wazua Fri, May 8, 2026
Welcome Guest Search | Active Topics | Log In

10 Pages«<45678>»
wakenya tembeeni
willin2learn
#51 Posted : Wednesday, November 23, 2011 10:00:42 AM
Rank: Veteran

Joined: 2/12/2008
Posts: 1,178
chuse wrote:
Tatizo watu hawafamu tofauti ya lugha na maarifa. hao wachina wanao jenga barabara zenu hawajui a wala be za kiingereza lakini mme wapa miradi yote ya barabara
inaonyesha jinsi gani mpo nyuma hamtofautishi,ndo maana mnaona kujua kiingereza ndo kuwa wajuzi au wataalamu,kaeni na kiingereza chenu si tunabaki na kiswahili asili yetu,fahari yetu, utamaduni wetu,alama yetu

nyie endeleeni kujipendekeza kwa wazungu na kiingereza chao ndo hao wanawalazimisha kuwa mashoga eeh.

tunaringa tunautambulisho wetu duniani acheni chuki binafsi,hila na nongwa

Gakware! nikarumanire
Ojinga
#52 Posted : Wednesday, November 23, 2011 10:02:12 AM
Rank: User

Joined: 4/28/2009
Posts: 50
kulingana na kichwa yangu huyu mchamaa nasema rongo,Tanzania ni nji iko nyuma sana ata wasichana iko matiti timam hakuna,jusi mimi alikuwa huko na wapika mdomo tu salaala ,tafakari haya kopo langu la saa hainiruhusu
nostoppingthis
#53 Posted : Wednesday, November 23, 2011 10:10:54 AM
Rank: Chief

Joined: 8/24/2009
Posts: 5,909
Location: Nairobi
dossy7 wrote:
Lolest! wrote:
smile

Kiswahili kyangu kimeishia haposmile

Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly tafakari haya,hii sentensi liko kwa ngeli gani?

sentensi hii ama sentensi hili?
smano
#54 Posted : Wednesday, November 23, 2011 10:17:44 AM
Rank: Elder

Joined: 12/13/2006
Posts: 2,589
chuse wrote:
Tatizo watu hawafamu tofauti ya lugha na maarifa. hao wachina wanao jenga barabara zenu hawajui a wala be za kiingereza lakini mme wapa miradi yote ya barabara
inaonyesha jinsi gani mpo nyuma hamtofautishi,ndo maana mnaona kujua kiingereza ndo kuwa wajuzi au wataalamu,kaeni na kiingereza chenu si tunabaki na kiswahili asili yetu,fahari yetu, utamaduni wetu,alama yetu

nyie endeleeni kujipendekeza kwa wazungu na kiingereza chao ndo hao wanawalazimisha kuwa mashoga eeh.

tunaringa tunautambulisho wetu duniani acheni chuki binafsi,hila na nongwa

Ningependa kumkosoa huyu bwana ambaye yuadai kwamba sisi twalazimishwa kuwa mashoga...

Hiyo ni utani kwa sababu inafahamika barabara kwamba wa Bongo wengi huvaa diaper kwa ajili ya kufunguliwa buti (boot) mara dat dat - kwa kimombo twasema hao ni sockets! Ambao huingizwa mitarimbo inayoitwa Plugs! Hio ndio sababu jamaa fulani amedai hapio juu kwamba diapers hazipatikani TZ.Shame on you

Tafakari hayo ya babu, nikichukua kopo langu la maji
BEER IS LIVING PROOF THAT GOD LOVES US AND WANTS US TO BE HAPPY!
Impunity
#55 Posted : Wednesday, November 23, 2011 10:31:32 AM
Rank: Elder

Joined: 3/2/2009
Posts: 26,333
Location: Masada
nostoppingthis wrote:
dossy7 wrote:
Lolest! wrote:
smile

Kiswahili kyangu kimeishia haposmile

Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly tafakari haya,hii sentensi liko kwa ngeli gani?

sentensi hii ama sentensi hili?

