Wazua
»
Club SK
»
Life
»
wakenya tembeeni
Rank: Veteran Joined: 2/12/2008 Posts: 1,178
|
chuse wrote:Tatizo watu hawafamu tofauti ya lugha na maarifa. hao wachina wanao jenga barabara zenu hawajui a wala be za kiingereza lakini mme wapa miradi yote ya barabara inaonyesha jinsi gani mpo nyuma hamtofautishi,ndo maana mnaona kujua kiingereza ndo kuwa wajuzi au wataalamu,kaeni na kiingereza chenu si tunabaki na kiswahili asili yetu,fahari yetu, utamaduni wetu,alama yetu
nyie endeleeni kujipendekeza kwa wazungu na kiingereza chao ndo hao wanawalazimisha kuwa mashoga eeh.
tunaringa tunautambulisho wetu duniani acheni chuki binafsi,hila na nongwa Gakware! nikarumanire
|
|
|
Rank: User Joined: 4/28/2009 Posts: 50
|
kulingana na kichwa yangu huyu mchamaa nasema rongo,Tanzania ni nji iko nyuma sana ata wasichana iko matiti timam hakuna,jusi mimi alikuwa huko na wapika mdomo tu salaala ,tafakari haya kopo langu la saa hainiruhusu
|
|
|
Rank: Chief Joined: 8/24/2009 Posts: 5,909 Location: Nairobi
|
sentensi hii ama sentensi hili?
|
|
|
Rank: Elder Joined: 12/13/2006 Posts: 2,589
|
chuse wrote:Tatizo watu hawafamu tofauti ya lugha na maarifa. hao wachina wanao jenga barabara zenu hawajui a wala be za kiingereza lakini mme wapa miradi yote ya barabara inaonyesha jinsi gani mpo nyuma hamtofautishi,ndo maana mnaona kujua kiingereza ndo kuwa wajuzi au wataalamu,kaeni na kiingereza chenu si tunabaki na kiswahili asili yetu,fahari yetu, utamaduni wetu,alama yetu
nyie endeleeni kujipendekeza kwa wazungu na kiingereza chao ndo hao wanawalazimisha kuwa mashoga eeh.
tunaringa tunautambulisho wetu duniani acheni chuki binafsi,hila na nongwa Ningependa kumkosoa huyu bwana ambaye yuadai kwamba sisi twalazimishwa kuwa mashoga... Hiyo ni utani kwa sababu inafahamika barabara kwamba wa Bongo wengi huvaa diaper kwa ajili ya kufunguliwa buti (boot) mara dat dat - kwa kimombo twasema hao ni sockets! Ambao huingizwa mitarimbo inayoitwa Plugs! Hio ndio sababu jamaa fulani amedai hapio juu kwamba diapers hazipatikani TZ. Tafakari hayo ya babu, nikichukua kopo langu la maji BEER IS LIVING PROOF THAT GOD LOVES US AND WANTS US TO BE HAPPY!
|
|
|
Rank: Elder Joined: 3/2/2009 Posts: 26,333 Location: Masada
|
nostoppingthis wrote:sentensi hii ama sentensi hili? Kinyambuliko kitenzi katika ngeli ya M-WA, pamoja na kiwakilishi O-rejeshi! PAP! Portfolio: Sold You know you've made it when you get a parking space for your yatcht.
|
|
|
Rank: Elder Joined: 2/27/2007 Posts: 2,768
|
chuse wrote:Tatizo watu hawafamu tofauti ya lugha na maarifa. hao wachina wanao jenga barabara zenu hawajui a wala be za kiingereza lakini mme wapa miradi yote ya barabara inaonyesha jinsi gani mpo nyuma hamtofautishi,ndo maana mnaona kujua kiingereza ndo kuwa wajuzi au wataalamu,kaeni na kiingereza chenu si tunabaki na kiswahili asili yetu,fahari yetu, utamaduni wetu,alama yetu
nyie endeleeni kujipendekeza kwa wazungu na kiingereza chao ndo hao wanawalazimisha kuwa mashoga eeh.
tunaringa tunautambulisho wetu duniani acheni chuki binafsi,hila na nongwa nyinyi watz ndio yafaa mtembee...mko nyuma kwenye kila kitu isipokuwa lugha ya kiswahili...kwenye masomo, mko nyuma...kwenye technologia, mko nyuma...kwenye kilimo nyinyi wanyonge kabisa (isipokuwa wachaga)...kwenye maendeleo ya kiuchumi, mko nyuma... kila kitu, nyuma! nyuma! nyuma! kama "gatitira" ya kuku!!!ABK!!! ...besides, the presence of a safe alone does not signify that there is money inside...
