alipomfunga mbuzi wake. Nako pia hakumkuta mbuzi wala kile kiatu kimoja. Ikawa amemkosa mbuzi na pia viatu hakuvikuta, Abunuasi ndoto zake zote za utajiri ziliruka na akabaki na umasikini wake kwa ubaya wa tamaa zake.

"Never regret, if its good, its wonderful. If its bad, its experience."
Ray
#65 Posted : Wednesday, November 23, 2011 12:30:15 PM
Rank: Member

Joined: 1/9/2007
Posts: 219
Ndugu Chuse watanzania wana bongo la biashara kabisa ndio maana juzi wameanza kuuza Zeru zeru (Albino).Makubwa haya!
wanyuru
#66 Posted : Wednesday, November 23, 2011 12:32:34 PM
Rank: Veteran

Joined: 11/29/2007
Posts: 948
Pierce wrote:
willin2learn wrote:
chuse wrote:
Tatizo watu hawafamu tofauti ya lugha na maarifa. hao wachina wanao jenga barabara zenu hawajui a wala be za kiingereza lakini mme wapa miradi yote ya barabara
inaonyesha jinsi gani mpo nyuma hamtofautishi,ndo maana mnaona kujua kiingereza ndo kuwa wajuzi au wataalamu,kaeni na kiingereza chenu si tunabaki na kiswahili asili yetu,fahari yetu, utamaduni wetu,alama yetu

nyie endeleeni kujipendekeza kwa wazungu na kiingereza chao ndo hao wanawalazimisha kuwa mashoga eeh.

tunaringa tunautambulisho wetu duniani acheni chuki binafsi,hila na nongwa

Gakware! nikarumanire

Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly

Laughing out loudly Laughing out loudly

huyu chupi kweli amekosa adabu kabisa!
chuse
#67 Posted : Wednesday, November 23, 2011 12:42:32 PM
Rank: Hello

Joined: 11/22/2011
Posts: 6
Ray wrote:
Ndugu Chuse watanzania wana bongo la biashara kabisa ndio maana juzi wameanza kuuza Zeru zeru (Albino).Makubwa haya!

kwani nyie mme vusha mazeruzeru wangapi kuja kuwauza kisiwa cha amani tanzaia,tukawatia nguvuni na tamaa zenu na ulafi usio kifani.
Nani asiejua wahalifu(majambazi) yanayo sumbua afrika mashariki ni kutoka dot.ke

Ninyi mnaishi baba hamwamini mtoto,mtoto hamwamini baba,mume hamwamini mke ilimradi ni pulukushani tupu.

Jamani jifunzeni maadili,wema.ukarimu na utu
Lolest!
#68 Posted : Wednesday, November 23, 2011 12:59:35 PM
Rank: Elder

Joined: 3/18/2011
Posts: 12,069
Location: Kianjokoma
chuse wrote:
.
Nani asiejua wahalifu(majambazi) yanayo sumbua afrika mashariki ni kutoka dot.ke

Ninyi mnaishi baba hamwamini mtoto,mtoto hamwamini baba,mume hamwamini mke ilimradi ni pulukushani tupu.

Jamani jifunzeni maadili,wema.ukarimu na utu

Wacha matusi. Si nyinyi pia mwauza mihadarati huku Kenya?

Wakenya nakubali wahitaji somo la nidhamu;

Watanzania somo la Kiingereza, utendakazi, kutochukia wageni

Waganda somo la Kiswahili
Laughing out loudly smile Applause d'oh! Sad Drool Liar Shame on you Pray
Ray
#69 Posted : Wednesday, November 23, 2011 1:02:38 PM
Rank: Member

Joined: 1/9/2007
Posts: 219
chuse wrote:
Ray wrote:
Ndugu Chuse watanzania wana bongo la biashara kabisa ndio maana juzi wameanza kuuza Zeru zeru (Albino).Makubwa haya!

kwani nyie mme vusha mazeruzeru wangapi kuja kuwauza kisiwa cha amani tanzaia,tukawatia nguvuni na tamaa zenu na ulafi usio kifani.
Nani asiejua wahalifu(majambazi) yanayo sumbua afrika mashariki ni kutoka dot.ke

Ninyi mnaishi baba hamwamini mtoto,mtoto hamwamini baba,mume hamwamini mke ilimradi ni pulukushani tupu.

Jamani jifunzeni maadili,wema.ukarimu na utu

Watanzania hawatutakii mema.Ukitembea Tanzania uone mmoja kajipendekeza kwako ni dhahiri kuwa anachunguza kibali chako kama kiko sawa ndio aweze kukushtaki kwa idala ya uhamiaji.Ukarimu hamna mkiona Mkenya mnaona tu amekuja kunyakua mali yenu ilhari ndugu zenu Wachaga tumewakaribisha kwetu wamejaa Gikomba na kwingineko.Ni vizuri kama mngetuonyesha utu si uadui na ubinafsi.Dunia ni mviringo na huwezi kujitoshereza.
Mtu Biz
#70 Posted : Wednesday, November 23, 2011 1:07:39 PM
Rank: Veteran

Joined: 1/16/2007
Posts: 1,320

Uzi huu umenifanya ni cheke nje kwa nguvu almaarufu kama lol.

Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly
Sola Scriptura

10 Pages«<56789>»
Forum Jump  
You cannot post new topics in this forum.
You cannot reply to topics in this forum.
You cannot delete your posts in this forum.
You cannot edit your posts in this forum.
You cannot create polls in this forum.
You cannot vote in polls in this forum.

Copyright © 2026 Wazua.co.ke. All Rights Reserved.