Kinyambuliko kitenzi katika ngeli ya M-WA, pamoja na kiwakilishi O-rejeshi!

PAP!
Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly
Portfolio: Sold
You know you've made it when you get a parking space for your yatcht.

Kaigangio
#56 Posted : Wednesday, November 23, 2011 10:32:57 AM
Rank: Elder

Joined: 2/27/2007
Posts: 2,768
chuse wrote:
Tatizo watu hawafamu tofauti ya lugha na maarifa. hao wachina wanao jenga barabara zenu hawajui a wala be za kiingereza lakini mme wapa miradi yote ya barabara
inaonyesha jinsi gani mpo nyuma hamtofautishi,ndo maana mnaona kujua kiingereza ndo kuwa wajuzi au wataalamu,kaeni na kiingereza chenu si tunabaki na kiswahili asili yetu,fahari yetu, utamaduni wetu,alama yetu

nyie endeleeni kujipendekeza kwa wazungu na kiingereza chao ndo hao wanawalazimisha kuwa mashoga eeh.

tunaringa tunautambulisho wetu duniani acheni chuki binafsi,hila na nongwa

nyinyi watz ndio yafaa mtembee...mko nyuma kwenye kila kitu isipokuwa lugha ya kiswahili...kwenye masomo, mko nyuma...kwenye technologia, mko nyuma...kwenye kilimo nyinyi wanyonge kabisa (isipokuwa wachaga)...kwenye maendeleo ya kiuchumi, mko nyuma...

kila kitu, nyuma! nyuma! nyuma! kama "gatitira" ya kuku!!!ABK!!!
...besides, the presence of a safe alone does not signify that there is money inside...
Marty
#57 Posted : Wednesday, November 23, 2011 10:40:07 AM
Rank: Veteran

Joined: 3/31/2008
Posts: 761
Location: Nairobi
chuse wrote:
Tatizo watu hawafamu tofauti ya lugha na maarifa. hao wachina wanao jenga barabara zenu hawajui a wala be za kiingereza lakini mme wapa miradi yote ya barabara
inaonyesha jinsi gani mpo nyuma hamtofautishi,ndo maana mnaona kujua kiingereza ndo kuwa wajuzi au wataalamu,kaeni na kiingereza chenu si tunabaki na kiswahili asili yetu,fahari yetu, utamaduni wetu,alama yetu

nyie endeleeni kujipendekeza kwa wazungu na kiingereza chao ndo hao wanawalazimisha kuwa mashoga eeh.

tunaringa tunautambulisho wetu duniani acheni chuki binafsi,hila na nongwa

@chuse,

Wacha kuongea mavi (talking shit), hamna haja ya kutukana jirani yako. Hio ni kama kucheka uchi wa mamako. Umeskia msemo wa 'nyani haoni kundule'? Hizi nchi mbili ni maskini hohe hahe na zahitaji ushirikiano na utu wema kuinua hali ya maisha ya wananchi wao. Kondoshe wewe!!
When I admire the wonder of a sunset or the beauty
of the moon, my soul expands in worship of the Creator.
nostoppingthis
#58 Posted : Wednesday, November 23, 2011 10:47:52 AM
Rank: Chief

Joined: 8/24/2009
Posts: 5,909
Location: Nairobi
smano wrote:
chuse wrote:
Tatizo watu hawafamu tofauti ya lugha na maarifa. hao wachina wanao jenga barabara zenu hawajui a wala be za kiingereza lakini mme wapa miradi yote ya barabara
inaonyesha jinsi gani mpo nyuma hamtofautishi,ndo maana mnaona kujua kiingereza ndo kuwa wajuzi au wataalamu,kaeni na kiingereza chenu si tunabaki na kiswahili asili yetu,fahari yetu, utamaduni wetu,alama yetu

nyie endeleeni kujipendekeza kwa wazungu na kiingereza chao ndo hao wanawalazimisha kuwa mashoga eeh.

tunaringa tunautambulisho wetu duniani acheni chuki binafsi,hila na nongwa

Ningependa kumkosoa huyu bwana ambaye yuadai kwamba sisi twalazimishwa kuwa mashoga...