|
|
|
Rank: Veteran Joined: 3/31/2008 Posts: 761 Location: Nairobi
|
chuse wrote:Tatizo watu hawafamu tofauti ya lugha na maarifa. hao wachina wanao jenga barabara zenu hawajui a wala be za kiingereza lakini mme wapa miradi yote ya barabara inaonyesha jinsi gani mpo nyuma hamtofautishi,ndo maana mnaona kujua kiingereza ndo kuwa wajuzi au wataalamu,kaeni na kiingereza chenu si tunabaki na kiswahili asili yetu,fahari yetu, utamaduni wetu,alama yetu
nyie endeleeni kujipendekeza kwa wazungu na kiingereza chao ndo hao wanawalazimisha kuwa mashoga eeh.
tunaringa tunautambulisho wetu duniani acheni chuki binafsi,hila na nongwa @chuse, Wacha kuongea mavi (talking shit), hamna haja ya kutukana jirani yako. Hio ni kama kucheka uchi wa mamako. Umeskia msemo wa 'nyani haoni kundule'? Hizi nchi mbili ni maskini hohe hahe na zahitaji ushirikiano na utu wema kuinua hali ya maisha ya wananchi wao. Kondoshe wewe!! When I admire the wonder of a sunset or the beauty of the moon, my soul expands in worship of the Creator.
|
|
|
Rank: Chief Joined: 8/24/2009 Posts: 5,909 Location: Nairobi
|
smano wrote:chuse wrote:Tatizo watu hawafamu tofauti ya lugha na maarifa. hao wachina wanao jenga barabara zenu hawajui a wala be za kiingereza lakini mme wapa miradi yote ya barabara inaonyesha jinsi gani mpo nyuma hamtofautishi,ndo maana mnaona kujua kiingereza ndo kuwa wajuzi au wataalamu,kaeni na kiingereza chenu si tunabaki na kiswahili asili yetu,fahari yetu, utamaduni wetu,alama yetu
nyie endeleeni kujipendekeza kwa wazungu na kiingereza chao ndo hao wanawalazimisha kuwa mashoga eeh.
tunaringa tunautambulisho wetu duniani acheni chuki binafsi,hila na nongwa Ningependa kumkosoa huyu bwana ambaye yuadai kwamba sisi twalazimishwa kuwa mashoga... Hiyo ni utani kwa sababu inafahamika barabara kwamba wa Bongo wengi huvaa diaper kwa ajili ya kufunguliwa buti (boot) mara dat dat - kwa kimombo twasema hao ni sockets! Ambao huingizwa mitarimbo inayoitwa Plugs! Hio ndio sababu jamaa fulani amedai hapio juu kwamba diapers hazipatikani TZ. Tafakari hayo ya babu, nikichukua kopo langu la maji kaka chuse...ushoga sote twajua umejaa Tanzania kwenye beach...mwachora saba na mzungu anapata raha zake kisha kuwaangushia masenti. isitoshe, wanaume wadogo kutoka nchi yenu wanaolewa na wanawake wazee weupe ili wapate fursa ya kuenda uingereza na nchi zinginezo...labda hivyo watainarisha uchumi wenu kwa kutuma hela nyumbani kusaidia wenyeji alikotoka. Umeelezwa hapo awali,ushoga ina madhara zake na daiper Kenya itazidi ku exporti Tanzania ili kusaidia jirani.
|
|
|
Rank: Member Joined: 9/9/2010 Posts: 784 Location: ant hill - red hill
|
*** Ni sentensi hili au Sentensi hii? Kiswali mufti, hawa wabongo hawajui kutofautisha kati ya L (elo) na R (ara), ni kama wasaperee na wanajidia kiswahiri. Kiswahili sanifu ni Mombasa hawana chida ya matamchi The greatest act of bravery is chancing a fart while suffering from diarrhoea
|
|
|
Rank: Member Joined: 7/31/2009 Posts: 743
|
willin2learn wrote:chuse wrote:Tatizo watu hawafamu tofauti ya lugha na maarifa. hao wachina wanao jenga barabara zenu hawajui a wala be za kiingereza lakini mme wapa miradi yote ya barabara inaonyesha jinsi gani mpo nyuma hamtofautishi,ndo maana mnaona kujua kiingereza ndo kuwa wajuzi au wataalamu,kaeni na kiingereza chenu si tunabaki na kiswahili asili yetu,fahari yetu, utamaduni wetu,alama yetu
nyie endeleeni kujipendekeza kwa wazungu na kiingereza chao ndo hao wanawalazimisha kuwa mashoga eeh.
tunaringa tunautambulisho wetu duniani acheni chuki binafsi,hila na nongwa Gakware! nikarumanire  washa kunichekecha hahaha Problems can get out of proportion, and not only in the wee small hours. Don't let the problems eclipse the Master. Let the Master eclipse the problems.
|
|
|
Wazua
»
Club SK
»
Life
»
wakenya tembeeni
Forum Jump
You cannot post new topics in this forum.
You cannot reply to topics in this forum.
You cannot delete your posts in this forum.
You cannot edit your posts in this forum.
You cannot create polls in this forum.
You cannot vote in polls in this forum.
|