Hiyo ni utani kwa sababu inafahamika barabara kwamba wa Bongo wengi huvaa diaper kwa ajili ya kufunguliwa buti (boot) mara dat dat - kwa kimombo twasema hao ni sockets! Ambao huingizwa mitarimbo inayoitwa Plugs! Hio ndio sababu jamaa fulani amedai hapio juu kwamba diapers hazipatikani TZ.Shame on you

Tafakari hayo ya babu, nikichukua kopo langu la maji

kaka chuse...ushoga sote twajua umejaa Tanzania kwenye beach...mwachora saba na mzungu anapata raha zake kisha kuwaangushia masenti. isitoshe, wanaume wadogo kutoka nchi yenu wanaolewa na wanawake wazee weupe ili wapate fursa ya kuenda uingereza na nchi zinginezo...labda hivyo watainarisha uchumi wenu kwa kutuma hela nyumbani kusaidia wenyeji alikotoka. Umeelezwa hapo awali,ushoga ina madhara zake na daiper Kenya itazidi ku exporti Tanzania ili kusaidia jirani.
safariant
#59 Posted : Wednesday, November 23, 2011 10:48:51 AM
Rank: Member

Joined: 9/9/2010
Posts: 784
Location: ant hill - red hill
Impunity wrote:
nostoppingthis wrote:
dossy7 wrote:
Lolest! wrote:
smile

Kiswahili kyangu kimeishia haposmile

Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly tafakari haya,hii sentensi liko kwa ngeli gani?

sentensi hii ama sentensi hili?

Kinyambuliko kitenzi katika ngeli ya M-WA, pamoja na kiwakilishi O-rejeshi!

PAP!
Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly

***
Ni sentensi hili au Sentensi hii?

Kiswali mufti, hawa wabongo hawajui kutofautisha kati ya L (elo) na R (ara), ni kama wasaperee na wanajidia kiswahiri.
Kiswahili sanifu ni Mombasa hawana chida ya matamchi
The greatest act of bravery is chancing a fart while suffering from diarrhoea
FancyFace
#60 Posted : Wednesday, November 23, 2011 10:59:17 AM
Rank: Member

Joined: 7/31/2009
Posts: 743
willin2learn wrote:
chuse wrote:
Tatizo watu hawafamu tofauti ya lugha na maarifa. hao wachina wanao jenga barabara zenu hawajui a wala be za kiingereza lakini mme wapa miradi yote ya barabara
inaonyesha jinsi gani mpo nyuma hamtofautishi,ndo maana mnaona kujua kiingereza ndo kuwa wajuzi au wataalamu,kaeni na kiingereza chenu si tunabaki na kiswahili asili yetu,fahari yetu, utamaduni wetu,alama yetu

nyie endeleeni kujipendekeza kwa wazungu na kiingereza chao ndo hao wanawalazimisha kuwa mashoga eeh.

tunaringa tunautambulisho wetu duniani acheni chuki binafsi,hila na nongwa

Gakware! nikarumanire

Laughing out loudly Laughing out loudly Laughing out loudly washa kunichekecha hahaha

Problems can get out of proportion, and not only in the wee small hours. Don't let the problems eclipse the Master. Let the Master eclipse the problems.
10 Pages«<45678>»
Forum Jump  
You cannot post new topics in this forum.
You cannot reply to topics in this forum.
You cannot delete your posts in this forum.
You cannot edit your posts in this forum.
You cannot create polls in this forum.
You cannot vote in polls in this forum.

Copyright © 2026 Wazua.co.ke. All Rights Reserved.